Search results

  1. M

    Window 10

    Habari za asubui wadau. Hivi window10 inaitaji kua na antivirus?
  2. M

    Msaada wa ujumbe huu kwenye computer yangu

    Jamaan kuna ujumbe unakuja kwenye computer yangu. Ikitokea nikaupgrade kulingana huu ujumbe si inaweza kuja kuharibu computer yangu? Microsoft recommends upgrading to windows 10 It's fast, familiar, and free- and this pc is compatible upgrade now
  3. M

    Mobile money services

    Habar za kazi wadau, Hivi haya makampuni ya simu za mikononi yanaweza kutoa taarifa kwa mteja akiitaji kujua taarifa ya account yake ya pesa kama wanavyofanyiwa wenye account kwenye mabenki?
  4. M

    Ajali mbaya mkoani Lindi: Watu kadhaa wapoteza maisha

    Kuna ajali mbaya sana ya basi linalotoka dar kwenda mtwara imetokea mchana huu, kama kilometa 20 kutoka lindi mjini. Mpaka sasa hivi maiti tisa zimeshafika Hostptali ya mkoa na majeruhi wengi. Taarifa kamili ya tukio kuhusiana na idadi kamili ya walopoteza maisha, waliojeruhiwa na waliopona bado...
  5. M

    Balance

    My ATM balance tells me, my account has Tshs 6500/=,but I know this figure is provisional. Besides,end month is my stronghold and once it is tallied, the figure will change. For now the ATM has only tallied mid month which is not my stronghold.I urge my landlord and debtors to remain calm.
  6. M

    Tatizo la Modem ya Voda

    Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo. Nimejaribu kuwapigia customer care wananiambia wako busy. Hivi hili tatizo ni mimi tu au kuna...
  7. M

    Naomba msaada wa Kupata office 2007

    Habari leo wanajamii, cmputer yangu ilikua inatumia microsoft office 2007 ikapata tatitizo ikabidi niiformat. baada ya kuuiridisha katika hali ya kawaida nimekosa microsoft office 2007 ikabidi niweke microsoft office 2003. Baada ya kuweka office 2003, tatizo nililokumbana nalo ni kua docoment...
  8. M

    Wataalam wetu sheria zinasemaje kuhusiana na kuwa na simu gerezani

    Haar za jioni wakuu na poleni na majuku ya wiki nzima. Kuna zimevuma sana mwishoni mwa wiki hii kua ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ambaye anatumikia kifungo cha miaka miwili jela, ameingia matatani tena akidaiwa kukutwa na simu...
Back
Top Bottom