Search results

  1. Mnyatiaji

    Napenda kujua vioo vya Microsoft surface 3 vinapatikana kwa bei gani

    Wakuu kama rejea hapo juu nina Microsoft surface 3 ime crack kioo haki respond touch nataka kujua namna ya kukipata na bei yake. Shukurani
  2. Mnyatiaji

    Je,ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

    Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
  3. Mnyatiaji

    Uzi maalumu kwa vibonzo vya Kipanya

    Kufuatia vibonzo vya Masoud Kipanya kupenyeza ujumbe fulani wa muhimu nimependezwa kuona kuwa vibonzo vyake vyote vya kila siku view updated kwenye huu uzi tukijadili ujumbe uliokusudiwa.
  4. Mnyatiaji

    Nini shida inayopelekea watanzania hatuweki movie NETFLIX?

    Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta Ila hakuna movie ya kibongo lakini kwa wenzetu wakenya naona wameweka movie zao. Swali linakuja inawezekana bongomovie hazijafikia level za kimataifa au vipi?
  5. Mnyatiaji

    Msaada kuanzisha Maabara ya vipimo

    Habari! Ningependa kujua utaratibu wa kufungua health laboratory ikiwemo usajili wa serikali upoje pia na gharama za kuanzisha vikiwemo vifaa muhimu. Asante!
  6. Mnyatiaji

    Msaada kuunganisha kinanda "keystation mini 32" kwenye microsoft surface

    Wandugu naomba msaada hapo juu nitumie software gani ili kiweze kuplay
Back
Top Bottom