Search results

  1. LOVE U JF

    Rais wa DR Congo, Tshisekedi amlinganisha Rais Paul Kagame na Hitler

    . Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  2. LOVE U JF

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Ndugu pole nimeumia hilo zee syo muha sisi hatuko hivyo mpende mdogo wangu usimwache hilo zee nipe details nipo huku rikizo nitalinyoosha
  3. LOVE U JF

    Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

    Umeandika kishabiki sana
  4. LOVE U JF

    2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

    Uzi nimeupenda , japo siwezi ushonea mfuko
  5. LOVE U JF

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Singo Ndugu bado una deal na hizi mambo kuna msaada nauhitaji toka kwako
  6. LOVE U JF

    Tunatoa huduma ya Uchimbaji wa Kisima

    Nipo Kisarawe eneo la Maneromango, kupata huduma yenu itaghalimu bei gani
  7. LOVE U JF

    Burundi hali si shwari tuwaombee hao ndugu zetu wa Magharibi

    Hakuna vita tena huko mi naona km kwa mbali wanaanza kukomaa kisiasa naona leo p.m mpya ameapishwa
  8. LOVE U JF

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    BM X6 Kila lakheri Chief, asante pia kwa kuona ushauri wangu maana umenitaja. Karibu t/kimanga
  9. LOVE U JF

    Kunguru kukunyea kichwani ina maana gani?

    Mwite Mshana jr akudadavulie
  10. LOVE U JF

    Kwa yeyote aliewahi au anaefanya biashara ya mkaa naomba mwongozo

    Unataka mwongozo gani , uko wapi , unataka kukata au kuuza jumla au rejareja fafanua vizuri unataka nini
  11. LOVE U JF

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Apangishiwe nyumba ya 50 elf kwa mwezi na biashara tafuta meza sehemu nzuri km temeke, g/mboto, kkoo , mbagara n.k kisha muongoze kwenye maduka ya jumla k/koo chukua viatu vya watoto na kike hasa simple za kichina kwa mtaji wa laki 8 ataweza kujilipia kodi.
  12. LOVE U JF

    Kawaondoeni Askari wenu wa MONUSCO huko Goma (Kivu) Congo DR kwani Wakongo Wenyewe hawawataki tena

    Unataka watoke ili kagame achukue vyake bila kuangaliwa na mtu? Nawalilia wakokongo ila kagame na alaaniwe
Back
Top Bottom