Watu wanasahau kua serikali ilishaingia kwenye uwekezaji wa viwanda vikafa. Mwaka 2018 serikali iliingia kichwa kichwa kwenye kufufua kiwanda cha korosho kilichowashinda wawekezaji Lindi kilichotokea Mungu ndo anajua.
Kwa taarifa yako dalili za uwekezaji wa gesi zishaanza kuonekana.Ndani ya miaka mitano ile kauli ya kua mwanza haitokaa izidiwe na mkoa mwingne zaidi ya dar itaisha.
Ndugu yangu punguza mbwembwe, mradi wa LNG Lindi utakua na thamani ya trion 70 au zaidi wakati GDP ya mwanza ni trion 10.95. Baada ya huo mradi kuanza sio kwamba mwanza itapitwa hata dar itasubir kwa Lindi. Bagamoyo Business Park(inakadiriwa na trion 20+) pwani itaizidi mwamza kwa GDP ikitokea...
Hata huo mwaka wanaousema ni ule mwaka Jiji la dodoma liliuzauza viawanja kwa wingi kwa sababu ya watumishi wengi walikua ndo wamehamia dodoma. Sasa hivi huwezi kukuta tena takwimu za dodoma kuongoza.
Unajipanga kwa ajili ya mwakani maana likishaanza kuzaa ni endelevu. Ila hili ndio zao ambalo matunda yakikomaa kama una mzigo mkubwa inabidi uweke walinzi wenye silaha za moto mpaka utakapovona.
Kabisa. Serikali isipoingilia kati hii fursa itakua ngum watu kuwekeza maana kuna watu wanatumia mpaka walinzi wenye silaha za moto lakini bado wanaibiwa.
Wamiliki wa The Guardian ni weusi kama wamewaamini wahindi kiasi hiki inamaana mleta majungu ana tatizo lingne tofauti na haya. Hakuna kampuni inayoweza kuajili mtu asie na sifa vs mtu mwenye sifa.
Weka kwanza kumbukumbu sawa babu sea alihukumiwa kifungo mwaka 2004 kipindi hicho Jk alikua wazir wa mambo ya nje, kwa hiyo kama ni kufungwa alifungwa na raisi aliyekuwepo madarakani wakati huo.
Watu wanaongelea gasi wakati imeshapatikana. Mikataba ya awali inaanzia kwenye utafiti(exploration) ambapo terms ni ukipata ni 30-35 kwa investor na 65-70 kwa Tpdc(kwa niaba ya serikali), ukikosa biashara imekula kwako ndio maana investor wengi wa eneo hili ni makampuni makubwa kama state oil...
Kwa hesabu ya haraka kiwanja kikichukua 25m kila nyumba inasimama kwa 90m. Kiwanja kiki kikichukua 35m inamaana kila nyumba inasimama kwa 85m. Nyumba zenyewe nkiziangalia sioni nyumba iliyotumia 30m.
Imeshawatesa kwa mda wa miaka minne iliyopita tokea alivyoondoka Mascherano. Na uongozi ulivyo wa hovyo inavyofikaga kwenye usajiri wanahangaika kusajili safu ya mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.