Mimi nipo Songea , pana siri kubwa usiyoijua . Hongera kwa kumwamini na kumtumikia rasmi mnyama atokeaye nchi kavu . Atawapoteza wengi kwa ishara na
Miujiza . Yamkini hata wataule
In my own library there are a lot of books concerning spiritual World , Secret societies , the secrets of the giant presidents existed in thi World. I am the Truth Seeker , and I found it by the grace of God . In spiritual world I know what does it mean covid 19 , Russian and Ukrainian war etc ...
Usiishi kwa mazoea , Kama Roho yako haina uwezo wa kupambanua mambo usidhani wote ni hivyo . Nimesoma na kukutana na shuhuda nyingi za watu waliotoka kwenye utawala wa giza na za wale waliotoka kwenye utawala wa nuru , sijawahi kuona mambo mazito kama haya . Kumbuka unaishi kwenye Ulimwengu wa...
Rejelea kwenye kujaribiwa kwa Yesu ndiyo utajijibu mwenyewe kuwa ana pretend au laa. Unadhani you are anointing my exceed Jesus's anointing ? The spiritual battle we have is strategically and technically planned . Don't pretend that you know everything while you don't know . Tell your BELOVED...
I am sure you are wondering for because you don't have spiritual knowledge about it . Every thing in physical realm existed first in the spiritual realm . It's not your fault
Wokovu ni mpango wa Mungu wa kumrejeza mwanadamu kwenye Ufalme wake , ndicho hata aliyekuletea ushuhuda huu kimemtokea . Wokovu siyo Dini hata kama wanakuaminisha kuwa ni Dini.
Nani kakupotosha hivyo ya kwamba Shetani hana umiliki wakati yeye ndiye mtawala wa Dunia hii ? Anatawala biashara ama Uchumi, anatawala science , anatawala Elimu uliyo au unayo soma , anatawala historia , anatawala utamaduni , anatawala Afya , anatawala siasa ... anatawala hatima yako . Thread...
Mchungaji wangu alikuwa mtoto wa Shekhe , ana ushuhuda mzito kwenye huduma yake .
" Iko njia ionekanayo ni sawa machoni pa mtu lakini mwisho wake ni njia ya upotevuni " Be aware
Ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine , hiyo kazi si ingefanya wizara ya Elimu kwa kweli inahitaji wataalamu wa namna hiyo . Mbona Waziri wa Wizara husika yuko vizuri sana . Huku ni kutafuta Kiki tu
Utakuja kujutia ... wakati wako wa kulia na kusaga meno ukikujilia. Ukiachaña navyo hutapungukiwa na chochote. Kumbuka uliumbwa kwa mfano wake . Think of it
You are totally polluted on your mind , you need deliverance. Go and ask witches , demons , Spirits of sicknesses etc is where you can get the answer of your doubt .
You are deceiving yourself, you have already programmed that's why you see it as Normal thing . Beware is Coming... better to believe it than to ignore .
Remember what Jesus said to the Samaritan Woman on the book of John Chapter 4 ... In Short True Worship is composed of two elements that is IN SPIRIT and IN TRUTH . These elements are interdependent, you can't separate one from the other . When you Worship in Spirit with no Truth is not Worship...
Nyie tabirini tu ila nawaapia mtakuja kushuhudia umafia wa saa 100 ambao hamkutegemea . Mchukulieni poa muda huu ila mtakuja kuona sura yake halisi ni ipi .
Huwa nawaza sana hivi gharama ya uendeshaji wa biashara ya sheli kwa sasa niseme imepungua sana au watu wana hela sana ? Na kwa nini kadiri mafuta yanavyozidi kupanda bei ndivyo ùwekezaji kwenye biashara hii unaongezeka . Huku kwetu Sheli zinafunguliwa kasi sana lkn kuomba ajira kipaombele ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.