Search results

  1. Baba Kauthary

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Kunywa Appel puch nakuja kulipa...[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Baba Kauthary

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Ss mwanzo ulikuwa una bisha nn saiz unaongea nn au ndo push to start?
  3. Baba Kauthary

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Kuna wajuba wanataka stori tu...[emoji3][emoji3]
  4. Baba Kauthary

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Kikubwa kilicho mludisha home ni malengo yake kama alivyo sema ila amekuwa mtu wa kuzungumzia lile tukio na sio malengo yake yaliyo mludisha hiv ni nani leo hii asiye jua kama lissu kweli hakufanyiwa fear..ss ilibidi alichukue hili liwe moja ya sera zake kuwa ata dhibiti vitu kama vilivyo mkuta...
  5. Baba Kauthary

    Safari ya Rais Magufuli kwa barabara yawatumbua mameneja wa TANROADS Lindi na Pwani

    Na rais hawezi kutoa pesa kama hamjaenda kuomba mzee
  6. Baba Kauthary

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Swal ni kwamba hakuna nani atampa kura kwa kumuonea huruma ety kisa alishambuliwa?
  7. Baba Kauthary

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Kwaiyo akitupa iyo stori yake tumpe kura kwa kumuonea huruma au? Aweke sera zake tujue cha kufanya wananchi
  8. Baba Kauthary

    INAUZWA Massage bed inauzwa

    Used from uk 300000 k Kiti 70k 0735036133
  9. Baba Kauthary

    INAUZWA Drill Machine zinauzwa

    Hiyo ya kuchaji inatakiwa tsh40 Na iyo ya umeme tsh120 Ya umeme bado mpyaa 0735036133.
  10. Baba Kauthary

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Achana na uyo tony kuna dogo anaitwa Matheus Pereira yupo westbrom hapo... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Baba Kauthary

    Fundi rangi & skimming natafuta kampuni ya kufanya nayo kazi

    Habari wakuu mimi nifundi wa rangi za majumba aina zote natafuta kampuni ya kuifanyia kazi mana nafanya kazi mwenyew ila connection ndogo wakuu kwaiyo natumia mda mwingi kuwa free..kitu ambacho sio kizuri kwangu Naomba kuwasilisha. Mawasiliano/whattsapp [emoji740]0735036133 Sent using Jamii...
  12. Baba Kauthary

    Natafuta kazi halali, ujuzi wangu ni kupiga rangi na skimming

    Habari ndugu zangu, Naombeni msaada wa kazi yoyote ile iliyo halali. Nipo Dar. Elimu yangu ni darasa la 7. Ujuzi nilio nao ni fundi rangi na skimming uzoefu wa miaka 6. Na nipo tayari kuajiriwa na kampuni kama fundi. Muda wowote call: 0712036133 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Baba Kauthary

    Natafuta kazi ya kupiga rangi na skimming

    Endelea kuotea.... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Baba Kauthary

    Natafuta kazi ya kupiga rangi na skimming

    Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Baba Kauthary

    Natafuta kazi ya kupiga rangi na skimming

    Kazi zinapatikana ila huwez kuwa na uakika wa kazi muda wote mkuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Baba Kauthary

    Natafuta kazi ya kupiga rangi na skimming

    Natafuta kazi kwa yoyote anayejua kampuni inayohusika na urembo wa majumbani (kupiga rangi na skimming) mimi ni fundi uzoefu miaka 6. 0712036133 Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Baba Kauthary

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hahahaha....[emoji3][emoji3][emoji3]
  18. Baba Kauthary

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Kwan kuna habar Ganiiiii....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  19. Baba Kauthary

    Ndege Mpya Airbus A220-300 Kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar, jumapili

    Staki kuamini kama mpka leo kuna wanao pingaa serikali hii...
Back
Top Bottom