Search results

  1. 2019

    Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

    Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa. Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo...
  2. 2019

    Kamata kamata ya sukari itaongeza tatizo kwa walaji, chonde Serikali acheni hii kitu

    Nimesikitika sana asubuhi kusikia viongozi wanajitamba kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari bei juu...😜😁😁Nachrka kwa dharau. Unamkamata muha,mangi mwenye kirobba cha kg 25 kanunua 100,000 unataka uauzeje sukari? Yeye kanunua duka la jumla, kosa lake ni nini? Yeye hana kiwanda, kwanini...
  3. 2019

    Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

    Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake. Kwa spidi ya huyu kijana mapapa...
  4. 2019

    Mwamba ajenga fremu kituo cha mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
  5. 2019

    Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  6. 2019

    Karne hii vifaru basi, huko Gaza vinabomolewa kuliko Ukraine

    Asee huko Gaza kuna rundo la vifusi na skrepa za vifaru, hamasi wanavibomoa sana. Kwanini media za kimagharibi hazitangazi kama zilivyotangaza vya Urusi kule Ukraine? https://youtu.be/GQ3eDg-UShA?si=8sJ9o-FJ0o_VcZ42 Hata vifo vya Waisraeli ni vingi mno, kama Israel iliweza kushinda waarabu...
  7. 2019

    Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  8. 2019

    Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana. Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina? Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
  9. 2019

    Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi. Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
  10. 2019

    Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

    Waislamu siwapangii lakini kutokana na maana mbaya ya rangi hizi ni bora tu mbadilishe hii nembo, mnatafsiriwa vibaya sana. Kibaya zaidi ni shule ya kidini bora ingekuwa ya kidunia. Soma pia 👉👉Mamlaka za Saudi Arabia zapiga marufuki bidhaa zote zenye upinde wa mvua ikiwemo nguo na Midoli
  11. 2019

    Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  12. 2019

    Kuna uhalali wa kulipa hela ya sungusungu ilhali una mlinzi binafsi?

    Hii bado sijaelewa ningependa kupata au kujua ukweli, ukiwa kwenye biashara mitaani ni lazma ulipe hela ya ulinzi shirikishi hata kama kuna mlinzi kwenye fremu zenu? Hii ni nchi ya aina gani na tunapelekana wapi? Naombeni kujua ukweli.
  13. 2019

    Vitendo ambavyo binadamu ukifanya lazma ukunje sura na kukaza mwili

    1. Kunywa kitu kichungu au kikali Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali 2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi. 3. Kupiga mpira kichwa Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona...
  14. 2019

    Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

    Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara. Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo? Mfano, sayona tunda tutajuaje...
  15. 2019

    Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  16. 2019

    Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote. Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu. Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD...
  17. 2019

    Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  18. 2019

    RC dhoofu: Jumuiya zimebaki na kina mama tu tena wazee

    Kwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume. Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu. MAMBO YANAYOCHOSHA Nipokuwa...
  19. 2019

    Kupigwa na Kalynda sio mwisho wa utapeli Tanzania, bado tutapigwa sana

    Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa. Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini. Hivyo hivyo hizi...
  20. 2019

    Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
Back
Top Bottom