Search results

  1. Mwanamalundi

    Bodi ya Utalii Tanzania: Hatujamtuma Mwijaku Kutangaza Utalii Mitaani Ujerumani

    Bongo zozo huwa anatangaza sana utalii wa Tanzania. I hope ana kibali cha TTB
  2. Mwanamalundi

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Naunga mkono mada hasa katika suala la elimu. Wachaga wako mbali sana ukilinganisha na makabila mengine tanzania. Juzi juzi tu hapa wamefanya maajabu ya kurusha chombo kwenda kwenye space kutokana na elimu waliyopata katika sekondari ya umbwe, lyamungo, kibohehehe, ashira, machame girls, moshi...
  3. Mwanamalundi

    Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    ulioa ukiwa na umri wa miaka 17? Ulianza mahusiano na mkeo ukiwa na umri wa miaka 15? Maelezo yako yanaonesha ulizaliwa mwaka 1985.
  4. Mwanamalundi

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Ni utoto tu ndiyo unakusumbua. Toka lini umewahi kusikia katika ulimwengu huu, mwanaume kuwa na mwanamke mmoja? Mwanamke mmoja ni mama mzazi tu. Ukikua utapotezea!!! Kwa ujumla, hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja duniani. Never, ever!! Hutaki unaacha.
  5. Mwanamalundi

    Sifa za wanaume weupe

    Inasikitisha sana. JF? Siamini kinachoendelea.
  6. Mwanamalundi

    Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

    Siyo kila PhD unayoona mtaani ni PhD. PhD nyingine ni sawa na makaratasi ya kufungia maandazi. Vyuo vinavyotoa PhD kwa level ya kitanzania ni UDSM, SUA na Muhimbili. PhD nyingine zote ni feki tupu. Na hivyo vyuo ukilinganisha na vyuo vikongwe duniani kama Harvard au Cambridge, PhD zao (UD...
  7. Mwanamalundi

    Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    1. Acheni kulia lia ovyo ovyo. 2. Dhana ya uchumi wa viwanda bado haijaingia kichwani. 3. Value addition ni muhimu sana 4. Soko siyo lazima liwe kenya. Acha kukariri
  8. Mwanamalundi

    Ukweli kuhusu Madiwani watano wa ACT Wazalendo waliohamia CCM

    1. Mleta mada unadhihirisha udhaifu mkubwa sana uliopo ndani ya ACT wazalendo. Kama hao viongozi waliohama huko ACT ndiyo walikuwa na tabia hizo, basi hawafai hata kupewa uongozi ndani ya CCM 2. Kwa mawazo yako finyu unadhani unabariki viongozi hao kutoka ACT wazalendo, lakini kwa watu wenye...
  9. Mwanamalundi

    Norway: Ndoa ya wanyama na binadamu yahalalishwa!!

    Fake News: Marriage Between Humans And Animals Has NOT Been Legalized In Norway https://hoax-alert.leadstories.com/3470822-fake-news-norway-marriage-between-human-and-animals-not-legalized.html
  10. Mwanamalundi

    Sasa ni rasmi CCM si Chama Cha Siasa tena

    Please ensure that you edit your article before posting. Nadhani nimeeleweka. Ni hayo tu kwa leo. Ahsante sana.
  11. Mwanamalundi

    "Vitoto" vya kiume au vivulana muwe na heshima

    Hayatuhusu. This is your private business.
  12. Mwanamalundi

    Fitina za ATCL? Precision Air yahamishia base yake KIA

    What goes around comes around. Tusisahau kwamba ni hao hao Precision ndiyo waliochangia kuua ATCL mpaka wakafikia hatua ya kujimilikisha karakana za ATCL hapo Mwalimu Nyerere International Airport. Mkuki kwa nguruwe................................
  13. Mwanamalundi

    Misaada yaanza kupukutika: Kondom za bei rahisi zaadimika, Bado ARVs

    Wacha upuuzi wewe. Maambukizi ya ukimwi yanapunguzwa kwa kubadilisha tabia. Na hata ukiwasikiliza hao wataalam wa ukimwi, wanakwambia kondomu ni suluhisho la mwisho. Zingatieni mafundisho ya dini. Usizini, usitamani mke wa jirani yako......Wewe unatuambia suluhisho la kupunguza ukimwi ni...
  14. Mwanamalundi

    Misaada yaanza kupukutika: Kondom za bei rahisi zaadimika, Bado ARVs

    Starehe ina gharama zake. Hizo bei kubwa unazosema ni kati ya 1000 na 4000. Sasa kama mtu amelipa chumba kwa shs 30,000 huko tandika, anashindwa nini kununua kondomu za shs 2000. Na hapo bado hajamnunulia huyu mwanamke wake msosi, bia na nyama choma kama 12,000 hivi. Halafu unatuletea habari za...
  15. Mwanamalundi

    Misaada yaanza kupukutika: Kondom za bei rahisi zaadimika, Bado ARVs

    Wewe ndo uache ujinga. Mapaja ya mwanamke upanue wewe. Kondom akuletee mtu mwingine. Upumbavu wa hali ya juu. Ningekuona mtu wa maana walau ungelalamika kwamba wafadhili wamegoma kuchapisha vitabu vya watoto mashuleni, au madawa hospitalini. Unafura mapovu kisa hujaletewa kondomu. Mwisho utaomba...
  16. Mwanamalundi

    Misaada yaanza kupukutika: Kondom za bei rahisi zaadimika, Bado ARVs

    Huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa. Kama hao wateja wako wanaweza kulipa chumba kwa gharama ya shs 30,000 na zaidi, wanashindwaje kununua salama kondom kwa shilingi 1000. Ukisikia wendawazimu ndo huu. Raha zako mwenyewe, halafu uletewe msaada wa kondom; this is stupidity of the highest order...
Back
Top Bottom