Search results

  1. Mnandi

    Uchaguzi 2020 Mapingamizi ya Uchaguzi na Haki ya kuwakilishwa na Mwanasheria

    Kanuni za uchaguzi wa rais.wabunge na madiwani hazikatazi waweka pingamizi na wawekewa pingamizi kuweka mawakili wa kuwatetea. Kuna kanuni inayosema kuwa wahusika watapewa fursa ya kusikilizwa. Hii inajumuisha haki ya kusikilizwa kwa kutumia wakili. Taarifa yangu ni kuwa Tume ya Uchaguzi...
  2. Mnandi

    Prado Diamond: Bei sawa na bure

    ametoa ili ionekane gari bado mpya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mnandi

    RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

    JUAN MANUEL, Hii post yako si mchezo [emoji86][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Ukweli mtupu! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mnandi

    Car4Sale BMW X3 E83 X-DRIVE

    bado ipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mnandi

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Maendeleo ya Nchi yoyote Duniani yanaanza na "Rasilimali Watu", rasilimali nyinginezo kama madini,mafuta,maliasili mbalimbali ni nyenzo tu ambazo bila Rasilimali Watu yenye Elimu, Ujuzi (skills), Ufahamu, Ubunifu, Uthubutu na UHURU na Haki, Maliasili hizo nyingine hazitokuwa na faida yoyote kwa...
  6. Mnandi

    The judiciary is supposed and duty bound to protect the rights of citizens who approach its doors to seek justice

    The Court is not knight errand going about knocking down bad laws/executive decisions. Otherwise, who will be the parties? It is the duty of every citizen to protect/defend legality. Besides, if the rule of natural justice bars any interested party to be a judge of his own course, who will judge...
  7. Mnandi

    Rais Magufuli ampongeza RC Mbeya kwa kuchapa viboko wanafunzi. Awafukuza shule wanafunzi na kuvunja Bodi ya shule

    Rais wetu huyu dahh [emoji2948][emoji2948][emoji2948], sijui tulijikwaa wapi 2015 [emoji1381]. Inamaana sheria inayotoa muongozo wa nani amwadhibu mwanafunzi haina maana sasa...Utaratibu wa collective punishment tulishaachana nao tangu mwaka 1994, tume ya Nyalali..Mambo yanayoendelea sasa...
  8. Mnandi

    Rais Magufuli kutembelea China

    atafanya ziara hiyo lini? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mnandi

    Tundu Lissu: Spika asilete hoja kuwa sehemu aliyopelekwa ndio inakuwa kikwazo yeye kulipiwa gharama

    kwa majeraha yale ya lissu lazima alikuwa sedated ili apoteze maumivu, kupewa dawa za usingizi ilikuwa ni lazima ili apatiwe huduma ya kwanza. Kwahiyo mbowe hakukosea alivyosema na pia lissu hajakosea..Tuache ushabiki usio na maana
  10. Mnandi

    Tundu Lissu: Spika asilete hoja kuwa sehemu aliyopelekwa ndio inakuwa kikwazo yeye kulipiwa gharama

    Hajaenda shule huyo, anachanganya L na R sjui kasomea wapi.. (akiludia, mala)
  11. Mnandi

    Tundu Lissu: Spika asilete hoja kuwa sehemu aliyopelekwa ndio inakuwa kikwazo yeye kulipiwa gharama

    wewe kwa akili yako ya kilumanga unadhani Lissu baada ya kupigwa risasi angetibiwaje bila ya kupewa dawa za usingizi atulie alale. Au ulitegemea na yeye kwa hali yake ile aingie kwenye kikao cha kuamua apelekwe Nairobi au Muhimbili? Acha ushabiki wa mambo yasiyo ya kibinadamu..
  12. Mnandi

    Tatizo la PayPal Refunds kwenye CRDB Account

    hivi hili tatizo la hela kurudishwa kwa paypal mlilimalizaje? na mimi nimepata shida hii hii Bulldog C.T.U Brakelyn Bulldog UncleUber Chief-Mkwawa #Njunwa Wamavoko mkuu tafadhali pitia na huku utupe uzoefu wako
  13. Mnandi

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Habari zenu wakuu. Leo hii nimelipia gari '2002 Suzuki Carry' toka Japan. Lina specifications kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Ninachotaka kujua ni gharama ya kulitoa bandarini 'Dar es Salaam Port charges', Registration, Shipping Line etc ni kiasi gani kwa uhakika, ili nijue najiandaa...
  14. Mnandi

    Naomba msaada napata shida kutumia ufunguo wa spear wa gari

    mkuu kwahiyo gharama yenu itakuwa kiasi gani? nashkuru sana kwa ushauri mkuu, naamini hapa Tanzania kuna mafundi wazuri tu ambao wanaweza kulishughulikia swala hili kwa gharama nafuu bila kuharibu gari yangu. Nikikosa itanilazimu kurudi kwa dealer tu
  15. Mnandi

    Naomba msaada napata shida kutumia ufunguo wa spear wa gari

    Habari zenu wakuu, nina shida kidogo nahitaji ufumbuzi. Miezi miwili iliopita nilinunua gari toka Japan (2001 Land Cruiser Prado) na kwa sasa limeshafika na nimeanza kulitumia. Tatizo ni kwamba, limekuja na funguo mmoja tu ambao ni Master Key. Kwakuwa nina uzoefu wa siku nyingi wa magari...
  16. Mnandi

    IST imesimama

    nani apoteze muda wake na vocha kupiga simu kuulizia bei ya IST, weka bei kwenye tangazo lako hapa ili mtu ajue anajiandaa vipi kabla hajakutafuta ,,
  17. Mnandi

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    ipo Suzuki Escudo 5-Door, 1590cc, (Manual), YOM-1994,,Bei 5,200,000/=,,Contacts: 0783-115545, Arusha..
  18. Mnandi

    Nahitaji smartphone nzuri nina laki 4 na 40.....440, 000

    Atapata smartphone mpya lakini sio latest smartphone, atapata smartphone ya kizamani. Hata S3 Mpya Box Sealed hapati kwa bei hiyo..bora aendelee kutafuta used smartphone (mint condition) ambayo ina specification za kisasa,,
  19. Mnandi

    VEROSA mpya inauzwa

    mwenye thread atusamehe bure tu kwa kujadili gari zingine ndani ya thread yake.. sasa mkuu kuna 1996 Nissan Caravan Coach na 1996 Nissan Caravan Van, yako ni ipi kwasababu ushuru unatofautiana? Anyways, Ushuru wa 1996 Nissan Caravan Coach ni hivi.. Ushuru wa 1996 Nissan Caravan Van ni...
  20. Mnandi

    VEROSA mpya inauzwa

    kwa hesabu za chap chap nadhani atakuwa anauza bei kuanzia 10mil hapo akiwa ameweka kafaida chake kidogo. Ukiagiza toka Japan (Beforward) inakuwa hivi. CIF (DAR) = $2380 ~ 4,130,000/=Tsh. (1$/1700Tsh) + TT Cost TRA Duty ~ 4,800,000/= Shipping Line, Port Charge, Clearance Fee, Motor Vehicle...
Back
Top Bottom