Search results

  1. KING KIGODA

    Hivi Mkurugenzi mmoja wa halmashauri kukaa kituo kimoja kwa zaidi ya miaka 3 hakuwezi kuwa sababu ya kutengeneza ufisadi?

    Nimekuwepo kwenye utumishi wa umma huu mwaka 4 sasa katika halmashauri moja huku mkoani Morogoro.Tangu nilipofika katika halmashauri hii 2020 nilimkuta mkurugenzi ambaye tayari alikuwepo hapa tangu 2018. Kwa muda huu wa miaka 3 ambao nimekuwepo hapa,nimeona na kusikia dili nyingi za kifisadi...
  2. KING KIGODA

    Soko la ubuyu la uhakika lipo wapi hapa Tanzania?

    Habari wakuu! Nimekuwa nikitafuta soko la uhakika la ubuyu ambao bado ni malighafi kwa miaka 4 sasa bila ya kufanikisha.Maeneo nilipo malighafi hii ya ubuyu upatikana kwa wepesi na kwa bei ya chini kiasi ambacho natamani kufanya biashara hiyo. Basi naomba kwa mwenye kujua soko la uhakika la...
  3. KING KIGODA

    Hatua gani za kufuata ili kupata uhamisho Serikalini?

    Habari, Ni taratibu zipi nifuate ili kupewa uhamisho wa muda kutoka halmashauri moja kwenda nyingine au kwenda mashirika ya umma?
  4. KING KIGODA

    Kupanda kwa pressure kunapelekea mgonjwa kupoteza uoni wa macho?

    Mke wangu alikuwa anasumbuliwa na U.T.I na Typhoid. Akiwa kwenye matibabu pressure imepanda na kupoteza uoni kabisa. Nini nifanye kumrudisha katika hali yake ya kawaida?
  5. KING KIGODA

    Ni zipi nukta muhimu kuonekana kwenye daftari la mapato na matumizi?

    Habari wanao! Nina biashara ya mashine ya kukoboa mahindi na kusaga. Nimeanza mwezi wa tatu mwaka huu, tatizo bado sijafahamu namna bora ya kuziweka hesabu kwenye daftari. Na lengo hasa ni kutengeneza mahesabu yatakayo tumika kufanyiwa makadrio TRA. Naomba wenye uzoefu mnisaidie. ASANTENI.
  6. KING KIGODA

    Kuhama toka Halmashauri kwenda mashirika ya Umma

    Habari wana jf! Naomba msaada kwa anayefahamu taratibu za kuhama kutoka halmashauri kwenda mashirika ya umma. Mimi nilikuwa nafanya kazi katika shirika la TANESCO kwa miaka mitano nikiwa temporary.Kwa sasa nimepata ajira ya kudumu halmashauri lakini nataka nirudi TANESCO au shirika lolote...
Back
Top Bottom