Search results

  1. Koffi Annan

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Meneja alitakiwa kuvumbua mapema kwamba anaongea na nani ili atoe maelezo gani na hapo ndio tunakuja kwenye communication skills tena za kawaida tu sio za darasani, kwa sababu alishajua anaenda kukutana na mtu wa namna gani; Makonda yupo kazini kutafuta fame na huruma ya wananchi kwa sababu...
  2. Koffi Annan

  3. Koffi Annan

    Ushauri kwa simba yangu

    Bado mjathema
  4. Koffi Annan

    Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Usivae underwear kama hutojali. Huwa nakimbia bila undewear maana huwa zinaharibika sana na jasho, ukishafanya mazoezi mara mbili huwa inabadilika kabisa, kama unashindwa kutembea bila kuvaa vaa Jersey shorts.
  5. Koffi Annan

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Ni Mo na gavoo, ngoja tuone pesa na mamlaka kipi kina nguvu
  6. Koffi Annan

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Mkuu kuna mambo yapo ila hayasemwi, binafsi hii kesi ya mdau nimeshuhudia sana ila kwa kule kwetu sijawahi shuhudia mtu akioza huwa wazee wanamuwahi wakiona hapa hamna kitu, Na wapo wazee mpaka dakika hii wana umri mrefu hawaumwi ila familia zao zinasema huyu naye ana kizizi. Na dawa za...
  7. Koffi Annan

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Kutokufa na kuoza kwenye scenario kama hii ni exception case, na hakuna kitu kina advantage kikose disadvantage hiyo ni nature, ndio maana pia dawa za mzungu tunameza ila zinaharibu figo, hapa tunaangalia advantage mtu aliyopata kuanzia kuwekewa imemkinga na hatari ngapi mpaka kufikia huo umri...
  8. Koffi Annan

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Hiyo elimu ipo na watu wanaitumia, ni wewe hapo huijui kutokana na mifumo iliyowekwa inayopanga wewe ulishwe nini na ufichwe nini, Wajanja wachache ndo wanajua
  9. Koffi Annan

    Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Nimeshachelewa kazi bado mnataka nijichukulie sheria mkononi Jf wabaya sana
  10. Koffi Annan

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Ni kweli, kijijini kwetu kuna bibi mmoja yeye mtoto mchanga hata augue vipi ukimpelekea anamwangalia anakwambia njoo kesho na kiasi flani cha pesa uchukue dawa yako, na asilimia 90 ya watoto wanaponea kwake na dawa za mitishamba za majani na mizizi
  11. Koffi Annan

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Kwani unataka tuanze kukuelezea namna wazungu walivyoua mila desturi na tamaduni zetu, na kisha kuweka mifumo ambayo itatulemaza milele?!
  12. Koffi Annan

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Last week my phone iliharibika nikaenda duka moja kukopa simu, nilikuta imebandikwa stiker 570k, nikaangalia ile simu sokoni ni 400k, nikasema sio mbaya maana nikikosa simu shughuli zangu zitasimama, nikaanza process zote kwenye kumaliza mpaka jioni naomba statement nakuta natakiwa kulipa 860k...
  13. Koffi Annan

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Hakuna ajabu yoyote ila ni elimu, hio haina tofauti na uhai uliofichwa kwenye sindano na vidonge kwani usipochomwa au kumeza unakufa na ukitumia unapona. Hivyo kuna tofauti gani na aliyelinda uhai wake kutumia mti? Nikupe mfano mwingine, Huyo mzee hata ingetokea ajali asingekufa kirahisi, Je...
  14. Koffi Annan

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Naheshimu sana sadaka na kumbuka pia hata kumpa mzazi wako hilo fungu la kumi ni baraka maradufu, tusijikimbilie kutoa hela mara kanisani mara kwa wazazi mara kwa misaada, chagua kimoja at a time, kama una kipato cha 1M kutoa zaidi ya 50k kama sadaka ni kujiumiza huku tukiendelea lalamika...
  15. Koffi Annan

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Kutoa ni moyo na huwa natoa popote pale ambapo naona kuna uhitaji na mimi nahitajika kutoa, hivyo fedha ya sadaka inatoka popote kati ya hizo sehem tatu kutegemea na wakati
  16. Koffi Annan

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Natumia hii 50 basic needs (food, shelter na nguo za kawaida) 25 wants (gambe, kuhonga, gheto update, sneaker, phone, electronics, wazazi na ndugu) 25 savings
Back
Top Bottom