Search results

  1. Makala Jr

    USHAURI: Nimsaliti Mhe.Edward Lowassa na UKAWA au nihatarishe maisha yangu?

    Nimekuwa mwanachama mwaminifu wa CHADEMA ninayemiliki kadi no. CDM 0413468 tangu mwaka 2009. Nimewahi kukitumia chama katika nafasi ya uongozi nilipokuwa chuo kikuu na hata mtaani huku kanda ya ziwa. Nilipata kufanya kazi kwa ukaribu kabisa na viongozi wakubwa...
  2. Makala Jr

    Ukimya wa kamati ya maadili CCM kuhusu vipigo na rushwa ni dhahiri Lowassa alionewa

    Nimefuatilia kwa umakini mkubwa kuhusu kinachoitwa Kamati ya Maadili ya CCM na kugundua kwamba ni genge la viongozi waandamizi wanaofanya pamoja na kazi nyingine, kubwa ni kupandikiza viongozi wapya madarakani ili waende kulinda maslahi yao. Wakati ambapo kina Steven Wassira wakiwapiga ngumi za...
  3. Makala Jr

    Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

    Hakika kwa kila mmoja aliyepata kushuhudia hotuba ya Mhe.Mbowe katika mkutano wa kumkaribisha aliyekuwa Waziri Mkuu wa awamu ya nne Mhe.Edward Ngoyai Lowassa ametoa hotuba bora sana. Kwa wale waliodhani kiwango cha elimu ni kipimo cha ustaarabu, hekima na uelewa basi...
  4. Makala Jr

    Bila milioni saba huruhusiwi kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM huko Bumbuli

    Wakati ambapo wadadisi wa mambo ya kisiasa wakichunguza na kufuatilia kwa umakini ikiwa sheria ya uchaguzi ya kudhibiti gharama za uchaguzi iliyotungwa august, 2010 itafanya kazi lakini mambo ni yamethibitika kuwa tofauti kabisa. Licha ya ukimya wa TAKUKURU kuhusu tuhuma zilizosambaa mjini...
  5. Makala Jr

    Masuala ya ufisadi, mikataba mibovu na deni kubwa la taifa hayamhusu Dr. Magufuli?

    Katika moja ya wosia wake Baba wa Taifa, Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema, "haitoshi kwa mtu mmoja kuwa mwadilifu maana kuna vishawishi vya ndugu, jamaa na marafiki hivyo ni lazima mtu awaambie ukweli, hata wale wanaomzunguka kwamba IKULU ni mahali patakatifu..."...
  6. Makala Jr

    Tanzania Chini ya CCM Iliyochoka, Mwenyekiti Mtegoni!

    Katika safari ya maisha ya siasa kuna hatua nyingi kama vile kuzaliwa kwa chama cha siasa, kukua, kuimarika,kudumaa na kuanguka. Leo kwa kukiangazia chama cha zamani CCM, pamoja na sifa nyinginezo katika political life cycle, chama hiki kilishafikia hatua kuu mbili za mwisho yaani...
  7. Makala Jr

    Nimjuavyo Kamanda Patrobass Paschal Katambi tangu mwaka 2010!

    Nawasalimu wanajukwaa wote! Kama alivyowahi kunena George Herbert kwamba, "The best mirror is an old friend". Kutokana na harakati za uchaguzi BAVICHA kushika kasi, nimeona ni vema mkamtambua mmoja kati ya Kamanda anayetajwa kugombea Uenyekiti BAVICHA-Taifa ndugu Patrobass Paschal Katambi...
  8. Makala Jr

    Kuna vitu gani vizuri nyuma ya muungano wenye serikali mbili?

    Wasalam ndugu, Suala hili linaniumiza kichwa sana tangu harakati za awali za kutafuta namna ya kutatua kero za muungano mpaka hatua ya kuandika katiba mpya. Bila shaka, mpaka sasa kuna makundi yaliyogawanyika kwa mujibu wa maoni yao...
  9. Makala Jr

    Kwa kauli aliyoitoa Mangula, CHADEMA kina fursa za ushindi!

    Mimi nilifunzwa adabu na utii tangu utotoni mpaka sasa, hivyo awali ya yote napeleka heshima zangu kwa Mzee Mangula kwani amekuwa na mchango mkubwa kwa chama cha zamani licha ya kushindwa kuwatimua ndani ya miezi 6 wa-NEC waliopita kwa rushwa. Kwa jinsi nilivyomfuatilia huyu...
  10. Makala Jr

    Mh. Rais Kikwete huwa anasahau haraka, suala la katiba halihitaji msimamo bali maoni!

    Wasalamu ndugu; Mara nyingi huwa natenga muda kuchunguza yanayozungumzwa na viongozi leo kwa kulinganisha na yale waliyonena jana. Kama ilivyo ada kwamba mkubwa ni jalala, nimeamua kupima kauli za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Mhe.Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na kugundua...
  11. Makala Jr

    Said Issa Mohammed: Wanaosema Dr.Slaa alikuwa Padri, Mimi ni Imamu mpaka sasa!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Zanzibar) ameacha gumzo na hamasa kubwa ya kisiasa mjini Geita kutokana na darasa alilotoa jana katika uwanja wa magereza. Kamanda Said Issa Mohammed amezima gafla propaganda chafu zilienezwa na CCM kwa muda mrefu kwamba CHADEMA ni chama cha ukristo kwa vile...
  12. Makala Jr

    M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

    Previously: Updates: Hatimaye Kamanda wa anga awasili kwa helikopta na umati mkubwa unamshangilia Mhe.Mbowe. Hali ya hewa si nzuri sana kwani mvua imenyesha na manyunyu yanaendelea lakini watu wanazidi kumiminika kuja katika uwanja wa magereza hapa Geita Mjini. Nitakuwa nawapa kila updates!
  13. Makala Jr

    Salamu zangu kwa CCM mwaka 2014

    Mungu Ibariki Tanzania! Napenda na uneni wa wenye busara kwamba ukweli ni uhuru wa fikra na mwili.Na katika mfumo wa taasisi za kisiasa, ukweli ni msingi wa ushindi wa kisiasa kwa mantiki kwamba ukithibitika mbele ya umma kwamba taasisi inausimamia...
  14. Makala Jr

    Nilijiunga CHADEMA nikiwa chuo kikuu ningali nimejitambua, siyo akili ya under 18!

    Awali nawatakieni happy boxing day. Bila shaka jukwaa hili ni kitovu cha hoja mbalimbali za kisiasa hivyo nami naweka rekodi yangu katika historia yangu, kwa upande wa pili nawasilisha mtazamo wangu juu ya umuhimu wa kuheshimu taasisi (chama) badala ya watu binafsi nikiwemo mimi. Mpaka...
  15. Makala Jr

    Mungu nipe macho nione sawa sawa, ni kweli wizara ya elimu hakuna mawaziri mizigo?

    Ndugu zangu sina papara za x-mass wala mwaka mpya.Papara zangu ni kutafuta kitambaa cheusi cha kujifutia machozi endapo msiba wa anguko la elimu mwaka 2012/2013 halitajirudia tena kwa msimu wa 2013/2014. Nakumbuka fika mwezi mei, 2013 pindi mjadala wa matokeo...
  16. Makala Jr

    Wakili Albert Msando hakushirikishwa na Mhe.Zitto katika kusaini kiapo kwa AG?

    Kila mtu ana swali lake kuhusu sakata la Mhe.Zitto kusaini kiapo cha kukiri kutokuwa na majina ya Watanzania walioficha fedha haramu nchini Uswisi. Hakika Mhe.Zitto Kabwe amejidhalilisha/amedhalilishwa sana na sakata hili kwa kuonekana mzushi, mwongo, na...
  17. Makala Jr

    Watoto wanaharibu mahusiano ya kimapenzi katika ndoa, umejipanga?

    Habari wana MMU, Leo naomba tujuzane na kujadili athari ya watoto katika mahusiano baina ya wanandoa. Jambo hili linaweza kudhaniwa kuwa dogo lakini ukweli ni kwamba mahusiano ya wanandoa wapatapo watoto hutetereka kiasi kwamba mahaba ya busu,vicheko,kupapasana, n.k hubakia kuwa historia na...
  18. Makala Jr

    Mara nyingi wanawake mnaumizana wenyewe lakini mnatusingizia wanaume!

    Hodi hapa jamvini! Nimepita pita mara nyingi jukwaani MMU,nimegundua kuna watu wanateswa na mapenzi lakini majuto mengi sana hutoka jinsia ya kike. Mara nyingi nimeshuhudia wanawake wakitulaumu wanaume eti, "Wanaume hawatulii, wanaume...
  19. Makala Jr

    CCM wajikoroga tena, wanatambua uwepo wa Tanganyika kwenye sherehe tu siyo kikatiba!

    Katika kile ambacho Mwanafalsafa Andrew Carnegie anakitambua kama, "Uncontrolled desire for something for nothing" viongozi wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wake kitaifa Mhe.Dr.Jakaya Kikwete wameonesha kukosa mantiki ya msimamo wao kuhusu haja ya kutambua kikatiba uwepo wa Tanganyika...
  20. Makala Jr

    CHADEMA wateka desemba 9, CCM washindwa kujinadi maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika

    Sherehe za uhuru wa "TANGANYIKA" zimedoda. Mitaani watu hawana habari kwani wanaona mafanikio ya uhuru yamekuwa neema kwa wachache huku wengi wakiachwa kwenye wimbi la ujinga,maradhi na umasikini kinyume na ilivyotarajiwa na waasisi wa uhuru mnamo...
Back
Top Bottom