Azam Media na Shirikisho la Soka Kenya waingia mkataba wa haki ya matangazo kuonesha ligi ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23, kwa muda wa miaka saba.
Hii ni hatua njema kwa kukuza ligi za ukanda wetu. Wakenya toeni support kwa Azam media, mtafurahia sana.
Viva Azam.
Viva...
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.
Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji...
Wana bodi salam
Nyumbani kwetu kigoma. Nimezaliwa na kukulia hapo kabla ya kuanza kusafiri kwenda nje ya mkoa wa Kigoma.
Kigoma ni mkoa ulio jirani na nchi za Rwanda na Burundi. Kwa nilivyo tembea, sijawahi kuona mkoa wowote ulio jirani na nchi nyingine wakazi wake wananyanyaswa na kubaguliwa...
Nimekuwa natafakari sana, na nimekuwa nasoma maandiko mbalimbali kuhusu kesi ya Babu Seya, mengi yamesemwa, mengi yameandikwa.
Swali langu ni kwa hawa mashahidi waliojenga hoja kwa upande wa mashtaka, wako wapi na wanaendelea vipi?
Tanzania ni ndogo sana na jamii forums iko kila eneo.
Nawasilisja
CAG katoa ubadhirifu na upotevu wa mabilion ya shiling, lkn sijaona ni kiasi gani kwa ujumla kimepotea ambacho kama kingekusanywa kingerumika kulipia miradi mbalimbali ya serialli.
Mwenye kujua total value of government loss ni shiling ngapi tafadhali.
Juzi nilikuwa naelekea bunda kutokea Mwanza. Kuanzia Magu hadi bunda, mashamba ya mahindi yote yaliyo kando ya ziwa Victoria yamekauka kwa kukosa mvua, mengine yako chini ya mita 100 toka ziwani.
Nilianza kufikiria, hivi tunahitaji bilion ngapi ili mashamba yote yaliyo kando ya ziwa victoria...
Wana bodi,
Nchi maskini na watu masikini wapatao 12,000 wa Kenya, watanufaika na mabanda 6000 yenye uwezo wa kibeba watu wawili wawili yatakayo gawiwa na china mara baada ya mashindano ya kombe la dunia kumalizika.
Ndugu zetu wa kibera watanufaika kwa mpango huu maana ndio hawana mahali pa...
Nchi imeendelea, nchi watu wake wameendelea wakati hakuna tajiri hata mmoja. Tulieni nyie mnaongoza kwa wizi na kujimilikisha ardhi tu siyo mambo mengine
Link: https://www.forbes.com/lists/africa-billionaires/?sh=3880d6424d5c
Kuna mwamba kutoka Mbeya anaitwa Chikumbalanga. Mwaka wa 2018-2020 ilikuwa boom kwake. Alijizolea umaarufu na akaanza kupata matangazo ya kibiashara.
Mabeberu wakambrand, akawa hot mjini. Lkn leo hii akaunt zote alizokuwa anatumia hazijulikani zilipo. Iliyopo, post ya mwisho ni muda sasa.
Wapi...
Magufuli alipoingia madarakani 2015, alijua wazi kabisa, mgao uliokuwepo ilikuwa dili za wakubwa. Kazi ya kwanza aliyoifanya, ni kukomesha dili hizo.
Baadae meneja wa TANESCO huko Kidatu akakutwa na ukwasi wa kutosha akashindwa kuutolea maelezo. Hajulikani hadi sasa yuko wapi.
Magufuli...
Kwa takwimu hizi za corona, naishauri serikali iweke kumbukukumbu sawa. Ianze kutoa taarifa za:-
1. Waliochanja
2. Waliolazwa na kama wamechanja au hawajachanja.
3. Waliofariki ieleweke wazi kama wamechanja au hawajachanja.
Iwapo jamii itaona waliochanja hawapo hospitalini kwa corona...
Wana boda salaam.
Naombenj shule kidogo ya kuhusu YouTube tranding.
Diamond aliachia wimbo wake siku moja kabla Kiba hajaachia ngoma yake.
Wakati diamond ana views 3m ndani ya siku tatu na masaa mengi, Kiba ana views 3.2m ndani ya siku mbili, karibu ziwe tatu.
Swali langu ni kwa nini Kiba...
1. Tanzania
2. Burundi
3. Rwanda
4. Sudani
5. Uganda
6. Kenya
Ukibisha toa sababu zako
https://www.goal.com/en-tza/lists/ranking-soweto-derby-africas-five-biggest-derbies/1pfihuv83rtqn1j0x9wvyltuid
Hii kasumba ya kutaka kila kitu kinachoshine kionekane ni cha Kenya imekithiri sana.
Kilimanjaro iko Kenya
Samatta ni mkenya
Idris sultan ni mkenya
Diamond ni mkenya
Ali kiba ni mkenya
Harmonize ni mkenya.
Kila kitu kizuri wao ni chao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.