Search results

  1. Pearce

    Yupo wapi 'kibibi Mmasa Bakari'?

    Uwezi kurudisha siku na nyakati nyumba, na daima Kuna vitu vikipita Huwa vimepita ijapokuwa si rahisi kusahaulika Mimi niseme inaweza kuwa ni ndoto mbaya kwa Kibibi ikamsumbua kuliko wahanga. Nilitamani kufahamu baada ya hapa, alibadili Majina yake au alihama nchi EDITED KIBIBI MMASA BAKAR...
  2. Pearce

    Mwanamke anataka Tuzae kabla ya kufahamiana zaidi

    Habari wakuu, Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote miaka mingi Chuo kikuu lakini hatukuwahi kuwa karibu. Zaidi ya kusalimiana mara chache tunapopishana...
  3. Pearce

    Paul Kagame atakapoimarika zaidi Tanzania tutegemee Uchokozi

    Huyu Mzee amekuwa kero katika kuhusika destabilizing Serikali za jirani zake. Kama haitoshi ametuhumiwa kujaza mashushu wake Kila Kona, kinachomshinda kwasasa amepima moto anaona hawezi directly confrontation na Tanzania kama anavyofanya kwa Burundi na Congo. Lakini ni suala la Muda tu. Wakati...
  4. Pearce

    Vita ya Dunia vitakapokuwa rasmi, kama Mtanzania unajiandaa vipi?

    Sioni dalili ya kuisha hii Vità Leo au Kesho làkini vitazidi kusambaa. Na wakati huu Viongozi wa Afrika hasa ukanda wa Jangwa la Sahara kama hawatakuwa na maamuzi ya Hekima Kuna Hatari maisha yakawa kama kitu ambacho Congo inakipitia. Pia eneo la Uchumi au mfumo wa Uchumi utapata shida na pia...
  5. Pearce

    Miaka kama 10 iliyopita nilimsikia mtu mmoja aliyeota vita ya 3 ya Dunia. Je, ndio hiki kinachoendelea?

    Nakumbuka nilikuwa naangalia Tv ilikuwa Channel ya kanisa flani la nje ya Nchi ingawa ni la hapahapa Afrika. Nakumbuka alisema kuna nchi flani ingawa haikutaja jina moja kwa moja itaivamia kuna nchi baada ya hapo kuna mataifa yataungana kupigana na hiyo nchi. Na vita hiyo itapiganwa kwa miaka...
  6. Pearce

    Ukraine inatumia Vifaru 440 na Magari ya Vita 650 yaliyotelekezwa na Urusi

    Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi kumuadabisha. Pia kuna ripoti ya drone ya Shaheed kutoka Iran ambazo zimeangukia mikononi kwa Ukraine...
  7. Pearce

    Jela za Urusi zitafurika Raia wema, na Waharifu wanatolewa kwenda kupigana vita

    Umepata picha Urusi itakuwa taifa gani? Ukiwa jela zake zinaenda wasomba vijana ambao hawataki kushiriki vita ya Putin? Huku vijana wengi walioondoka kwa kutoroka phase ya kwanza baada kutangazwa vita ambao wengi ni elite na wengine kuanza kutoroka katika phase ya pili baada ya kulazimishwa...
  8. Pearce

    Yupo wapi Sikirimimimaskini na Nyuzi motomoto za warusi Kushinda vita

    Mara ya mwisho alionekana akiposti matangazo ya dawa za mitishamba na nguvu za kiume Vita inaendelea Urusi ameanza mobilize askari wa akiba (kwa kiswahili Sanifu Jeshi la akiba ni "mgambo). Na imekuwa adimu sana kupata habari za Warusi au ndio wanasubiri Phase ya pili ianze? Mara ya mwisho...
  9. Pearce

    Warusi waanza kukimbilia Kung'ata (Washambulia Hydro Electric Power)

    Wakati wakiendelea kupelekewa moto unaowafanya vijana kuanza kukimbia Kwao wakijifanya Raia na wengine wakitoroka hadi na Baiskeli. Kichapo kimekua kizito Kiasi hata askari mmoja wa Ukraine kuogopwa kuwa tishio na kukimbiwa na Askari wenye Vifaru na infantry waliopewa lifti. Sasa wamerudi...
  10. Pearce

    Nakumbuka bwana Putin alivyojifananisha na Peter The Great

    Wakati anasomwa mchezo na kakalia miji kadhaa kadhaa ya Ukraine. Kama kawaida yake na mbwembwe nyingi alinukuliwa akitolea mfano jinsi Peter au Pyotr the Great alivyouchukua St Petersburg kutoka kwa wa Sweden akibainisha akuteka ila alichukua kilichokuwa cha kwake. Hivyo SMO ni anachukua vya...
  11. Pearce

    Lazima Ulimwenguni kuwe na Balance of Power

    Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu anamuhitaji pia Mrusi mwenye nguvu. Urusi mwenye nguvu alichangia sana Harakati za Uhuru kwa nchi...
  12. Pearce

    Urusi inaigeuza Ukraine eneo la kutekeleza hukumu ya Kifo kwa raia wake Waharifu

    Ivan Neparatov (36) ambae alikuwa jela akiwa na kesi tano za mauaji akitumikia kifungo cha miaka 25 jela. Katika harakati za kuongeza jeshi la Urusi nae alikuwa mnufaika wa uhuru (parody) na malipo ya fedha kwa Kujiunga na Jeshi la Urusi upande wa Mamluki (Wagner Group). Na kupelekwa Mstari wa...
  13. Pearce

    Makazini Chunga kinywa si kila mtu rafiki yako

    Kuna mshikaji mmoja ana cheo kunishinda kazini tuliwahi pishana pale kazini baada kumgundua alikuwa ananichafua kwa mameneja (ilitokea mazingira ya kupandishwa cheo kazini) ofisi ilinipendekeza. Kwahiyo akawa anawatumia watu tofauti nionekane sifai nina kiburi (ukweli mimi ni mtu mkimya) Sasa...
  14. Pearce

    Wayahudi ni jamii ya watu wenye akili nyingi (High IQ)

    Unapozungumzia Teknolojia, Kisiasa na kimifumo ya Maisha Duniani na Uvumbuzi nadhani Wayahudi wanabaki kuwa watu wenye akili Duniani na kuheshimika Tunaona leo mtu aliekuwa na damu ya kiyahudi Zelensky anavyomhenyesha Putin anayetaka kuunda tena Mfumo ambao ulihasisiwa na Wayahudi ukaifanya...
  15. Pearce

    Kwanini Urusi ndio iliumia kuvunjika kwa USSR kuliko washirika wengine

    Leo hii unapotazama wanaoipigia promo sana kurudi kwa USSR ni Urusi tu na ndio maana wananchi wa Beralusi walipotaka muondosha Rais wao mwenye mfumo wa Urais unaoendana na Urusi. Urusi aliingilia kati na akafanikiwa kulinda madaraka ya Rais wa Belarusi, Ingawa kwa Rais Pro Russia wa Ukraine...
  16. Pearce

    Sergei Shoigu awekwa pembeni majukumu ya kijeshi

    Wakati vita ikiendelea Vizuri na malengo yetu kutimia bwana Putin amemuweka Pembeni waziri wake wa Ulinzi Shoigu. Na majenerali wameanza kumruka kutoa ripoti (Chain of Command) hivyo anabaki kama pambo. Si ajabu tukasikia hapo baadae kuwa ni msaliti akapotezwa kama hulka ya ya bwana Putin...
  17. Pearce

    Putin awashushia kitu kizito Mmiliki wa Facebook na Mtoto wa Biden

    Katika kuendelea kukiwasha kwa wana Magharibi amepitsha amri akishirikiana na Bunge ndio Mzee la Urusi (DUMA) Kuwafungia kabisa kuingia katika ardhi takatifu ya wavaa kobazi. Mmiliki wa Meta Mark Zuckeberg na Hunter mtoto wa Biden. Wakijumuisha na raia wengine zaidi ya 900 wa Marekani na nchi...
  18. Pearce

    Mlete HIMARS Mlete HIMARS (Warusi 80k wapoteza maisha vita Putin)

    Warusi wamefikia 80k mpaka sasa lakini kwa mujibu wa SPUTINIK na RT bado wanaripoti Special Op ni watu wao 3k tu waliofariki Na malengo yatafikiwa, Urusi inasubiria muujiza wa 1942-43 ambapo baridi litabadilisha upepo wa vita( wanasahau wanaopambana nao pia sio wa magharibi pia na wamashariki...
  19. Pearce

    Moscow na Tehran zinapokuwa sio Salama tena

    Ndipo inafahamika tu CIA na MOSSAD nadhani ndio tasisi za Intelejensia zenye nguvu kwasasa Duniani KGB imepambwa sana Tunaona siraha za West ambazo zimeingizwa Ukraine na impact yake kubwa katika vita hiyo HIMARAS na JAVERIN Wakati tumeona siraha za Urusi ambazo bwana Putin alizipamba sana...
  20. Pearce

    Ukraine yalipua Kikosi cha anga Sevastopol

    Kama adha kama dawa Sigara yazidi kufuata Vikosi vya Urusi vinavyojaribu kujichmbia ndani ndani kabisa ya Crimea kujinusuru na matumizi ya Sigara. Kwa Bahati mbaya walipo wana Z na Sigara itakuwepo tu karibu zaidi. Tumeshuhudia Hypersonic nadhani Urusi kabakiza tu Nyuklia na wanamsubiri tu...
Back
Top Bottom