Search results

  1. Sa 7 mchana

    Kubambikiwa fine ya gari ambayo huifahamu. Ajabu imetolewa mkoa ambao gari haijawahi kufika

    Kuna hili limetokea, gari dogo baada ya kusimamishwa na traffic likaoneka lina deni. Kuagalia vizuri fine(madeni) zote zimeandikiwa mkoa wa Dodoma ikiwa gari dogo halijawahi kufika Dodoma, lipo Morogoro. Makosa hayo ni kuzidisha abiria, maana yake ilitumika kukusanya maokoto. Wataalam naomba...
  2. Sa 7 mchana

    Maskini anaanzia umri gani?

    Naomba kuuliza umaskini unaanzia umri gani? Yani mtu ukifikisha umri gani na akawa bado hajiwezi katika mahitaji yake muhimu anaqualify kuitwa maskini. Ikiwa na maana gani mtoto wa miaka 9 anaeishi kwao hatuwezi kumuita maskini ila kwakua Mpwayungu Village mwenye miaka 46 anaeshi kwa shemeji...
  3. Sa 7 mchana

    Nashindwa kusajili namba ya pili WhatsApp

    Wakuu habari zenu. Ninajambo naomba msaada. Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business. Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote imekuwa nikizaa zaa. namba ya 3 imekuwa banned zaid ya mara 4. Nimejaribu kutumia clone apps/duo apps/...
  4. Sa 7 mchana

    Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya uwakala wa bima

    Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali. Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi. Natanguliza Shukurani...
  5. Sa 7 mchana

    Bidhaa ambayo inatoa faida ghafi ya laki moja na zaidi kwa kila pc

    Habari zenu wapambanaji, Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya laki kwa kila pc. Bidhaa iyo haijalishi iwe inapatikana nchini mwetu au kuagizwa. Asante
  6. Sa 7 mchana

    Naomba bei elekezi ya Tagged

    Naomba bei elekezi ya Tagged kwa mkoa wa Dar es salaam Uzi tayari
  7. Sa 7 mchana

    Umeme haujakatika Tanzania tu siku ya leo 26/08/2022 hata kenya umekatika, ushahidi huu hapa.

    Hii ni coincidence au hii kitu ilipangwa sitaki kufikiria negative ila ukweli ndio uwo. Taarifa hizi nimezipata toka mtandao wa reddit r/kenya
  8. Sa 7 mchana

    Ofisi ya Uhamiaji makao Makuu hawajalipia huduma ya simu hivyo kuwapata haiwezekani na ofisi ya Zanzibar simu hawapokei

    Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana. Sitaki kuzungumzia email
  9. Sa 7 mchana

    Hichi kipengele cha Health Insurance €30,000 Schegen visa tunakirukaje

    Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje. Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m. Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia. Moderator nisaidie kupunguza...
  10. Sa 7 mchana

    Kazi za kubeba boksi nchini Malta zipo?

    Wakuu mliopo mjuu naomba mtupe ndondondo za maisha ya kujitafuta kwa njia ya kupiga box visiwa vya malta. Kazi za aina iyo zipo? Kama zipo za je mgeni anaweza kutumia makeke gani kuzipata? Na je mazingira ya kuzamia katika visiwa hivyo yanaruhusu? Je malipo yake inakuwaje kulinganisha na...
  11. Sa 7 mchana

    Mke wa Kaka yake shemeji yako( aliemuoa dada yako) unamuita nani au mnaitanaje?

    Waswahili nisaidieni hili Uzi tayari
  12. Sa 7 mchana

    Vilinge vilivyothibitishwa maeneo mbalimbali nchini

    Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta. Naomba nimpe pasi honorable Dr Mshana Jr awezeku-share nasi vilinge mbali mbali anavyovifahamu kutoka...
  13. Sa 7 mchana

    Ushauri: Kuomba Visit Visa ya Marekani

    Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa. Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...
  14. Sa 7 mchana

    Pisi kali ina-date na jamaa inayokata gogo mtoni

    Duniani kunamambo ~ dito voice Kweli dunia inamambo tena toka kitambo. Pisi inayojiita kali ina-date na shamba boi kutoka Muleba, njemba haikijui choo. Haja zote inamaliza mtoni yani tiiiiiiiiiii.............. then pwaaaaah ndani ya maji ya mto. Swali kwenu wadada wa Jf, je unaweza date na...
  15. Sa 7 mchana

    Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wako. Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii. Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm...
  16. Sa 7 mchana

    Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

    Habari zenu wakuu, Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k Naomba kuuliza...
  17. Sa 7 mchana

    Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

    Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA. Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae...
Back
Top Bottom