Search results

  1. BoyOfGod

    Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa) Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa...
  2. BoyOfGod

    MSAADA: Ninatafuta music producer anishike mkono

    Habari wakuu! Mimi ni kijana mwenye mapenzi na mziki. Nimebobea kiasi kuandika nyimbo za dini na kwa sasa nimefocus pia (bado najifunza) kwenye production (kutengeneza beats), japokuwa sina vifaa zaidi ya pc tu.(najitafuta) Kwa vile jamii forums kuna watu wa aina tofauti ninaomba kama kuna...
  3. BoyOfGod

    Tukumbushane habari njema hizi pia

    Mhubir12:1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Salaam Tunaishi, tunaondoka Miaka 70,80,90,100 au chini ya hapo ndiyo maisha tuko nayo duniani na baada ya hapo Kuna trillions of years ya...
  4. BoyOfGod

    Pep: Muda wangu kuifundisha Barcelona ulishapita

    Guardiola anasisitiza kuwa muda wake katika klabu ya Barcelona umekwisha baada ya mkufunzi huyo wa Manchester City kuhusishwa na uhamisho wa kurudi katika mabingwa hao wa Uhispania. Mgombea wa wadhfa wa urais katika klabu ya Barcelona Victor Font amesema kwamba anafikiri kumrudisha Guardiola...
  5. BoyOfGod

    Waliokuwa wabunge machachari wa upinzani ambao wameshindwa kutetea viti vyao

    Mchakato wa kutangaza matokeo ya washindi wa uchaguzi nchini Tanzania yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania. Watanzania wameshuhudia anguko la wapinzani kwenye ngome zao mbalimbali zikinyakuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi za udiwani na ubunge. Freeman Mbowe...
  6. BoyOfGod

    Msaada App za music recording

    Habari! Shida yangu naomba nisaidiwe Apps za Android na pc za kuingizia beat na sauti. Nataka nirekodi ngoma Sema Apps za musics hasa za Simu sizijui Msaada please kwa anayezijua au aliyewahi kuzitumia
Back
Top Bottom