Search results

  1. F

    UZUSHI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    wewe kaa kimya usilolijua ni sawa na usiku wa giza,tuna miiko ya kimaadili katika kila tasnia siyo kama wewe unvyotaka iwe
  2. F

    UZUSHI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    Baada ya jana kufichua kitendo cha waandishi wa habari wanne mkoani Kilimanjaro kudaiwa kumtaperi fedha mama mmoja ambaye mwanaye mwenye mtindio wa Ubongo amebakwa na kupata ujauzito,mjadala mkali unaendelea kwenye group la wanahabri Kilimanjaro wengi wakitaka waliofanya kitendo hicho watajwe na...
  3. F

    UZUSHI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu. Juzi mama mmoja wa Uru Mjini wilaya ya Moshi Vijijini ametoa Tsh. laki 4 kwa waandishi wa habari wanne ili...
  4. F

    Wizara ya elimu isikurupuke katika maamuzi mashoga wako mitaani

    MAKALA WIZARA YA ELIMU ISIKURUPUKE KATIKA ,MAAMUZI MASHOGA WAKO MITAANI Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya elimu ilitoa waraka unazuia wanafunzi wa kuanzia darasa la awali hadi la nne katika shule za msingi kusoma kwenye shule za bweni, Waraka huo ulitolewa baada ya kuripotiwa...
  5. F

    Familia ya Ndesamburo kwenye majaribu

    Kifo cha mzee Philemon Ndesamburo au 'Ndesa pesa'kama alivyojulikana na wengi kimeiyumbsha familia yake smbsko sasa inashuhudiwa migogoro mikubwa ndani yake ikiwamo ndoa kuvunjika na kugombana wao kwa wao. Aliyefungua pazia hilo ni Sindato ambaye alifarakana na mkewe Grace Kiwelu ambaye alikuwa...
  6. F

    Vigogo KNCU wasimamishwa kazi kwa kutafuna mamilioni ya fedha za wakulima

    Vigogo watatu wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro{KNCU}wamesimamishwa kazi na mrajis wa vyama vya Ushirika nchini kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa fedha za walikuma za zao la kahawa zaidi ya shilingi milioni 300. Vigogo hao ni pamoja na meneja wa chama hcho,Godfrey...
  7. F

    Mwekezaji huyo shamba la maua Moshi achunguzwe

    Sisi wafanyakazi wa shamba la Vaso Agriventures lililopo kibosho wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro tunaomba uchunguzi shidi ya mwajiri ambaye ni mwekezaji wa shamba hilo ndugu Alphonce Nijenhuis kutokana na ukiukaji wa taratibu na Sheria za ajira. Kwanza kabisa boss wetu amekuwa na tabia ya...
  8. F

    Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
  9. F

    Mabasi ya Ester Luxury coach yadaiwa kusafirisha milungi

    Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro imemweka kiti moto mmiliki wa mabasi ya Ester Luxury Coach baaada ya mabasi yake kudaiwa kukubuhu katika biashara ya usafrishaji madawa ya kulevya aina ya milungi. Mmiliki huyo alifika mbele ya kamati hiyo hivi karibuni iliyoketi chini ya...
  10. F

    Wananchi wa Jimbo la Hai wambatiza majina mapya tofautitofauti Mbunge Saashisha Mafuwe

    Jamani wambeya ongezeni juhudi za kusambaza umbea mishahara yenu imepanda balaaa
  11. F

    Video: Ole Sabaya, Anavuna alichopanda Mapema!

    Tuiachie mahakama itaamua,sisi wengine hatuna nguvu ya kuhukumu
  12. F

    Mwanga, Kilimanjaro: M/Kiti wa Halmashauri na Diwani wadaiwa kuwa na mahusiano ya jinsia moja. Wapigana...

    Pamoja na jamaa kuchafuliwa juzi ameshinda kwa kishindo nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kwa kupata kura 372,endeleeni kuchafua watu tu na akili zenu za matope
  13. F

    Kigogo ccm moshi mjini matatani

    WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
  14. F

    Sababu Vijana kuchelewa kufanikiwa kimaisha mjini

    Tunasingia utawazi lakini kwa kizazi cha leo vijana wengi wanwaza kupata pesa na kwenda club ckula maisha
  15. F

    Juma Raibu awavua nguo waliomvua Umeya Moshi

    Aprili 11 mwaka huu baraza la madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi lilifanya maamuzi magumu ya kung'oa kwenye kiti chake cha umeya,Juma Raibu ambaye ni diwani wa kata ya Bomambuzi . Miongoni mwa tuhuma zilizomng'oa Raibu kwenye nafasi yake ni pamoja na madai ya rushwa katika utoaji wa...
  16. F

    Mchungaji Godfrey Mtui a.k.a WAG garege amefikishwa mahakamani kwa wizi

    Soma vizuri kabla hujachangia Mchungaaji Godfrey Mtui anamiliki Kanisa la Tanzania Pentecoste mission Church lililopo nje kidogo ya mji wa Moshi na anamiliki Garage iitwayo WAG Garage ambayo ipo nyumbani kwake. Mtui amefikishwa katika makahama ya mwanzo mjini Moshi na kusomewa shitaka moja la...
  17. F

    Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

    Na haaya magari ya Moshi to Dar yanayotoka Moshi saa nne itakuwaje yakifika M kata saa nane itakuwaje
  18. F

    Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

    Na haaya magari ya Moshi to Dar yanayotoka Moshi saa nne itakuwaje yakifika M kata saa nane itakuwaje
Back
Top Bottom