Search results

  1. sarcomere1

    Benjamin Mkapa Stadium. Je mabango ya matangazo ya umeme yameacha kufanya kazi?

    Ni takriban miezi miwili tangu kuzinduliwa wa michuano ya African Football League (AFL) ambapo mabango ya matangazo ya umeme yalianza kufanya kazi kwa mara ya kwanza Lakini katika hali ya kustaajabisha baada ya mechi chache tu kuchezwa uwanjani hapo, mabango hayo hayafanyi kazi tena na badala...
  2. sarcomere1

    Unakumbuka nini kwenye matokeo yako ya kidato cha nne?

    Habari za mda huu wanajukwaa... Je unakumbuka siku yyaliyotangazwa matokeo yako ya form four.. Share nasi uliyapokeaje? ulijisikiaje?, kuna kitu gani unique ulifanya unakumbuka?, ulikuwa katika hali gani?
  3. sarcomere1

    Vitambulisho vya wajasiriamali

    Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kupata kitambulisho cha ujasiriamali vya rais Dr Magufuli Nini kinahitajika hadi ukipate, sehem vinapopatikana kama ni halmashauri au ofisi za TRA naomba kujuzwa
  4. sarcomere1

    Nawakumbusha tu kwamba kesho ni siku ya wajinga

    Kesho ni tarehe 01/04 siku ya wajinga duniani, nawakumbusha tu maana kuna wadau wana utani unaweza hata ukalia Ni tukio gani huwezi kulisahau kuhusu hii siku? Kuna mpuuzi alinialika lwenye sherehe na akanipanga kabisa ukitoka nyumbani waambie wasikuwekee chakula, basi nafika kwao nakuta patupu...
  5. sarcomere1

    Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    Wakuu habari za muda huu... Katika harakati zako aa kutafuta kazi ni swali gani uliwahi kuulizwa katika interview/usahili likakutoa jasho au ukawa unajibu huku unajua kabisa kama unajibu upuuzi? Vipi ushakutana na wale ambao wanauliza maswali ya kukomoa hadi ukahisi kabisa lengo lao sio...
Back
Top Bottom