Search results

  1. tzkwanza

    Tanzania hatuna teknolojia ya kuchuja maji taka hadi tuyaelekeze mitoni?

    Leo wakati akikagua machinjio ya Vingunguti amesema maji na uchafu wote unaotoka hapo machinjioni yaelekezwe kwenye mifereji maalum hadi mtoni. Swali ni mto gani huo utakaokuwa unapokea huo uchafu? Pia hatuna teknologia ya kushughulika na huu uchafu badala ya kuutupa mtoni ambapo watoto wetu...
  2. tzkwanza

    Kondomu zadaiwa kuadimika mkoa wa Mbeya

    Serikali ichukue hatua za haraka kupeleka angalau Lori mbili za dharura === Baraza la madiwani halmashauri ya Jiji la Mbeya limehoji kukosekana kwa kondomu kwa takribani miezi minne katika kumbi za starehe, baa na kwenye vilabu vya pombe jambo lililoelezwa kuwa linaleta hofu ya kuongezeka kwa...
  3. tzkwanza

    Waziri Bashungwa na Dkt. Abbas muwe makini na kiki ya Yanga itawatokea puani

    Mlitaka kumfurahisha mama kwa kusogeza mechi mbele ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi pia kumpa mama nafasi ili aje uwanjani. Kiki hii iligonga mwamba. Kiki ya pili mnataka kuwapa lawama Yanga na TFF wakati UJINGA mmeufanya nyinyi wizarani. Hii kiki ya pili nayo itawatokea puani...
  4. tzkwanza

    Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

    Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000. Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000. Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
  5. tzkwanza

    Je, Rais alikuwa sahihi kuwaomba msamaha wazee?

    Jana kwenye mkutano kati ya Rais na wazee wa Dar es Salaam aliwaomba msamaha kwa kuwalazimisha wavae masks/barakoa. Swali: Huo msamaha ni wa nini? Maana dunia inapitia janga la Corona hivyo kuwalinda na kujilinda ni jukumu la kila mtu sio suala la hiyari au kubembelezana. Pia kama kamati...
  6. tzkwanza

    CCM, siasa za visasi hazifai kamwe

    Kuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi? Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio...
  7. tzkwanza

    Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

    Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa. Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
  8. tzkwanza

    CCM tumemsajili Hamisa Mobeto hongera CCM mpya

    Video inajieleza. Hii ni kazi nzuri ya Bashiru na Polepole.
  9. tzkwanza

    Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

    Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter. Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000. Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake. Ona...
  10. tzkwanza

    Kigwangala ujumbe wako huu!

    Tazama hiyo video, wakati unashinda twitter kujibizana na kuchambana na kina kigogo wenzio wanatangaza vivutio
  11. tzkwanza

    Tumekiki hadi Nigeria, ahsante Corona

    Vituko vyetu kwa jinsi tunavyoichukulia Corona vimefika hadi Abuja-Nigeria..video Sent using Jamii Forums mobile app
  12. tzkwanza

    Kenyatta, Museveni, Kagame na Lungu wasijibiwe kihuni, kejeli wala matusi

    Watanzania wenzangu, napenda kutoa wito kwa serikali na chama changu cha mapinduzi kuwa katika vita hii ya corona tuwe makini sana na kauli zetu. Tumeshafanya makosa tukubali kurekebisha. Tuache visingizio vya mabeberu, mashine za kupimia n.K Majirani zetu wote wamechukua tahadhari na...
  13. tzkwanza

    Kwa watu wafupi tu

    Mwenzenu huyu hapa alidhalauriwa ila leo ni rais, msife moyo:video Sent using Jamii Forums mobile app
  14. tzkwanza

    Mchungaji: Wasio na mvuto marufuku kuoa au kuolewa.

    Video inajieleza. Sina maneno mengi. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. tzkwanza

    BOTSWANA: Ukiua unanyongwa, hawa jamaa wamenyongwa leo asubuhi

    Botswana, one of the few democracies to still enforce the death penalty, on Saturday executed two men convicted of murder. The latest executions bring to four the number of hangings since President Mokgweetsi Masisi was elected last October. Moabi Seabelo Mabiletsa, 33, and his co-accused...
  16. tzkwanza

    Wimbo mpya ya kumsifu Rais

    Tuimbe sote, hii hapa video
  17. tzkwanza

    Huyu mama ni mpotoshaji kuhusu masuala ya ndoa. Adhibitiwe

    Atavunja ndoa nyingi sana kwa kujifanya anataka kumaliza/kuondoa mfumo dume. Mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mpango wa Mungu
  18. tzkwanza

    SNGLE MOTHER NOMA! video

    Cheki maneno ya single mother hapo, video.
  19. tzkwanza

    Hapa wa Afrika Kusini wanamaanisha nini?

    Aliyeelewa atutafusrie siye Saint Kayumba.
  20. tzkwanza

    Je, hii video na kinachozungumzwa ni kweli? Naomba tujuzane

    Watu mliopo South Africa na maeneo mbalimbali, je hii video ina ukweli wowote au ni kutisha tu watu?
Back
Top Bottom