Search results

  1. sarcomere1

    Muziki ni kama laana fulani hivi

    Nyemo chilongani
  2. sarcomere1

    Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Nani amekudanganya hivi mkuu? Ingekuwa ivo mawakala wangekuwa mamilionea
  3. sarcomere1

    Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

    Angalau sasa hivi utakosa ajira ukiwa hujatumia gharama kubwa kuliko hapo awali ambapo ulkuwa unakosa ajira wakati umeshatumia gharama za kutosha NB: connection itabaki pale pale, watapata ajira ambao hata interview hawajafanya
  4. sarcomere1

    Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

    1. Ww ni utoto unakusumbua nasikitika akili yako bado changa ingawa una umri mkubwa 2. Kwa jinsi ulivyoandika in detail as if huyo jamaa hajui kitu kinaitwa jf kama jamaa yupo humu jf sijui itakuwaje
  5. sarcomere1

    Nini kufanyike ili kuondoa suala la "Connection" katika ajira rasmi?

    Unachekesha kweli, wakat hao watumishi wenyewe wa TAKUKURU wamepata nafasi kwa rushwa
  6. sarcomere1

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Unaambiwa Physics, Chemistry na Biology ww unaongelea reproduction, mbona humuelewi anachokuambia?
  7. sarcomere1

    Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

    Kumbe hizi simu ndo zina shida hivi? Mbona watu huwa wanazipamba mno?
  8. sarcomere1

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Misiba ya ckuizi haina siku za mapumziko wafanyakaz?
  9. sarcomere1

    Kwa matokeo haya nitafanikiwa kwenda Advance?

    Sasa unakubali kuendeshwa na maneno ya watu haliyakuwa maisha ni yako? Jitafakari
  10. sarcomere1

    Kwa matokeo haya nitafanikiwa kwenda Advance?

    Aisee kuna watu bado mna mawazo ya kwenda advance Hadi Leo?
  11. sarcomere1

    Utapeli wa kampuni ya tigo wakishirikiana na bima mkononi (milvik)

    Mimi mwenyewe ndo nimeshangaa, haiingii akilini eti ukatwe elf tano Mia tano (5,500/=) alaf ulipiwe upasuaji kweli?? Inamaana kabla ya kujiunga hata hamkufikiria hilo?? Yaani itakuhitaji uchangie miezi isiyopungua 8 ndo ipatikane hela wanayokulipia wao siku moja? Hata kengele ya hatari haikulia...
  12. sarcomere1

    Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Ni serikali gani unaizungumzia ya kufanya hayo mkuu?
  13. sarcomere1

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu naweza kuagiza hii kitu? Kama ndio, pc 1 inanifikia mkononi kwa shilingi ngapi Mwl.RCT...
  14. sarcomere1

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Wewe Lipa deni watoto wapewe PREM namba wahamishwe kwenye mfumo acha janja janja Tena umekosea mpaka heading, kichwa cha uzi kilibidi kisomeke "mwalimu amenitapeli pesa niliyokuwa namtumia kulipa ada"
  15. sarcomere1

    Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

    Kwahyo wewe unayetumia pombe, hapa ndio bar?
  16. sarcomere1

    Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

    Hatuna muda wa kupoteza
Back
Top Bottom