Search results

  1. SECRET AGENT

    Napataje Nafasi chuo Cha Elimu Maalumu Patandi

    Habari wadau kuna mdogo wangu amemaliza Form Six (HKL) matokeo yake ni DEE. Kwahiyo nimemshauri akasome Certifcate ya Elim Maalum Patandi hata kwa Kutumia cheti cha form four maana ana Div One. Naomba Mwongozo napataje nafasi chuo cha Patandi, au kama kuna wahusika hapa naweza pata contact...
  2. SECRET AGENT

    Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

    Habari wana JF Nimekaa nikawaza biashara ya kuuza gesi kwa kupima kutokana na kiwango cha pesa mtu alichonacho. Kutokana na maisha kuwa magum mtaani sometimes unakuta mtu ameishiwa gesi kwenda kuchukua mwingine inakua shida kwa mfano mtungi mdogo ni elf 20+ . Nikawaza mtu aanzishe biashara...
  3. SECRET AGENT

    Kukataa kumuuzia mteja bidhaa kisa chenji

    Habarini wana JF, Juzi kuna jambo limenitafakarisha sana nmeenda dukani haya maduka ya bidhaa za rejareja ni barabaran kuna maduka kadhaa na kuna banda la chips na salon. Nmefika kwanza nmemkuta muuzaji kijana hivi kwa kukadiria miaka 17 au 18 anachezea simu yupo bize sana ikabidi nimshtue kwa...
  4. SECRET AGENT

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Habari wana Jamvi, nilikua nina mashaka sana na kuagiza mizigo Ali Express kwamba ntapokeaje mzigo wangu. Nikafanya majaribio nilinunua bidhaa mbili Moja ni flash ambayo ipo kama kadi ya master card (GB16) na nyingine ni Case ya external hard disk. Niliingia kwenye aliexpress nikatengeneza...
  5. SECRET AGENT

    Natafuta kituo kizuri cha kurudia mtihani Moshi mjini

    Habari wadau, Kuna mdogo wangu yupo Moshi Mjini anahitaji arudie MTIHANI wa kidato cha nne katika masomo matano ya arts, anahitaj huduma ya tuition na kurudia mtihani. Naomba Mwenye kujua kituo kizurii ambacho ataanza kusoma hapo tuition mwaka huu na mwakan asajiliwe Kama PC kufanya mtihani.
  6. SECRET AGENT

    Nijuzeni Chimbo la vifaa vya stationery DSM

    Habari wakuu, Nahitaji nikachukue bidhaa za kuweka katika stationery yangu na materials mbalimbali ya printing (karatas za aina mbalimbali) na vifaa vingine mbalimbali. Naomba kujuzwa ni sehem gani DSM nitapata wanapouza kwa Bei ya jumla na sio rejereja. Asanteni sana
  7. SECRET AGENT

    Diploma in Computer Science kutoka Open University of Tanzania

    Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi itolewayo na OUT je inamfanya mtu awe competent katika field hii kwa kuzingatia mfumo wa open sio wa kuingia darasan mda wote. Waliowahi kuisoma au wenye kujua kuhusu kozi hii hapo OUT msaada wenu tafadhali.
  8. SECRET AGENT

    Msaada kuhusu hp spectre 360x laptop

    WanaJF nisaidieni kwa hili, nilikua natafuta hii laptop HP SPECTRE 360X yenye specifications hizi: na nmejaribu kuangalia wauzaji nmekutana na mkanganyiko mana Bei yake inakua 1.8 M wengine 2 M . Kuna muuzaji nmekutana nae naye anauza laptop hiyo japo specification zmetofautiana kidogo yeye ina...
  9. SECRET AGENT

    HP Notebook 2000 PC inahitaji Housing Replacement

    Wakuu Naomba Msaada wa kuipata housing ya Hii laptop HP Notebook ilianguka ikaharibika upande mmoja na pia keyboard baadhi ya button hazifunction. Kama Kuna mtu anaweza kuwa na housing yake nzurii tuongee
  10. SECRET AGENT

    Mwenye uelewa wa hizi kozi mbili anipe ufafanuzi

    Ordinary Diploma in Computer Science VS Ordinary Diploma in Computing , Infomation Communication Technology. Ni kozi ambazo zinatolewa na chuo Cha Jordan University hapa Morogoro kwa upande wa Entry Requirement zote zinafanana maana zinahitaji mtu aliemaliza A-Level akiwa na 1 Principle Pass na...
  11. SECRET AGENT

    Naomba kujuzwa Chuo kinachotoa kozi za IT Morogoro

    Wakuu Habari, Naomba msaada wa kujua chuo kinachotoa kozi za IT hapa Morogoro mjini kwa ngazi ya cheti kuna mdogo wangu anapenda kusoma IT.
  12. SECRET AGENT

    Msaada wa English Medium notes from Standard 1-7

    Hi Wana JF, Naombeni msaada wa kupata softcopy notes za English Medium kwa standard 1-7 kwa masomo yote kwa mwenyenazo tunaweza kuchangiana Kias flani ili nizipate. Asanten Sana
  13. SECRET AGENT

    Developers na wenye nia ya kujifunza changamkieni hii kitu (google Africa Developer Scholarship 2020)

    Grow with Google, Andela and Pluralsight have partnered to provide a new program to support software developers in Africa on Android, Google Cloud and Mobile Web skills development tracks. The aim of this program is to continuously engage with aspiring and existing developers to help them become...
  14. SECRET AGENT

    Msaada kwa Graphics Designers wanaofanya katika kampuni za magazeti

    Habari wana JF, Nimekutana na changamoto katika kufanya designing ya gazeti for Printing. Software ambayo nayotumia katika designing ya gazeti hili ni Adobe InDesign. Najifunza designing ya gazeti niielewe zaidi. Hapa kitu kimoja kimenichanganya ni vipimo (dimensions) ambayo inatakiwa nitumie...
  15. SECRET AGENT

    Inafaa kuomba kuongezewa mshahara?

    Nimeajiriwa katika kampuni (private sector), Nafanya kazi kwa bidii sana mpaka boss mwenyewe anaona kwamba kweli napiga kazi na kazi nazofanya zinaingiza pesa na kusifiwa na wateja pia lakini tangu niajiriwe mshahara haupandi na naona ni mdogo sana ukilinganisha na kipato kinachoingia kupitia...
  16. SECRET AGENT

    Twitter C.E.O and Co-founder Account Hacked

    The co-founder and chief executive of Twitter had his own account on the service briefly taken over by hackers. A group referring to itself as the Chuckling Squad said it was behind the breach of Jack Dorseys account. The profile, which has more than four million followers, tweeted out a...
  17. SECRET AGENT

    BLOGGERS NA DEVELOPERS NISAIDIENI HAPA

    Naomba nisaiidiwe namna gani naweza kuideit free templates Kwenye blogger na kuiwekea jina langu kwenye Footer sehemu ya chini kabisa. Kama inavyoonekana Kwenye picha hapo chini jinsi gani nitaweka jina langu mm mwenyewe badala ya Hilo neno sora templates.
  18. SECRET AGENT

    Koffi Olomide hatiani kwa ubakaji wa binti wa miaka 15 nchini ufaransa

    DRC's Koffi Olomidé guilty of rape of 15-year-old girl in France Popular Congolese musician Koffi Olomide was on Monday handed a two-year suspended prison sentence for the statutory rape of one of his former dancers when she was 15. Olomide went on trial after four former dancers claimed he...
  19. SECRET AGENT

    TECNO SPARK 2 NA NOKIA 2.1

    Wana JF katika kutafuta simu nmekutana na simu mtandaoni kabla ya kwenda dukani kununua nmekutana na hizi mbili, Tecno Spark 2 na Nokia 2.1. Kwa ambao wamewahi kutumia simu hizi hapo au hata kujua ubora na udhaifu wake wanaweza kunijuza ipi ipo vizuri zaidi na ipi nikinunua itanifaa japo kwa...
  20. SECRET AGENT

    FROM ZERO TO HERO, KUPITIA BLOG NAYAONA MAFANIKIO SIHITAJI KUZUNGUUKA NA BAHASHA KUTAFUTA AJIRA

    Nimeanza chuo 2015, UDOM nikiwa nasoma shahada ya Ualimu. Nikiwa Mwaka wa kwanza sikua na laptop nikawa nagongea kwa wadau lakini nilikua na uelewa wa haraka sana kuijuwa computer kuliko hata ambao walikua wanamiliki na nikajikuta nakua msaada mkubwa kwenye kutype na kuedit kaz za vikundi na...
Back
Top Bottom