Search results

  1. nyamatongo

    Kesho ni sikukuu?

    Sie Answar sunna leo ni chungu cha 30 means kesho lazima tufungue, ila wenzetu wanaosubr mpaka mufti atangaze bado wapo njia panda ( yaumul shakah) . All n all kesho ni Eid el fitr.
  2. nyamatongo

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kuna video niona leo huko hungumalwa Mwanza jamaa amempata mwanae alieibiwa akiwa na miezi 2. Inahuzunisha sio siri.
  3. nyamatongo

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Dunia yenda mrama. Yaangamia, Africa ndo bwege la mabwege.
  4. nyamatongo

    Huyu anayejiita Nabii kiboko wa wachawi achunguzwe

    Acha makafir wanyooshwe. Hv unafikiri makanisa mema ie roman, rutheran. Wasabato hawayaoni.
  5. nyamatongo

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Njia nyepesi ya kumpata boss mjuaji. Mfano ww ni mpaka rangi, usiwe na haraka. Hakikisha unajenga uteja dukani. Mpange muuzaji kwanza kuhusu huo mchongo. Mfano zinahitajika ndoo 6 za weather gurd. Andaa ndoo moja tupu safi, ijaze maji then ipeleke pale shop km bosheni. Siku ya kwenda kununua...
  6. nyamatongo

    Hii hali huwa inanisumbua sana

    Aisee, umenistaajabisha sana mwanakwetu. Upo 4m ngapi vile?
  7. nyamatongo

    Ni dhahiri kuwa Binti alikuwa anakutanishwa na Baba mzazi kwa kificho

    Acha uzwazwa, kila mtu natabia zake pia kumbuka watu hubadilika. Kila mwanamke anaupumbavu wake jua hilo ndgu. Kama umekutana na mjinga atabaki na ujinga wake milele na knyume chake ni kweli. Wendawazimu kibao tunaishi nao bila kujua. Sasa omba Mungu usiowe mwendawazu utawachukia wanawake wote...
  8. nyamatongo

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Tema chap kenge hiyo
  9. nyamatongo

    Msaada wa muhimu zaidi kuwahi kuuhitaji maishani mwangu!

    Tapeli mbele ya majambazi yalovaa mask. Watu wamechoka bora ww mwenye wazazi na hutaki kurudi kwenu kwa kiburi chako. Itabidi ujue kwann mungu alielekeza mzae kwa shida sio kwa jasho.
  10. nyamatongo

    Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

    Hakuna kija mwenye above 45, huyo ni mtu mzima.
  11. nyamatongo

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Watz nionavyo wengi ni vichaa, takwimu zinasema ukiona kundi la watu kumi, sita kati yao ni hamnazo. Nashawishika kuungana na jaamaa anaedai shida ni kula ugali. Unakuta mtu anacoster 2 marejesho analipa, anajenga nyumba, dereva anapata chake, konda, mpiga debe bila kusahau kodi inalipwa na...
  12. nyamatongo

    Nimemchukia mno Baba Mdogo baada ya kujimilikisha nyumba na eneo la babu

    Babu harithiwi,. Umeshindwa kurithi alivyoacha baba yako unahangaika na babu? Hatari sana mtafutaji. Nakuhakikishia ukiendelea kujipendekeza ktk familia yao wewe ndo utakuwa wa kwanza kumfata huyo baba yao.
  13. nyamatongo

    Ni ipi athari ya kuwa na kiongozi anayetokea katika familia ya kimasikini au kitajiri? Funguka

    Mbona inadaiwa hayati Lowasa kwao kulikua na ng'ombe 20 tu au huo pia ni utajiri.
  14. nyamatongo

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Nyie si ndo mliwasapoti big shark na Jack chan kwamba watoto wao watafute zao, sasa shida nn hapo. Tusipende kushadadia mambo ya watu. Kila mtu na njia yake kupata kukosa mipango ya maanani. Mbona kikongwe wa wakojako alilamba mabilioni.
  15. nyamatongo

    Je, Unaiamini hadithi ya mnara wa Babeli?

    Eti Mungu anatumia USA kukamilisha maneno yake, hizi ni chai, kikubwa ni kuamini tu ilimradi siku zisonge.
  16. nyamatongo

    Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Tufarijiane tu ndg hali ni mbaya.
  17. nyamatongo

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Ilivunjwa kwa sababu y siasa, bar ilimilikiwa na jamaa wa kuitwa Lema bro ake Godfrey Lema. Eneo la ccm unategemea nn. Ilihamia pasias.
Back
Top Bottom