Search results

  1. Davety

    Tetesi payroll za mwezi kuna nyongeza ya mshahara

    wakuu poleni na majukum ya kitaifa. kuna tetesi kwamba mshahara wa mwezi huu umeongezeka je hizi fununu zina ukweri?
  2. Davety

    Je, uchaguzi mkuu mwakani utaleta neema kwa watumishi wa umma?

    Ni kawaida kwa wanasiasa kulegeza kila kitu unapofika uchaguzi mkuu je kwa mwakani watumishi wategemee neema?? Au mzee hana hofu kwamba ata bila kura za watumishi yeye urais upo pale pale. Je watumishi mwakani wategemee neema kubwa??
  3. Davety

    Msaada

    Wakuu habari naombeni msaada tafadhari nikijaribu kuomba vyuo naambiwa vitu ambavyo sivielewi ili nifanikiwe nifanyaje
  4. Davety

    Wana dodoma acheni hii.

    Mtapigwa mpaka mtachakaa. Mtapigwa kipigo cha mbwa koko Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Davety

    Hivi ukoje?

    Wanazengo mpo? Ase hivi kuna umri ukifika unakuwa hauna yule close friend hasa kwa sisi wanaume au ni Mimi binafsi??? Kuna umri ule ambao ukiwa bado bachela hauna familia unakuwa na wana mda wote mnaiva story sana Lakini kwanini ukishaoa na kuwa na familia tu marafiki kikawaida hupungua...
  6. Davety

    CHUO KIKUU MZUMBE MBEYA TUMIENI FURSA HII.

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza chuo kikuu mzumbe hasa tawi la Mbeya mko vizuri sana katika kutoa elimu ya juu kwa watanzania... Mimi nimechunguza mda mrefu kwa mkoa wa mbeya katika vyuo vilivyopo mbeya chuo kinachofundisha kozi ya ualimu ngazi ya Shahada ni kimoja tu SAUT pekee ambacho...
  7. Davety

    Bajeti 2019/2020

    Hii ndiyo bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi je zile ahadi za jpm kuwafurahisha wafanyakazi wakati ndiyo umefika?????? Au girisi itaendelea kuadimika adi vyuma vivunjike??? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Davety

    Duh

    Kesho nina mgeni katoka town anakuja mkoani tumefahamiana humu humu jf ata wiki haijafika toka apost anataka mchumba duh kaniamini kiasi hiki ngoja nimpokee tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Davety

    MWAKA UNAISHA HIVYO NASHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA UHAI LAKINI MAISHA KUTOBOA NI NDOTO

    Vijana wenzangu binafsi mwaka unaisha hivyo lakini maisha kwangu ni magumu tu sana yani. Kiukweli napambana najitahidi kubana matumizi lakini kamshahara nakopata pamoja na vipesa vidogo vidogo navyopata kutokana na shughuri za ujasiriamali zinaishia kwenye misosi na kujenga kapangara kangu tu...
  10. Davety

    NATAFUTA MKE

    Mimi nina 30 umri nipo mbeya nimeajiriwa sirikalini lakini pia nimejiajiri mwenyewe. Nahitaji mke mwenye umri kuanzia 23 mpaka 27 awe mrefu wa wastani kabila lolote..dini yoyote naomba awe mfanyakazi au mjasiriamali. Nicheki inbox.
Back
Top Bottom