Search results

  1. kabatimpya

    Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

    Anamwangole bun achimpelembe Chinga boy
  2. kabatimpya

    Ni wizara ipi ngumu?

    Fweza ndio kila kitu
  3. kabatimpya

    Usajili wa simcard kwa vidole imekuwa nongwa

    Vitambulisho vyenyewe havipo kwa watu wote.hapo inakuwaje?Halafu wakati tulipokuwa tunasajili walitusambazia mawakala mpaka vijijini.leo kusajili kwa kidole uwafuate ofisini.sijui huyu kikongwe mliemsajilia huko kijijini MNAMSAIDIAJE??
  4. kabatimpya

    Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

    Picha ingependeza zaidi.ili nasi tushiriki hizo sifa kama kweli wanakidhi vigezo.
  5. kabatimpya

    siku nikipanda ndege!

    Ukifika Burigi chato national park utuletee mrejesho
  6. kabatimpya

    Je, kuna mtu ambaye amewahi kusifiwa na wahindi kama mchapakazi

    Tena huwa wanawachonganisha nyie kwa nyie. Unamsikia anamwambia mwenzako mchunge huyu choli kama iba sema ongeja sahara mimi.na mwenzio anaambiwa hivyo hivyo laana wakubwa hawa
  7. kabatimpya

    Huyu kijana Waziri wa Viwanda na biashara yupo bomba na hana najivuno kabisa!

    Mbona mie niliwahi kumuona aliekuwa mbunge wa kg mh kafulila.Gari lake lilipata kidogo mafua wakati likipata huduma ya kwanza. Mbona tulifaidi jamaa alinunua birika zima la kahawa na kapu la karanga za kukaangwa.tulijumuika nae weee. Kwa taarifa wala haikuwa jimboni kwake alipotoa ofa hii.
  8. kabatimpya

    Tigo ndio nini mmetuletea??

    Hakipo tena hicho kifurushi ni saizi yako kwenda mbele sasa hivi
  9. kabatimpya

    Tigo ndio nini mmetuletea??

    Hongera yako mkuu ila mie nimewachoka
  10. kabatimpya

    Tigo ndio nini mmetuletea??

    Salam senu kwa mpigo eti. Ngoja niende kwenye hoja. Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako?? Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki: Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote. Mimi binafsi...
  11. kabatimpya

    Chama Cha Mapinduzi kimegeuka kuwa chama cha matusi badala ya hoja

    Niliingia TANU 1971 Tulivyohama CCM1977 Nami nimo lakini toka Chama kilivyoanza kunenepeana kwa hoja za ndioo nikaona tuendako sasa sipo nikalichoma moto gamba lao toka 2006 sasa ndio tumefikia kutukana wazee. Jee angekuwa hai mwl hivi matusi haya yangekuwepo? Chama kimekosa ADABU HESHIMA Wala...
  12. kabatimpya

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Waliivuruga rasimu yetu six na mafisiem wenzake.halahala kwenye kampeni sikuzungumzia swala LA katiba FULL STOP.
  13. kabatimpya

    Kilo 300 za mirungi zakamatwa ikidhaniwa kuwa majani ya mlonge

    Wangepitishia kenya mbona huko inaruhusiwa kutafuna kama muwa.walikwama vp
  14. kabatimpya

    Wilaya za Tanzania

    Wilaya ni moja ila majimbo ya uchaguzi ndio mawili
  15. kabatimpya

    Humphrey Polepole Uko Wapi?

    Mr slowslow tunakusubiri na wewe kwa hili.hujui ufalme unavyotafutwa?
  16. kabatimpya

    Mapokezi ya dhahabu: Wakenya si kama sisi, watakuja kutueleza ukweli ni upi

    Dhahabu imekamatwa miaka kumi na tano nyuma.mhhh Walikuwa wanasubiri nini muda wote huo?ama kweli movie zingine kama za za Bwakila ankooo ndio tunaonyeshwa wale watanzania wanaoambia sio wajinga
  17. kabatimpya

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Kwani Bashiru na Slowslow wana tofauti gani? Wao wamejiona hapo ndio wamefika
  18. kabatimpya

    Sakata la Nape na Kinana ---lawama sasa kuelekezwa TCRA

    Mimi naona TCRA Wafungiwe maana hawalindi faragha za wateja wao.kwanini mtu amrekodi mwingine halafu wao wachekelee tu.wanatupeleka kutoiamini mamlaka ya mawasiliano.ipo hatari hata hizi namba zetu za siri kwenye miamala ya pesa kwenye simu wanazigawagawa hovyo hawa Tcra maana inatia ukakasi hili.
Back
Top Bottom