Search results

  1. famba 06

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Whatsupp zao wameziban , admin tu ndio anatuma msg wengine , mim naogopa kupigwa ndio mana nimekuja huku kwa waungwana
  2. famba 06

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tutawapataje waliokula, kama humu wapo watuambie basi, maana mim mkeka nimeambiwa laki 1
  3. famba 06

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Najua watu wa humuvna wazalendo mtanipa dodoso mim sipo FB
  4. famba 06

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona boom zinatokea kwa wiki anakosa mkeka 1 au anapata mikeka yote,
  5. famba 06

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kuuliza vipi hawa jamaa ni wa kweli kwenye hii mikeka nataka kuingia mazima, najua mnawafahamu kwenye mitandao
  6. famba 06

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Inonga mzee wa kick boxer kamba msamaha kwa kuwakosesha sahani
  7. famba 06

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mthungu anasubiria pass mpenyezo tu. Kama alivyokuwa molinga
  8. famba 06

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Wewe jamaa saiz maanza kukuelewa , jana jamaaa wamelalamikia kikundi cha azov wanakitafsir ni kikundi cha kigaid
  9. famba 06

    Plot4Sale Heka 15 zinauzwa kila heka milioni 1.5

    Hakuna mtaa usio na jina wala kijij kisicho na jina Mf. Mbele ya magomen
  10. famba 06

    Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

    Nimeamini watanzania wanaroho mbaaya sana mioyoni mwao, ila niwaoga sana,
  11. famba 06

    Ushauri: Kilimo gani nifanye kwa mtaji wa Shilingi milioni 20?

    Sikushauri uingie kwenye kilimo , bora usubir kipindi cha mavuno hasa ifakara uchukue mpunga elfu 50 mpka 60 saiz gunia shs 130000, Hiyo itakulipa kuliko kulima
  12. famba 06

    Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

    Umelipooza jukwaa la yanga, au umehama kama manara [emoji38][emoji38]
  13. famba 06

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba imebebwa na maji [emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom