Search results

  1. Traveller_mona

    Mpenzi wangu anapenda kucheka, nifanyaje?

    Amle sana hako kaugonjwa atakuwa amekakomesha.
  2. Traveller_mona

    Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Daaah pole sana mkuu.Nakumbuka kuna mtaa huwaga napitapita sana na sometimes huwaga nafanya miamala sasa ile sehemu nje kabisa kwa pembeni kuna dada mkubwa tu hivi amekaa kwa nje yule dada ni chizi lakini anapata huduma zote za milo mitatu na amenona kweli basi bwana pale watu hawakauki watu huw...
  3. Traveller_mona

    Viongozi wa Kivule Paisheni Sauti Katika hili

    Mimi ni mkazi wa hilo eneo nakuunga mkono mkuu ,unajua ishu hawa viongozi wetu waingiapo madarakan tu basi hauwaoni hawa viongozi wa chini ukiwafata utasikia ngoja tuandike barua yaan complications nyingi sana
  4. Traveller_mona

    Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Nimesoma physcs advance nakumbuka teacher alikuwa mmoja tu inabidi afundishe 5 na 6 mbaya zaid mwalimu wenyewe muda wote yupo town kushika shika mademu tu. Daah lakini mungu ni mwema wengi tulitoboa ni jitihada binafsi za wanafunzi na ushirikiano.
  5. Traveller_mona

    Alinidanganya kuwa ameenda kumtembelea dada yake kumbe ameenda kuolewa

    Mkuu shukuru Mungu miaka yote hiyo ushafungua sana kipochi manyoya.
  6. Traveller_mona

    Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    mkuu embu waache hapo kama mwezi wakae peke yao alafu uwaone itakuaje...kuna kitu watajifundisha wenyewe
  7. Traveller_mona

    Kwanini naamini Zuchu atafanikiwa kwenye brand yake mpya ya mavazi

    Na wewe unatamani kuwa kama nani kwa Zuchu ??
  8. Traveller_mona

    Hivi kwanini tunakufa?

    Katika ndoto ambazo binadamu atatimiza kwa 100% basi kifo namba moja.Mkuu haipo nafsi duniani ambayo haigopi kifo na haipo nafsi ambayo itakikwepa kifo .Kifo ni kama kiumbe kimeumbwa kama sisi isipokuwa hakionekani na wala hakizai. Kitampitia kila mmoja wetu aliye hai cha msingi kwa imani yako...
  9. Traveller_mona

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Angekuwa mwalimu wa secondary huyu angefungwa mapema tu mwanzoni mwa kibarua chake
  10. Traveller_mona

    Huyu mwanamke amejisingizia ana mimba ili anipige pesa?

    😅😅😅 mkuu nacheka kama mazuri hivi anyway. Mimi ningekuwa wewe ningemfata huko huko huyo mchumba na kumpima kuhakikisha kama kwel maana ukimtumia nauli aje atakula tu.
  11. Traveller_mona

    Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

    😅😅😅Mkuu acha makasiliko yeye kaona hivo
  12. Traveller_mona

    Una Tsh 200M Utanunua Apartment au utaenda kufanya ujenzi wako mwanzo mwisho?

    mkuu kajenge tu.....alafu unakuwa wa kwanza kutumia kile kitu na kwa kuwa una mzigo wa kutosha unaplan kila kitu itasaidia kufanya budget yako isipinde pinde utaenda strait until deal done.
  13. Traveller_mona

    Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?

    sisi sote tupo safarini mwenzetu amefika safari yake tupo nyuma yake one day tutaonana. mkuu pole sana mungu akujaze moyo wa subira.
  14. Traveller_mona

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    mazuria ya kufutia miguu kwa nyumban ofisini bafuni yanapatikana contact:0756419862 
  15. Traveller_mona

    Ushauri kwa mashabiki na wadau wa soka

    ushaelezea upande mmoja na je vipi huo upande mwingine???
  16. Traveller_mona

    Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

    safi kwa kuelimisha....big up💪💪💪
  17. Traveller_mona

    Kozi za afya zenye ajira haraka

    kijana duniani kote hakuna course ambayo inakupa wewe guarentee kwamba uki graduate unapata job no.cha msingi soma ambacho wewe unapenda na unaweza ukaja ukatoboa tofauti na professional yako.hili ulitambue ila kwa apo chukua hiyo clinical officer
  18. Traveller_mona

    Naombeni ushauri katika hili, pengine ndio njia yangu ya kufanikiwa

    mkuu usifanye hivyo maana watakulaani sana na wakishafanya hivyo inakuwa ata wewe ni ngumu kufikia hayo malengo yako.kama itawezekana washirikishe kwenye jambo lako ili walidhie then ndo ufanye la sivyo usifanye mkuu.
  19. Traveller_mona

    Errol Spence amtandika kikatili Yordenis Ugas, amtaka Terence Crawford kumaliza ubishi

    Mkuu huyo crowford hafai ata kidogo kwa uwezo ambao anao huyo spence atasubili ,huyo crowford kuna mabondia anawachapa mpaka makocha wao wanamzuia mpiganaji wao kuludi kwenye ring
Back
Top Bottom