Search results

  1. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Density, buoyancy, electromagnetism. They explain everything comfortably. Gravity is a hoax.
  2. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mbona hapa zimeonekana?😂😂😂 sindo nyie mlokuwa mnasema ukiwa space huwezi ziona??
  3. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ukiangalia hili li mpira unabaki unajiuliza hici maji yanakaaje kwenye ball? Kwa mtu ambae akili ipo sawasawa hawezi kukubaliana na huu uongo.
  4. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kwenye bible akasome Mithali 19:1-6.
  5. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hahahaa ukitaka kujua watu hawataki ujinga sahivi kasome comments kwenye posts za NASA ndo utajua watu wameamka wamechoka na na CGI’s. Moon landing ya juzi wanayodanganya imekuwa kimya ghafla😂😂
  6. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kuhusu kuzunguka kwa Jua msome VAN BRAUN director wa NASA alichoandika kwenye kaburi lake baada ya kufa. PSALM 19:1-6
  7. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kinachofanya urudi chini ni Density, kitu chochote kikiwa kizito kuliko hewa lazima kitadondoka chini, na kitu kikiwa chepesi kuliko hewa lazima kitaelea angani. Gravity ni hoax.
  8. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    NASA wanajua Dunia ni flat ila ndo hivyo wanafanya kazi kwa maslahi ya Satan kuendekea kuwadanganya dunia ni 🌎. Van braun baada ya kufa aliamua kuwambia ukweli wa hii Dunia, ila kwakua akili zetu zimefungwa hatung’amui.
  9. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Gravity ni hoax kijana,
  10. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Una kilanga sana, maswali yangu hujibu ila yako unataka yajibiwe, kesho asubuhi ukiamka utakutana na jibu lako
  11. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Nimekuuliza kwanini Pilots wanatumia flat earth map?
  12. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ndo umejibu hapo swali?
  13. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Simple sana nakutafutia link soon nitashare upate elimu.
  14. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
  15. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mpka kufikia mwaka 1960 ramani ya Dunia ilikuwa ni flat, baada ya NASA kuundwa kila kitu kikabadilika😂
  16. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ukiliangalia jua hta macho yanakataa haliko 93million kms away hata mwezi pia the same.
  17. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Wazungu 80% wanajua ukweli wa hii Dunia, pia nafurahi kuona watu wanaamka
  18. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kama Dunia haiwezi kuwa flat naomba unijibu haya maswali kwa ufasaha, 1. Ni point zipi exactly ambapo tunaweza kuona curve ya dunia?. 2. Kwanini ukiwa angani huoni Dunia ikizunguka?, hata wao mpaka leo wameshindwa kuprove. 3. Ni kivipi maji yanacurve kwenye globe?
  19. BROKE BOYS

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hizi ni organization ambazo hujawahi kufundishwa na nyingine ndo unazijua leo, nitaelezea kwa ufupi but fatilia mwenyewe deep uzijue kwa undani. 1. OPERATION HIGHJUMP (1946). (DISCOVERY OF THE ICE WALLS) hii operation iliweza kugundua uwepo wa Ice walls ambazo zina act kama container...
Back
Top Bottom