Search results

  1. MtuMmoja

    Kwa matokeo haya anaweza kwenda chuo gani kusoma certificate ya IT?

    Habari wana Jamvi. Nina mdogo wangu ana hizi marks kwenye matokeo yake ya FORM FOUR mwaka jana 2015. Biology D Chemistry D Kiswahili C Mengine yote ana F Huyu dogo anataka kusoma mambo ya IT yaani aanzie Cheti, Certificates kulingana na marks zake zilivyo, ila nimejaribu kuangalia vyuo kadhaa...
  2. MtuMmoja

    Oracle training course

    Habari zenu wanajamii forum, naomba msaada wa mwenye kujua wapi naweza kupata training ya ORACLE database hapa dar, Hatua technology nimeskia wanatoa hii course but ni training pekee bila Certificate(cheti cha kuhitimu),so nataka wenye kutoa training na cheti pia ada yake coz kuna mchongo flani...
  3. MtuMmoja

    Dell D620 inauzwaa!!changamkaaa!

    Wadau kuna dell d620 inauzwa hapa,ni USED ina mwaka mmoja na nusu RAM=1GB HDD=80GB and 32bit OS BEI=Tsh 280,000/= za kitanzania Matatizo 1.Betri imekufa 2.Ina small ink spot katika screen dizain kama wino umetawanyika hivi pembeni mwa screen IKO BOMBA!! mawasiliano 0718990729 TABATA,DAR!
  4. MtuMmoja

    Google chrome inazingua!!!

    Wataalamu naomba mnijulishe hili tatizo sababu zake ni zp!natumia chrome kama default browser yangu,lakini nikifungua facebook ,ile page hai display yote yaani inaonesha ile ribbon ya facebook,my profile,find friends, na home bila ya kuonesha profile picture yangu na full page!!hata niki click...
  5. MtuMmoja

    Computer Experties kwa hapa Bongo!

    Kwa Muhitimu wa degree ya Computer Science na Computer Engineering ,kwa serikalini mshahara wake ni kiasi gani au una range ipi!!I mean umeajiriwa kama Network Administrator,System Analyst au Programmer,na kwa private company salary ikoje,naomba mwanga kidogo katika hili. Wapi ni bora serikalini...
  6. MtuMmoja

    Joomla template problem!!!!!please

    Wakubwa kwa mwenye kujua hii error tunaondoaje naomba anisaidie!ni hivi: Nimejaribu kuestablish categories pamoja na Articles zake kisha nikacreate link katika main menu hizi article.Baada ya kuweka article ya pili nikakosea kwenye kuchagua single article,kilichotokea ni kwamba katika visitor's...
  7. MtuMmoja

    Mobile Application!!!

    Wadau mimi nimesoma java programming pamoja na c programming na sasa napiga php!kwenye java cko fresh kivile ila c afadhali!!sasa kuhusu mobile application naipenda sana!ila naomba ushauri wenye kujua,ni mpaka usome software development au hata ukijua programming,na ni lugha gani inaweza kufanya...
Back
Top Bottom