Search results

  1. Nkwesa Makambo

    Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Pressure, wanapata stroke,hakuna mkosi wala nini. jitahidi ndugu zako wawe wanajua hali zao za afya, wajiupeshe kwenda kuoga maji baridi pressure ikiwa juu na kujisaidia haja kubwa hasa kwenye choo za kujipinda na kuongeza stress kwenye mishipa. Pole sana na RIP kwa ndugu zako
  2. Nkwesa Makambo

    Is Atheism Satanism?

    Kwa kuwa maandiko katika kitabu cha mwanzo ndani ya Biblia kimeandika. Genesis 1:1 In the beginning God created earth and heavens. Mimi sina Shaka na Biblia kuwa yaliyomo yanahusiana na Kweli halisi. Sasa wewe niambie chanzo cha uhai nje ya Mungu ni nini ?
  3. Nkwesa Makambo

    Sugu, kumnyang'anya mtoto mlezi mwenzio ni muendelezo wa kukandamiza wanawake

    Nendeni mkakate rufaa Kama kweli mnazo hoja itakusaidieni, isijekuwa ni maumivu juu ya fwedha za matunzo ya mtoto. Kwa kuwa MTU unreasonable Kama huyo mama wa mtoto anaweza kutumia mtoto Kama kitega uchumi. Hata vichaa wanaweza Ku conceive lakini huwezi achia wale watoto simply mama ni mama Tu.
  4. Nkwesa Makambo

    Is Atheism Satanism?

    Tatizo mnapopewa ushahidi hamuutaki mkiulizwa aina ya ushahidi hamuujui mnaouhitaji. Majanga mwanzo mwisho. Ushahidi mkubwa ni uumbaji unaoonekana wazi
  5. Nkwesa Makambo

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    O/D off inaposhine inamaanisha kile unachokiona kwamba Over Drive is Off ikimaanisha umedhibiti mwendo kasi usiende OD. Ikiwa OD/Off dull or haiwaki Ina maana GARI INAOUHURU WA MWENDOKASI. UNLIMITED SPEED
  6. Nkwesa Makambo

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu, inapowaka taa kuonyesha O/D off Ina maanisha umedhibiti Gari isiende zaidi speed ya gear 4. Gari inakuwa na nguvu na muungurumo mkubwa lakini haikimbii Sana kwa kuwa umeiwekea ukomo. Ukizima O/D ikiwa haiwaki maana yake iko ON Gari inakwenda speed unlimited... Hivyo kuwaka taa inaonyesha...
  7. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Tatizo la msingi ni kukosa kujuamini kwa Waislam na Uislam wao. Allah sio Yhwh period. Chambua malaika/shetani kwa mtazami huo lakini ukuweka kwamba wote ni sawa na tofauti ni namna tunavyomchukulia utaendelea kuabudu kisichokuwepo Mungu ninaye mwabudu mimi sio kichaa nikiamini ni yule yule kwa...
  8. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Sikuelewi naona namna unavyojichanganya. Unachanganya matatixo wa watu binafsi na kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu. Unajuchanganya sanaaa. Kiasi huwezi kutofautisha tatizo la uelewa kwa MTU mmoja mmoja na kile asichokielewa. Wewe unaaminj kutokuelewa kitu kunatokana na kitu husika pasipo...
  9. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Tatizo lako la msingi ni kutotambua na kulazimisha Dini ya Kiislam na Umani ya Kikristo kuwa zinamwabudu Mungu mmoja, hiyo ndiyo sababu ya kuchanganyikiwa kwako. Ungejua Kila mmoja anaabudu Mungu wake japo kila mmoja anampa Sifa na ukuu sawa wala udingehangaika kulinganisha matango na viazi...
  10. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Ni imani ya Wokovu kupitia Bwana Yesu Kristo. Simply Imani.
  11. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Unabadiri hoja kwa kuingiza habari ya ibada ya sanamu. Nimekwambia Allah waliyekuwa wanamwabudu Makuraish aliwekewa wasaidizi zaidi ya 360 naabinti watatu. Hakukuwa na sanamu ya Allah Bali wasaidizi. Wewe ndiwe eleza alikuwa anawalinfania nini ?
  12. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Achana na hayo ya Muhammad kuwalingania nini ? Issue ni kuwalingania kuhusu Allah. Hivyo ilikuwa ni kuabudu Allah yule yule kwa mtindo mpya
  13. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Mbona unachepusha maandishi yangu ? Wapi nimeandika mtume wenu aliabudu sanamu ? Mtume wenu alimkarabati Allah aliyekuwa anaabudiwa na Makuraish na kumfanya ndiye mnaye Mwabudu nyini, huku mahala pa ibada na namna ya kuabudu mkirithishwa. Kila andishi langu unalipotoa ili kukwepesha mjadala...
  14. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Wapi nimeandika alibakiza sanamu? Nimesema aliondoa masanamu ya wasaidizi wa Allah pamoja na mabinti zake akabaki na Allah mkarabatiwa asiye msaidizi wala mwana. Na kuendelea kumwabudu pale pale na kwa jinsi ile ile. Hivyo Allah mnamwabudu ni Allah aliyekarabatiwa toka Allah wa washirikina wa...
  15. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    My Friend , Mimi sizungumzii do and don't za Uislam nazungumzia Allah kabla ya Uislam na Allah wa kiislam. Ushahidi ni historia Tu. Nimekuekeza nawe toa version yako isomwe. Waogopa nini ? Allah aliyekuwa na kaabah Makkah kabla ya Uislam ndiye huyu unayemwabudu wewe baada ya Muhammad...
  16. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Prof. Gerald Goeringer, an embryologist retired from Georgetown University, says he urged the commission to try some verification: hire an independent scholar to see whether the Quran's statements could have been taken from Aristotle, the Greek philosopher-scientist who preceded the book by...
  17. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Dr Moore refuting your comments As Dr. Persaud said, we don't read Arabic. The Scholars translated for us. We simply give our interpretations. We are not saying they are accurate." - Dr. Keith Moore
  18. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Mitandao sio ushahidi, historia ndiyo ushahidi mzuri. Sasa Kama historia unaidai ushahidi hapo sikuelewi Unsonea aibu imani yako ? Nimeeleza. Allah kabla ya Uislam unayo haki ya kukanusha maelezo. Sijui unahitaji nini ? Weka chochote Mimi nutakipima na ikiwezekana nitakipinga kama ni upotoshaji...
  19. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Nimechoka kujadili nawe, impaired reasoning inaonekana katika kila andishi lako. Huo uwongo unaousema inakuwaje huuweki ? Umekaririshwa neno uongo wa kwenye Biblia huku huusemi uwongo wenyewe tuuone na sijui ni uwongo kwa kutumia kipimo kipi ?
  20. Nkwesa Makambo

    A God can be a mere theory, nothing more

    Malafyale sio mwalafyale nkamu. Ndagha fijo... Mma nitike ulusajo ulu usumile kwa Kyala gwa Kumwanya.
Back
Top Bottom