Wakuu naomba msaada wa hili jambo nina tablet inatumia 3Gdoungle sasa naomba msaada wa maarifa jinsi ya kutumia tablet yangu maana haisomi kadi ya simu ya voda wala tigo na internet hamna mpaka nitumie wireless
Wakuu nimepewa tablet imetoka china lakini sasa inatumia 3G doungle nikiweka line haisomi sipigi simu wala kupata internet naomba msaada wa namna ya kuifanyia setting wadau ili niwe hewani.asanteni naomba kuwasilisha
Tablet ya lenovo nashindwa namna ya kuseti internet na haisomi sim card nikienda ktk network setting naona VPN , GPRS na wireless nashindwa la kufanya ili nipate mawasiliano...kuna mtu kaniletea kutoka china.
Yaani kwa man u nina 100% anashinda na kwa upande wa hull city historia sidhani kama inaweza kuwa kigezo cha msingi hapo ni nani yupo kwenye form alafu nani ana % nyingi za kuokoka lakini kwa taadhari nawatoa hao maana wote wana presha
Barca na madrid nimewaweka kwenye mkeka mwengine...so huu mkeka wa risk tu...ila man u anataka kucheza UEFA leo lazima ajihakikishie kushinda maana next week ana asernal alafu stock city hana cha kupoteza ila tottenham yupo nafasi ya 6 atahitaji ushindi ili abaki hapo ili acheze UEFA ndogo
Hully wa 17 anahitaji kupanda nafasi ya 16 au 15 hasishuke WBA yeye hana cha kupoteza hapo pia man u anahitaji kumantain nafasi ya kucheza UEFA mwakani tambua week ijayo ana asernal hivyo game hii ni muhimu sana kwake kushinda ili amwache Liver mbali.....hesabu yangu ilikuwa hivi ila kwasababu...
Mkuu yaani mimi naletaga mkeka humu tujadiliane na tushauliane kabla ya kuuweka sana sana umekuwa ukinishauri sana hawa wadau wengine wanaonekaga wakila tu kifupi inakela sana tena sana,hemu tuachane nao hao sisi tuendeleee ipo siku tutapoga mamilioni tu..
Naomba ushauri hapa....mkeka ndio huu nataka kuweka jamani kabla sijauweka naomba msaada wa mawazo yenu....sitaki kupoteza ela yangu....Please!!! Comment zenu mhimu sana wadau
Dah afadhali Mtoto inzi umekuja hemu twende ndani zaidi kwenye huo mkeka....Norwich na middle hawa watu vp? Watakamua kweli?....alafu CSKA mosco nae vp?....uingereza nilitamani sana pia kumpa aston villa lakini nikasita unaonaje hizi game?...hemu tutengeneze pesa jamani week hii tusiwe watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.