Search results

  1. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    Na kikwete akamteuwa kuwa Mbunge na Spika Sitta na saba akampongenza na kusema kijana kawiva. Tena kwenye kipindi kidogo sana si zaidi ya miezi mitano akiwa ni mara ya mwanzo kuingia kwenye shughuli za kibunge... sasa nadhani juha wewe unapelekeshwa mchaka chaka na M4C
  2. A

    Jussa na Zanzibar huru, ndani ya CNN - Inside Africa

    Kwa CUF msimamo mmoja na ndio Lipumba anaunga mkono. Na ndio maana kwenye facebook vijana wa CUF wanahimiza hilo. Yanakukereni nini ya Zanzibar?
  3. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    Nimependa hii "fool is a fool either go to school o not still a fool" mimi huwaita makasuku. Akisha kusemwa vibaya Jussa kwenye Nipashe basi hawataki kujuwa kasema nini na nini hata uwaletee video.
  4. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    Na wascotish? utawaitaje maana wanataka kujitenga? Ugiriki unafikiria hayo hayo?
  5. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    Raha huyu Degree yake hakusomeshwa na akina dr Lwaitama, sijuwi Baregu, kasomeshwa a wenye kujuwa elimu. Hawa wanaokwenda Mlimani huishia CCM umoja wa vijana au CDM
  6. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    Sawa maana hayo majumba hapo Kariakoo mumeyajenga nyinyi. Huko mikoani wale wapemba wanao limisha mashamba wanatumwa tu. Tunao vijana wa Kibara huko nje, UK, Marekani kubwa kulewa kama Mac Makuba ali kibaa hakukosea...
  7. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    Mutabaki hivyo hivyo, kwetu sisi Zanzibar ni BIRIANI kuna mpaka wachina wote wana haki moja. Mzee Hassan nassor Moyo kwao Singida lakini yeye kazaliwa Zanzibar. Ndio maana sisi tukataka urafiki na visiwa kwasababu hizi hizi watu wa bara muna ubaguzi. Singapore wengi wao ni wenye asili ya...
  8. A

    Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

    wewe pofu hiyo sio kutokana na waarabu ni uislamu unaosema oweni wawili, watatu, wanne kama hamuwezi kutenda haki basi oweni mmoja tu... kama kuna kosa ni juu yangu mimi. Kwanini usiseme mila za kiafrika kama South Afrika akina Jacob Zuma zinaruhusu wake wanne. Kwanini usione Swaziland ambao...
  9. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Jokakuu, Alaa umesahau kamba wewe umesema sisi Zanzibar munatuonea huruma tukitoka kwenye muungano tutakuwa na matatizo! Karafuu haijapatapo kushuka bei, wakuu wa serikali tu katika kutaka kuwanyonya wanyonge wakawa wanatubana kwenye kuinunuwa. Wimbo huo huo umedumu mpaka 2010. Kuja kwa SUK...
  10. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Msikilizeni na waziri wa fedha wa Zanzibar uone mambo yenu yalivyo juu ya Zanzibar. Huyu ni CCM na wala sio rafiki wa Jussa. Kamati ya Maridhiano Six: Semina ya BLW Kuhusu Marekebisho ya Katiba; July 2012; Part 4 - YouTube
  11. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Na iwe hivyo anataka kuvunja muungano kwani geni hilo? Kwanini wangapi washasema hayo tena huko huko bara? kwanini iwe ni kiroja kwa Jussa? EU wana sovernenity na wana raha zao. maana m-swedish akitamanikwenda kuishi Netherland hakatazwi na atapa mahitajio yake yote kama sheria inavyo sema...
  12. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Jokakuu, Zanzibar haitakuwa kwenye dhiki yoyote na Tanganyika kwa upande wa viongozi wanajuwa hilo.Wanafahamu siku Tanzania itakapo vunjika na Tanganyika ikawa huru, basi nanyi mutakuwa kama Uganda, Nigeria na nchi zilizo kuba na mapinduzi. Kunusuri haya basi bora tubakiye hivi hivi. Zanzibar...
  13. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    KWani hatukutaka. Ilikuwa miaka nyuma kutamka tu muungano basi ni kosa kama kosa kwa kutilia shaka holocaust dhini ya jews au hujui hilo. Ubabe na nguvu na kuhahalisha ka nguvu ndio tumefika hapa tulipo fika. Kani scotland si hawautaki jeee na wao wauvunje tu si kuna taratibu zake. Nyinyi si...
  14. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Kwa kuengezea tu, Bwana Butiku mwisho anasema Jussa umeelewekwa, sasa kama wewe wadhani honest hakuwa wazi, sijuwi kwasababu zipi? Magazeti nayo kupotosha kama alivyotaka mzee arioba kutaka kupotosha kwa kumuambia Jussa kapotosha wakati yeye anafahamu historia ya nchi zetu mbili kila mmoja...
  15. A

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Anacho fanay Warioba ndio hilo alilosema Jussa kwamba anajaribu kutia khofu watu kwamba mukifanya hivi itakuwa hivi. Hiyo sio kazi yake kuhoji na kudadisi na kama alivyo sema Mhe. Jussa kwamba asitarjiye (warioba na butiku na wenzake wa tume ) kwamba ataweza kumjibu vizuri zaidi kwenye dakika 5...
  16. A

    Jussa na Zanzibar huru, ndani ya CNN - Inside Africa

    Ahaaa hayo ndio yaliyo baki tusubiri nipashe wakulisheni maneno muanze kuporoja.
  17. A

    Jussa na Zanzibar huru, ndani ya CNN - Inside Africa

    Jussa amekuwa wazi na amesema kabisa kwamba yeye hagusii shirikishi na akasema wazi kabisa kamba hakutakuwa na serikali ya Muungano badala yake kutakuwa na mashirikiano. Muungano sio lazima huu tulio nao. Wa EAC pia ni muungano, wa EU ni muungano na wengine wanweza kuwa na muungano kwa mambo...
  18. A

    Jussa na Zanzibar huru, ndani ya CNN - Inside Africa

    Kwasababu hii ya kutaka kuitetea zanzibar ka kituo: Sasa sikilizeni hivyo alivyo umbuliwa Mhe Ismail Jussa kunako semwa na magazeti ya Tanzania bara na wengi wakawa kama makasuku kkuyakariri ya magazeti kama jukwaa la Jamii Forum. sikilizeni kwa makini baada ya kusha kutowa maoni yake, Jaji...
  19. A

    CUF maji ya shingo kesi ya kukaidi Amri Halali ya Mahakama

    Vijana wa CDM wanachekesha kweli pale wanapo jipa moyo kwa kujifurahisha endeleeni kubaki mithili ya fisi kudhani mkono utadondoka yagujuuuu
  20. A

    Prof Lipumba, Maalim seif kuiteka Bukoba j/nne na MCHAKAMCHAKA hadi 2015.

    Muflis... Kwani Nyerere na yeye alipokuwa akienda kule England kudai uhuru wake akienda tu, si akipita kwenye desk la immigration kufuata taratibu. Siiku mutakayo sema kuna serikali ya Tanganyika basi tutakuja kwa passport zetu za Zenj Empire na visa tutaomba, lakini kwa sasa atakuja bila...
Back
Top Bottom