Search results

  1. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Watu wana focus na hoja zao na sio mada tajwa hapo juu
  2. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Nimetumia kama lugha ya Picha, jikite ktk hoja chief..
  3. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Dhehebu kwa maana ya sehemu wanapopatikana, ama sehemu ambayo kuna madarasa yao.. hii ndio hoja yangu
  4. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo. Natanguliza shukrani 🙏🙏
  5. Bulaya001

    Japan alikuwa Mafia sana sijui nini kimemkuta hadi kawa mnyonge hivi

    jamani kwa hiyo taifa kuwa nyonge kwa kutokumwaga damu za mataifa mengine ni jambo la kushangaza, ifike hatua binadamu tuwe na roho za utu na sio kuchekelea umwagaji damu
  6. Bulaya001

    Girlfriend wangu ananichukia kisa hiki

    kwa hiyo hapo nimfanyeje??
  7. Bulaya001

    Girlfriend wangu ananichukia kisa hiki

    Natumai mko poa, Nina girlfriend wangu tuliedumu kwa takribani miaka miwili sasa ila ktk hali nisiotarajia baada ya kushika ujauzito wenye kama mwezi na sehemu sasa, kaanza kunichukia bila sababu. Mwanzoni nilichukulia normal issue kwa kuzingua kunipa mapenzi ila jana ktk hali nisiotarajia...
  8. Bulaya001

    Hivi kuna mganga anaweza kujua shida yako kabla hujamwelezea?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Bulaya001

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Hii story ni ya moto sana jamaa kataja hadi ninapoishi hadi watu ninaowajua, itoshe kusema this story based on true story[emoji47][emoji47]
  10. Bulaya001

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    hii nchi sijui tuna shida gani, yule jamaa alietusaidia wa bongo wengi namana ya kujaza DV lottery juzi kakamatwa kigoma…ma police wanamzushia kuwa ana warubuni watu waikane bongo na kuwa wamarekani[emoji51][emoji51]
  11. Bulaya001

    Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

    Hii dunia wanaume tumebaki wachache sana
Back
Top Bottom