Wanakata mikoa mingi na hatujui sababu ni nini. Nchi yetu watumiaji wa umeme hatuna haki, hakuna sheria za kutulinda. Kata, washa, na vitu vyako vikiungua , ukipata hasara ya uzalishaji, samaki wako wakivunda kwenye jokofu utajua mwenyewe!
Ndiyo. Wako watu kadha wliothibitishwa kuwa ni +HIV kwa kupimwa mara nyigi na hali zao kubadilika kuwa mbaya, tena wengine wakafiwa na wenzi wao lakini du si mchezo, maombi yaliwaponya na hadi sasa wengine wana miaka zaidi ya kumi kila wakicheck ni -HIV! Afya saaaaaaafi kabisa. Nimewaona live...
CCM ni chama cha ukombozi katika lipi? Kilimo siyo, elimu nayo inadidimia, afya nayo ni yaleyale. Labda kuleana kwa kupeana vyeo vya kuteuliwa vya ufisadi. HUO NDIYO UKOMBOZI!!!
We acha tu. Kuna mtu alijiuzulu uhasibu bada ya ya kushinikizwa atie saini katika karatasi blank ambapo pesa iliyosomwa bungeni katika bajeti, wilayani mhasibu hakuona hata senti! Alafu unaambiwa anguka hapo.....!NCHI CHI HII INAHITAJI TU MABADILIKO YA SERIKALI YOTE.
Napenda niseme kwamba utabiri huu ni uzushi kwa mujibu wa Biblia. Katika MATHAYO 24 yote Yesu alieleza juu ya mwisho wa dunia kwa maana ya kuja kwake mara ya pili lakini mstari wa 36-49, anasema yeye Yesu mwenyewe hajui, malaika hawajui ila baba peke yake. Ni kama wakati wa Nuhu. Pia, mstari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.