Search results

  1. Super Villain

    Nilikuwa kahaba nikiwa kwenye ndoa

    Purity Wanjiru alitoroka kwao na kuanza kuishi maisha ya utotoni akiwa na umri wa miaka 13 Kila anapokumbuka alikotoka maishani, Purity Wanjiru hudondokwa na machozi asijue la kufanya. Purity ambaye ni mama wa watoto wawili anasema hakuwahi kufikiria kwamba kuna wakati angeuza mwili wake...
  2. Super Villain

    Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

    August Alsina (27) amerudi kwa kishindo kwenye muziki, amethibitisha kuwa kwenye mahusiano na mwanamama Jada Pinkett. Kwenye mahojiano na Podcast ya Joe Budden, Alsina ambaye ameachia album mpya hivi karibuni; The Product III: State of Emergency, amefafanua ukweli wa taarifa juu ya penzi lake...
  3. Super Villain

    Uchaguzi 2020 Msanii Wakazi Wassira kugombea Ubunge 2020 kupitia ACT Wazalendo

    Msanii wa kizazi kipya na mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo , rasmi ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga Dar es Salaam kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020. Wakazi ambaye alijiunga na chama hicho hivi karibuni, ameeleza nia hiyo jana Juni 20, 2020 kwenye mkutano wa chama...
  4. Super Villain

    Alipwa fidia ya mabilioni kwa kufungwa kifungo cha maisha kimakosa

    Lamonte Mcintyre mkazi wa Kansas nchini Marekani alikaa Jela miaka 23 mara baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa makosa ya mawili ya mauaji ambapo mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka 17 alikutwa na hatia ya Kuwaua Donald Ewing na Doniel Quinn. Baadaye mwaka 2017 baada ya kutumikia miaka hiyo...
  5. Super Villain

    Muziki wa Marekani wa changia 143B$ USD kwenye pato la Taifa

    Muziki una mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi nchini Marekani, kwani umechangia kuingiza kiasi cha (USD 143 Billion) sawa na TZS. Trilioni 309.5 kwenye pato la taifa kwa mwaka 2019. Pia umefanikisha kutengeneza ajira 1.9M, biashara 157,189 huku ukitengeneza waandishi wa nyimbo 1.17 Milioni...
  6. Super Villain

    Msaani ErykahBadu aja na manukato yenye harufu ya uke wake

    Mwimbaji mshindi wa Grammy 4, Erykah Badu (48) ameachia bidhaa za manukato yenye harufu ya Uke wake na ndani ya dakika 19 tu yameweza kumalizika sokoni. Manukato hayo yaitwayo "Badu's P**sy" yalikuwa kwenye kwenye tovuti yake siku ya February 20 mwaka huu. Kwenye mahojiano na 10 Magazine kabla...
  7. Super Villain

    Jay-Z kugomea wimbo wa Taifa

    Jay-Z na Beyonce ni miongoni mwa watu ambao walibaki wamekaa wakati wimbo wa taifa la Marekani ukiimbwa kwenye ufunguzi wa fainali za #SuperBowl usiku wa kuamkia leo. Tafsiri yake ni kutounga mkono vitendo vya uonevu na ukandamizwaji wa mtu mweusi. Hii imemuamusha Mtangazaji Tomi Lahren ambaye...
  8. Super Villain

    Floyd Mayweather kurudi ulingoni tena 2020

    Bondia Floyd Mayweather ametangaza pambano la marudiano na Conor McGregor kuwa litafanyika mwaka huu 2020. Kupitia instagram akaunti yake Floyd ameanika hilo kwa kuweka picha inayoonekana juu. Kwa muda sasa Conor alikuwa akililia pambano la marudiano na Floyd tangu achezee kichapo kwa TKO...
  9. Super Villain

    IPhone (Apple)

    Siku kama ya leo (January 9) mwaka 2007, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Apple marehemu Steve Jobs aliitambulisha simu ya kwanza aina ya iPhone (1st Generation) Wazo la simu hiyo lilimjia Steve mwaka 2005 na ilimchukua miaka 2 kulikamilisha wazo hilo. Simu hiyo iliingia sokoni rasmi June 29, 2007...
  10. Super Villain

    Marekani: Mpangaji amfyatulia risasi baba mwenye nyumba wake

    Habarini za machana Polisi mjini Las Vegas Marekani wameachia video hii inayomuonesha Mzee mmoja wa miaka 93 akimfyatulia Risasi mara mbili na kumjeruhi Baba mwenye nyumba wake kwa tatizo la kukosa Maji kwenye chumba chake kilichopo kwenye ghorofa la kupangisha maarufu kama apartments. Polisi...
  11. Super Villain

    Bwana harusi aonesha video ya mke wake ukumbini akifanya mapenzi na shemeji yake chumbani kwake

    Habari zenu wana JF? Niende moja kwamoja. Bwana harusi mmoja nchini China akiwa ukumbini aliamua kuonesha video ambayo inamuonesha mke wake akifanya mapenzi na mume wa dada yake chumbani. Bwana harusi huyo alikuwa akifuatilia mwenendo wa mpenzi wake kwa muda mrefu, alihisi kuwa anatoka...
  12. Super Villain

    Madonna penzini na kijana wa miaka 25

    Habari wakuu, niende moja kwamoja kwenye hii habari. Taarifa zilikuwa zikienea kuwa nyota huyo wa muziki duniani mwenye umri wa miaka 61 amekuwa akitoka na kijana huyo ambaye ni mnenguaji wake, Baba mzazi wa Ahlamalik, Drune amethibitisha kuwa ni kweli wa wili hao wanatoka kimapenzi na...
  13. Super Villain

    Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

    Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring katika movie huwa nafurahi sana kuwaona hawa mastarring/mahero wakiteseka.Yupi kwako ni adui au maadui...
Back
Top Bottom