Search results

  1. na wewe

    Usikurupuke kuoa Mbeya kama wewe nyoronyoro mtoto wa mama

    Kuna mmoja kasema mwanamke wa Kinyakusya ukimgusa tigo ndo mmeachana..naona kama ni ukweli ila sijawahi jaribu hii kitu kabisa na sitaki. Hope nitaoa uko.
  2. na wewe

    King'amuzi gani bora?

    Naona umepania Leo kuleta furaha nyumbani yaani.asubuhi na swali kama hill?? Kila LA kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  3. na wewe

    Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  4. na wewe

    Madeni Special thread: Changamoto gani unakutana nazo wakati wa kudai na kudaiwa?

    Nipangishe mimi mshenga hautajuta Sent using Jamii Forums mobile app
  5. na wewe

    Bongo Star search 2019

    Mimi nawakubali P. Na master basis wengine wauza sura tu pale
  6. na wewe

    Cheaters vault

    Hapo sawa
  7. na wewe

    Cheaters vault

    Ila usimuache na 7800 tu tafadhari
  8. na wewe

    Cheaters vault

    Najifunza kitu hapa
  9. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Duh umenikumbusha shule..Nairobi pale kawangware HIDDEN TALENT hiyo chini ya pastor ENOC miaka hiyo nilikuwa naenda Kwa wale jama pale wanapika githeri pamoja na mthogoi aisee ukiweka na parachichi yaani kishule shule hata siwezi sahau aisee
  10. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Kaisha sema yeye anakilia shida wakati mwambie aende YouTube atafuge interview ya Dada wa hapa mwanza anayeuza bakuli 40 za makande na tena wateja wake wakiwa ni wafanyakazi wa benki na wanalipa sh.5000 Kwa parkage... Sijui shida iko wapi hapo
  11. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Ili umtumie ila tayari umeshasema unamzingua...ila hadi nimekumbuka kwenda shinyanga Kwa mama Yangu maana sio Kwa Yale makande ya kwenye kupikia kuni...duh
  12. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Wakati inataka mda NA umakini kuliko hata hizo chips za wazee wa dar
  13. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Duh..akupe namba ya Whatsapp sasa
  14. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Tatizo ni mindset yake kuwa makande ni kama ya watu maskini yaani ni chakula chaguo LA mwisho baada ya mtu kukosa namna.wakati kande linagharama zaidi hata ya pilau na linatumia gesi au mkaa zaidi hata ya nyama...sasa unyonge wa makand e uko wapi..hali hiyo kitu ni kama kachumbali kila kiungo...
  15. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Mimi sipendelei Nazi ila hapo kwenye peanut better mamy naweza leta mahali kwenu..tafadhari
  16. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Acha nionekane mshamba humu jf lakini ukweli napenda makende... Kuna lile LA kijijini kipindi cha mvuno acha ile wanaita ngukuru... Ile wanaweka nahidi machanga, maharange machanga, Karanga, na choroko... Halafu kuwe na maziwa mgando achana na haya ya tanga fresh..Yale yawe...
  17. na wewe

    Jinsi ya kupika makande

    Dada wewe unaonekana ni mtalaam wa mambo ya maakuli natamani.nije nipige lunch hapo kwako ili nithibitishe ubora.. Ukweli Mimi napenda makande sio utani ni.muda tu sina na mpishi sina ila huwa siyachoki hasa yakilala
  18. na wewe

    Asante bongo star search kwa kumleta rayvanny

    Mimi sioni kitu pale
Back
Top Bottom