Search results

  1. R

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Kumbe zitto aliyajua haya yote tangu miaka hiyo na akawa mzitto kuyasema sasa hali yake imekua mbaya ndo anaanza kutaja. Hili linaonesha ukweli kwamba na yeye ni fisadi kwani yasingempata yaliyompata hiki anachofumbua sasa tusingekiona milele. Wakati akijaribu kuonesha ufisadi wa Mbowe, kaufunua...
  2. R

    Operesheni tokomeza ujangili haitafanikiwa kamwe mpaka operesheni tokomeza CCM itakapofanikiwa!

    Huu ndio ukweli. Tatizo la msingi ni CCM. Ikitokomezwa amani itakuwepo na wanyama watashangilia.
  3. R

    Gari linauzwa

    Piga simu hiyo hapo tuongee
  4. R

    Mshahara wa Assistant Lecture Eastern Africa Statistic Training center(changanyikeni)

    Nakushauri nenda TIA achana na ako ka chuo by the way umeisha kadogoisha.
  5. R

    Gari linauzwa

    Gari aina ya Suzuki Alto, CC 600 Ya mwaka 2000 inauzwa. Bei ni Tsh 6.5M (Negotiable). Piga: 0782707030
  6. R

    Mwaka 2015 na tuliangushe gorofa!

    Ndugu wana JF heshima mbele, Tangu gorofa lianguke jijini Dar na kuua watu, nimekuwa nikitafakari sana ni magorofa mangapi tena marefu zaidi ya lililoanguaka juzu na kuua makumi ya watu. Siku si nyingi zilizopita hata tume iliyoundwa (kiini macho) haijakamilisha vizuri kazi yake, GOROFA la...
  7. R

    Wanasiasa na hatima ya nchi yetu!

    Wakuu wangu wana JF salaam...., Kila nikikaa na kuwaangalia au kuwasikiliza wanasiasa katika nchi yetu, siasa zao wanazopiga na hali ya nchi yetu ilipofikia huwa najiuliza kama kweli wana macho na masikio ya kuonea na kusikilia. Lakini pia huwa najiuliza kama huwa wanajua vitu vya msingi...
  8. R

    Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    Kuna msemo wa KIHAYA usemao, "Eibala lita nyinalyo" yaani jina humuua mwenyewe i.e mwenyejina hilo. Msajili wa vyama vya siasa anaitwa TENDWA. Neno Tendwa ni kitenzi kinachoonesha kuwa kitu au mtu kafanyiwa kitu fulani (hasa kibaya). Utasikia mtu anamwambia mwenzie wamenitenda, moja kwa moja...
  9. R

    Umoja wa taifa kwanza!

    "Kila raia ana wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha uhuru, mamlaka, aridhi na umoja wa taifa....hakuna mtu atakayekuwa na haki ya kuwazuia raia wa Jamhuri ya Muungano kupigana vita dhidi ya adui yeyote anayeshambulia nchi." Katiba ya JMT ibara ya 28(1),(3) Leo napenda tukumbushane wajibu...
  10. R

    Vua Gamba, chana Gwanda vaa Uzalendo kutikisa Bunge la Bajeti 2012-13

    Nimekuwa nikitafakari sana maana ya kauli mbiu za CCM na CHADEMA, katika kutafakari kwangu niligundua kuwa kumbe kauli zote mbili zinamaana moja au zinalenga dhana moja japo zipo katika mpangilio na idadi ya maneno tofauti. Hivi ndivyo tafakari yangu juu ya hizi kauli mbiu ilivyokuwa. Nianze na...
  11. R

    Sera ya mtoto mmoja (One-child policy), ya watesa akina mama nchini China

    13 June 2012 China 'forced abortion photo' sparks outrage A photo purporting to show a baby whose mother was forced to have an abortion has shocked Chinese internet users. Feng Jiamei, from Zhenping county in Shaanxi, was allegedly made to undergo the procedure by local officials in the seventh...
  12. R

    Tanzania imejiandaa vipi na mashambulizi ya Al Shabab?

    Ndugu opportunist2012 swali lako ni la msingi ni swali linalotoa tahadhari kwa kila mmoja wetu, maana hawa jamaa ni wabaya sana. Vyombo vya usalama lazima kujifunga kibwebwe kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanakuwa salama. Lakini ndugu yangu ninahitaji kufahamu haya kutoka kwako: 1. Huyu gaidi...
  13. R

    Kimenuka mambo ya nje, vigogo wasimamishwa kwa ufisadi

    Mkuu ni vizuri utupe majina ya hawa waliosimamishwa na kwakweli utoe evidence nzuri ili tuweze kuamini wana jf.
  14. R

    Ajali mbaya yaua 11 Mbeya

    Kwa mjibu wa habari ambazo nimezipata, Inadaiwa watu zaidi ya 11 wamefariki dunia katika ajali ya gari la abiria aina ya Caoster inayofanya safari zake Mbeya Tukuyu hadi Kyela baada ya kugongana uso kwa uso na lori la mizigo lililokuwa likitokea nchini Malawi baada ya kudaiwa kufeli breki...
  15. R

    Rostam Aziz Kugombea Urais 2015????

    Labda agombee urais wa Mafisadi 2015
  16. R

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Ndugu Juma Kilaza naomba usichanganye mambo hapa, unaposema "Mama Migiro Being a woman" unamaanisha nini? na unaposema, "Rais mwenye roho ngumu na asiye na huruma" unamaanisha nini? Je, unamaanisha kwamba tabia zinazowakilishwa na maneno, "Roho ngumu" na "ukosefu wa huruma" ni attributes za...
  17. R

    Noti mpya ni Ufisadi mwingine? Nani awajibike?

    Nchi yenye viongozi wahuni wasiojali raia weke siku zote mambo yao hubaki ya kihuni. Ebu angalia minoti waliyotuletea jinsi ilivyo feki noti kama ya mia tano ikipitia kwenye mzunguko kwa siku chache inapoteza hata sura yake inachakaa kama kwamba imetumika miaka mingi. Watanzania tufike mahali...
  18. R

    Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

    huyu malima ni public figure hivyo kudsicus habari zake bado ni moja ya ideas kwani hapa tunahoji mtu kama huyu mwenye wadhifa kama wake anavyostahili kuonekana mbele za watu. kwa hiyo hata akiiniga Bungeni amevaa gauni au sketi au uchi tusijadili kwa sababu ni personal issue?
  19. R

    Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

    Wadau msidhani kwamba jambo kama hili si la msingi kulijadili, kwa kiongozi kuvaa mipete iliyopitiliza is a questionable issue, mnataka kusema hata akivaa gauni au sketi bungeni itakuwa sawa? au hapo ndo mtasema amekosea? Lazima kiongozi wa umma awe nadhifu, hao viongozi wengine mnao watolea...
  20. R

    Hivi ni kweli kiswahili hatuna neno "future"?

    Kuwa na neno moja si hoja wala mengi yakielezea dhana fulani, hoja ni kwamba kivitendo kweli watanzania tunaonesha kwamba tuna 'future'? tazama mipango ya miji yetu, kumbuka bomoa bomoa zinazoendelea, angalia elimu inayotolewa kwa watoto wetu pima mipango mbali mbali ya maendeleo na utekelezaji...
Back
Top Bottom