Search results

  1. enky

    Tumalizie charge kwa kutaja nyimbo za kibongo 5 ambazo ni "TIMELESS"

    1.Getto langu tu -mangwea 2.Mtazamo -Afande solo Prof 3.Dar es salaam stand up - Chid benz 4.wanakuita sugu- Taita sugu 5.hii leo -AY ,Fa & GK
  2. enky

    Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

    Chief umemaliza vyote,hapo hujaweka featuring alizofanya cow-bama, huyu kipindi mabibo hostel inavuma alibadili ile nyimbo ya hotel ya cassid ikawa mabibo hostel kuna ile in da club ndio mnamfananisha na kenge gani wa kizazi hiki alivyosema akifa pengo halina spea alimaanisha..
  3. enky

    Naomba wajuvi mnipe specs za Audi Q7 na Subaru Forester XT eye site

    Mkuu,audi Q7 ni bmw x5 au volkswagon tourage ilochangamka,cc 3000 ni diesel hivyo mafuta sio ishu sana,kama mfuko wako uko vizuri livute tu
  4. enky

    Nishaurini kuhusu Nissan Pathfinder

    Gari nzuri sana,engine ndogo kwa gari ya caliber yake 2.5i diesel na ina turbo,mbio ndio zimelala kama unapenda mbio unachanganya faster,na nisix speed,shida yake ni spare,ikizingua unapark,ziagizwe japan/Thailand,ila sio gari ya kuharibika hovyo pia,maana ni level ya ford everest,toyota fortuner.
  5. enky

    Antonio Nugaz, Captain Gadner G.Habash na Phillip Mwihava, nani mkali wa matangazo?

    RIP kibonde alikua hatari,then capitain,nugaz. Nakumbuka tangazo la kibonde la yanga daaah
  6. enky

    Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Balaa lake zito hiyo engine ndogo ila speed ni hatari,ila vifaa vyake havipatikani sana bongo,ila unaagiza tu siku hizi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. enky

    Dk. Willem Jacobs: Hatutakiuka makubaliano yoyote tuliyoweka na Tanzania katika malipo

    Mkuu namba 2 ni economic benefit sio financial profits so usichanganye mambo ya 50% 50% Sent using Jamii Forums mobile app
  8. enky

    Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Yes nijuavyo mimi CEO /President barrick ndio mwenyekiti wa board ya Acacia,so barrick kusema wamesha peleka mapendekezo waliokubaliana na serikali wako sahihi,press ya acacia ni ya management ya acacia,utakumbuka mara ya kwanza prof john alisema atalipa$ 300 management ya acacia ikasema...
  9. enky

    Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

    kumbuka wali drop Harvard sio udsm they better take a note,havard mtu 1product ya havard tunae hapa tanzania anasumbua sana ,mikataba yote ya upigaji yupo, na hashtakiwi,maana hakuna ushahidi wa kumfunga,anatumia akili,pale hawasomi wajinga ni vichwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. enky

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    baadhi ya pics Sent using Jamii Forums mobile app
  11. enky

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    hapa ni few mita kabla ya barafu camp,kuna view nzuri sana watu wanapiga picha,nilipanda mwaka jana na ile geita kili challenge,sikufanikiwa kufika uhuru,muda wa kwenda summit,oxgen yangu ilienda low to 47% mzungu 1 akaniambia haitakiwi kuwa below 80% nikajishukia sikutaka kurisk but i was there...
  12. enky

    TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika na Alex Lugendo

    acha kuongea vitu usivyo vijua kuwa na fact kwanza ,lugendo mi mwajiriwa wa acacia,chief advisory government relation ,lini amekuwa mwajiriwa wa serikali..chuki dhidi ya binadamu wenzenu ni mbaya sana
  13. enky

    Ujio wa Prince William Sisi kama Taifa Tunanufaikaje ???

    Mjukuu huyu sio mtoto
  14. enky

    Baadhi ya Askari ni wahalifu walioidhinishwa (Certified Criminals)

    Pole sana mkuu,nalaani hiki kitendo cha kihuni,ulichofanyiwa ingawa saiz wanaficha ficha ingawa video inawaumbua,wasamehe tu bure maana haki haita tendeka.ingawaje jeshi linahitaji marekebisho makubwa sana,
  15. enky

    Niulize chochote kuhusu Uchimbaji Mdogo wa Dhahabu na mambo mengine yanayohusiana na hayo

    mkuu hapa na mimi ndio ninapopataka sana ila hiyo capital ndio balaaa
  16. enky

    Iko wapi ndege ya Rais iliyotulisha nyasi za Mramba?

    Mzigo huo mara nyingi mama samia ndio anautumia
  17. enky

    Iko wapi ndege ya Rais iliyotulisha nyasi za Mramba?

    Sio hii ile gulfspring ipo ukipita airport terminal 1 utaikuta mkuu
  18. enky

    Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Haka kagari ni hatari sana mkuu,ni cha muingereza baadae kalinunukiwa na bmw
  19. enky

    Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Crown gari stable ila haina mbio,ukiwa na rangerover na unatembea,hiyo crown haitaona umepita wapi,vw bmw,benz,audi, hizo ndio gari,hiyo ingine ni jaguar sasa amua mwenyewe
Back
Top Bottom