Search results

  1. Lignocaine

    Hivi ikitokea Katika itifaki kiongozi kapata tumbo la kukata inakuaje?

    Viongozi wa dini pia katika maadhimisho yanayotumia muda mrefuu Kuna mmoja aliwahi sema maji ya kunywa unachanganya chumvi na sukari hutoki short call
  2. Lignocaine

    Avn number

    Baada ya siku kama 7 nilipata control no apa imebaki kulipia tu nione wataniambia nn tena
  3. Lignocaine

    Kwanini tunavaa pete ya ndoa mkono wa kushoto?

    Askofu Kadinali Papa Wanapowekwa wakfu huvikwa Pete mkono wa kulia
  4. Lignocaine

    Avn number

    After application “Your application for AVN is received and pending for verification, will be informed via email & sms Its status is 119:48 hours” Si miyeyusho hii
  5. Lignocaine

    Nimegundua, viongozi wa Serikali yetu hawana huruma hata kidogo kwa Wananchi

    Siku ya saba ambapo Mungu alipumzika ndipo Shetani alipoumba viongozi wa Africa
  6. Lignocaine

    Kuna Uhusiano gani kati ya kanisa na serikali?

    Angalia idadi ya watu ambao ni wafuasi wa makanisa hayo Hao wanasimama kama wawakilishi wa waumini wao.. ni mara ngapi viongozi wanaowawakilisha wananchi wanashindwa kutetea maslahi ya wananchi
  7. Lignocaine

    Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Kupunguza migogoro na mijadala isiyo na mantiki kila mmoja apewe zawadi yake Kama magoli ya penalty sio magoli basi yasiwe yanahesabika katika kuonyesha idadi nani anaongoza katika ufungaji
  8. Lignocaine

    Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Kiuhalisia wote wana deserve kupata zawadi sawa ya top scorer Ukisema baada ya kulingana magoli ndipo uangalie magoli ya penalty Je ingelikua Mayele hajafunga goli leo si angesalia na magoli 16 akiwa nyuma ya Ntibazonkiza kwa goli moja.. naam hiyo tofauti ingemfanya antibiotic kuwa kinara lakin...
  9. Lignocaine

    Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

    P W BOTHA About African ‘Give them power they will steal all government money’
  10. Lignocaine

    FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Safari ya chizi umbali mrefuuu mwisho anarudi na makopo Poor utopolo
  11. Lignocaine

    Vigezo vya kufungua pharmacy

    Ku simplify mchakato pamoja na haya uliyoyaeleza nyooka na mfamasia wa wilaya kama pharmacy unayotaka kifungua iko makao ya mkoa nyooka nao wote wawili (wa wilaya na mkoa)
  12. Lignocaine

    Mgao wa umeme utaisha lini? Tumerudi nyuma karibu miaka 20 nyuma

    Hapa ni baada ya kukatika kwa umeme kwa takribani wiki mbili ikisingiziwa hitilafu ndipo wakaamua kuweka wazi
  13. Lignocaine

    TANESCO ina Kirusi gani kisichokuwa na dawa hicho?

    Tabora pamekua hovyo kabisa Walianza kutoa taarifa kila siku eti kuna hitilafu sasa kibaya zaidi unakuta umeme unakatwa 7AM unarudishwa 06PM na rotation ikawa inafanana kwa maeneo Hatimae waliamua kutoa ya upungufu wa umeme ratiba iliyoanza J3 inaenda mpka Jpili
  14. Lignocaine

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Sio muda tunaelekea kwenye uzi wa rikiboy
  15. Lignocaine

    Linipate la kunipata!

    Mwazye Kaburi la Babu Abel Nahis ndio jamaa atakua analizungumzia
  16. Lignocaine

    Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Joseph hill (culture) - Behold
  17. Lignocaine

    Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

    ‘Hawajalipia sana promo’ Ficha ujinga wako kdg
Back
Top Bottom