Kwa maoni yangu, kuondoa matatizao kwa watu wa kipato cha chini, ni kwa wahusika kusimamia bei za consummables, kwama india kwa ,mfano,,,,bei ya kila kitu in bar code na maandishi yanayoelezea kikomo cha bei na kodi yake. Hivyo muuzaki hawezi kamwe kubadilisha bei kwa kuangalia sura yako au...
------
My friend, watoto wetu wanakuwa overloaded na syllabus za ajabu. Wanakariri na kuimba kama kasuku...kwa wanaoweza. hivyo wanakariri lakini hawaelewi. Kumbuka enzi za Nyerere.....tulifundishwa vitu vya msingi, step by step.....ukiona syllabus ya primary sasa ni kama ya form four au form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.