Search results

  1. G

    Ninaomba MDAHALO wa kisiasa na Nape Nnauye

    Safi sana,,Yericko tupo pamoja
  2. G

    Natafuta bb curve 9360 mpya

    Natafuta bb curve 9360 mpya,mwenye nayo tafadhali anijulishe ninunue.
  3. G

    Natafuta kazi

    Wanajf,natafuta kazi.Nina Bcom-hons,CPA(T) pia experiance ya miaka 2 na international bank.
  4. G

    Tundu Lissu afunguka bungeni

    Tafadhali,maana wengine tulikuwa mbali na vyombo vya habari,walau tuisome.
  5. G

    CHADEMA waanzisha mfumo wa kujitathmini.

    Hongereni sana CDM,ili ufanikiwe ni lazima kujitathmini na kujua wapi urekebishe na wapi uongeze juhud zaidi!! Keep it up!
  6. G

    Star TV LIVE: Mapitio ya Mjadala wa Bajeti

    Licha ya kiwango cha elimu,ni vema pia wabunge waweke maslahi ya taifa mbele kuliko tu kuangalia maslahi ya chama chao.Kuna watu wana elimu kubwa lakini bado wanapinga tu mawazo mbadala hata kama ni mazuri.
  7. G

    Yuko wapi JULIUS MTATIRO?

    Imefikia kipindi mpaka CUF sasa imesahaulika Ni Civic United Front Nyetk Naomba kusaidiwa swali langu la msingi
  8. G

    Yuko wapi JULIUS MTATIRO?

    Kwa uelewa wangu,Julius Mtatiro ni katibu wa itikadi na ueneze kwa upande wa CUF,lakini naona amekuwa kimya sana kwa siku za hivi karibuni.Sijasikia kauli yake kwa mambo muhimu yanayohusu nchi ambapo huko nyuma alikuwa akitoa kauli mbalimbali.Je,bado yuko CUF??Kwann yuko kimya?Wana jamii naomba...
  9. G

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Pongezi kwa mh Rais na watanzania wote kwa ujumla.Sasa ni wakati wa kusonga mbele!
Back
Top Bottom