Nyumba ina vyumba vitatu,master rooms 2,single room1,public toilet ,siting room na dining room.ukubwa ni 20x30miters. Nyumba ipo kange mtaa wa mkurumuzi Tanga. Bei million45 maongezi yapo.
Siku moja huko nyuma nilikua naendesha gari moja ya kijerumani.. dah nikaamua nijaribu kuzifikisha speed zile za ukweli..! Zile 200+.. kwa bahati mbaya sana kwenye kona flani hivi nikiwa kwenye site yangu.. nikaona ghafla watu kama saba hivi wapo pembeni yangu upande wa kushoto..! Walikua jamaa...
Uko hakuna bump nini..!? Maana uyo maza aliekalia ndoo apo nyuma ngoma ikiingia kwa bump anaeza kurushwa na kutoshkilia ilo bomba vizuri mziki wake unakua pale mlango unaporudi.. woouuuuwi
Asee hivi walimu wote wangekua hivi na kueajenga watoto tangu wakiwa chekechea.. wakakua wakiwa na walimu design hii unadhani ayo ya namna iyo tunayoyaona yangetokea..!? Big up sana mkubwa.. you deserve kuitwa MWALIMU MWEMA.... na Mungu ndio anawalipa walimu kama nyie...
Wewe zimo kweli..!? Au ni jipu..!? So unaonea wivu passo ya baba ake..!? Kwani unakuta darasa zima liko ivyo unavyosema..!? Na hivi hakuna adhabu nyingine ndio iyo tu..!? Kwa uzoefu wangu walimu wote waliokua wanasifika kwa kugawa adhabu za namna hii shuleni walikuaga na hali ngumu sana za...
Ndugu nikuambie tu.. UNA ROHO YA PEKE YAKO.. yani unasema walikulaza nje ukiwa umefungwa KAMBA.. kama mwizi...!? Na bado wanakuja unaonana nao..!? Kaka Mungu akuzidishie...
Halali kwa upande upi..!? Kuna adhabu ya namna hii kwa mwanafunzi kaka..!? Hata kama kaua..! Si mumpeleke kwenye vyombo vya sheria..!? Kuna Juvie mkuu.. au kama kawashida mumfukuze tu..! Ili asiwape hasira..! Kuadhibu mtoto wakati uko na hasira namna hii sio sahihi hata kidogo..! Kama angekua...
Sawa... wewe utakua na roho iyo.. kuna mwingine yeye anachojua ni kunyanyasa tu.. itabidi dogo ndio awe m-bunifu kujiadjust na mazingira..! Ila inauma sana..! Yani unakuta mtoto mdogo anaanza kua na fikra kama mtu mzima..! Akiwa kwenye umri mdogo sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.