Search results

  1. M

    Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga

    Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando. Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA. Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,. Jamaa kanitumia link...
  2. M

    Shikamoo Membe

    Nimesikiliza Press ya familia ya bwana Allan aliyedaiwa kutekwa na kuachiwa hapo jana, Jina la bwanaBernard Membe limetajwa na Shkrani nyingi kwake kwa kufanikisha kuachiwa kwa huyu bwana. Ni ukweli usiyepinginga Bwana membe ni Mbobezi kwenye masuala mazima ya Ujasusi, Inawezekana Membe...
  3. M

    WHERE IS MR. EDWARD NGOYAI LOWASA

    Sio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi. Huu ukimya wake pia hapana.
  4. M

    Spika Ndugai: Heche jiandae kuachia jimbo 2020

    Spika wa Bunge la Jamhuri Job Ndugai amemwambia John Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini kwamba, uchaguzi mkuu ujao jimbo hilo litarudi CCM mapema bila upinzani wowote. Ndugai Alitoa kauli hiyo jana ambapo alisema, kuna ufujaji mkubwa wa miradi ya serikali licha ya mbunge wake kuwa mpinzani na...
Back
Top Bottom