Search results

  1. Makala Jr

    Live Score-Twiga Vs Zimbabwe

    Tangu Mzee Mwinyi alipothibitisha kwamba 'Tanzania ni kichwa cha Mwendawazimu' sijawahi kuwekeza hisia zangu kuzishabikia timu za Tanzania maana kichwa cha mwenda wazimu yeyote aweza kunyoa
  2. Makala Jr

    Magufuri atembea km 10,856 kwa gari kunadi Ilani ya CCM ''bila kukwama njiani ''ubora wa barabara

    Siyo ubora wa barabara bali ni msimu wa kiangazi hivyo ndiyo maana magari hayakwami
  3. Makala Jr

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Ni bahati mbaya kwamba Mungu akiamua hakuna mwenye kutengua maamuzi yake, lakini inaumiza sana. Mungu akurehemu Mohammed Mtoi, upumzike kwa amani
  4. Makala Jr

    USHAURI: Nimsaliti Mhe.Edward Lowassa na UKAWA au nihatarishe maisha yangu?

    Tabby; Ahsante kwa kunitia moyo na dhahiri nimeishi kwa yale ninayoyaamini. Kuna mdau amenishauri niende polisi kwanza nikatoe ripoti ya kuwa insecure, nimeona kama itanisaidia. Sijui hilo walionaje?
  5. Makala Jr

    USHAURI: Nimsaliti Mhe.Edward Lowassa na UKAWA au nihatarishe maisha yangu?

    mapengo; Mpaka nimeamua kuanzisha thread ujue niko serious. Siwezi kumwaga kila kitu hapa jamvini.
  6. Makala Jr

    USHAURI: Nimsaliti Mhe.Edward Lowassa na UKAWA au nihatarishe maisha yangu?

    Njema kabisa; Mkuu, nilikuwa nafanya kazi private sector chini ya kiongozi mwandamizi mkoani na sijalipwa mshahara wa mwezi huu na sina mwanya wa kudai. Tatizo ni kwamba hata sehemu nilipokuwa nafanyia kazi yangu ya kitabu kuna mashushushu wao. Ni bora ningezalisha copy nyingi na chama...
  7. Makala Jr

    USHAURI: Nimsaliti Mhe.Edward Lowassa na UKAWA au nihatarishe maisha yangu?

    Nimekuwa mwanachama mwaminifu wa CHADEMA ninayemiliki kadi no. CDM 0413468 tangu mwaka 2009. Nimewahi kukitumia chama katika nafasi ya uongozi nilipokuwa chuo kikuu na hata mtaani huku kanda ya ziwa. Nilipata kufanya kazi kwa ukaribu kabisa na viongozi wakubwa...
  8. Makala Jr

  9. Makala Jr

    Episode I-5: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95 (UKIMYA WA SLAA)

    Mwaka huu Watanzania watalishwa habari nyingi mpaka watavimbiwa!
  10. Makala Jr

    Uongo, Upotoshaji dhidi ya Dr.Slaa na Mnyika - Wafuatao wapuuzwe...

    Nimefanya maamuzi magumu, hata kama watahama viongozi wote niwapendao lakini daima nafsi yangu imeridhia kuwa mwanachama wa kudumu wa CHADEMA na muumini wa UKAWA kwa kadri itakavyokuwa. Hizo propaganda za Lumumba ni kama mchezo wa Nimefika...Bado!
  11. Makala Jr

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Pamoja waungane baada ya kura za maoni
  12. Makala Jr

    DKT. John Pombe Magufuli (JP) apokea kadi kibao za waliokimbia CHADEMA

    Hizo ni propaganda, utaibiwa ukicheza branda. Nani hajui kwamba yule King of Scotland siyo Idd Amin wa Uganda?
  13. Makala Jr

    Wafugaji hatutamchagua Lowassa alitufukuza akatwambia twende Msumbiji

    Ni mada nzuri kipropaganda haswa kwa ninyi wafugaji wa JF nyuma ya key board, ila msisahau kwamba na sisi tuliobomolewa nyuma na Magufuli hatutampigia kura
  14. Makala Jr

    Ukimya wa kamati ya maadili CCM kuhusu vipigo na rushwa ni dhahiri Lowassa alionewa

    Fukara; Kama comment yako ingelikuwa ni shairi basi ni KITENDAWILI CHA TATA cha Shaaban Robert, nahisi jibu unalo mwenyewe!
  15. Makala Jr

    Ukimya wa kamati ya maadili CCM kuhusu vipigo na rushwa ni dhahiri Lowassa alionewa

    @macho-mdiliko; Umeongeza hoja ya msingi katika mada, watu tunahoji maadili mema kwa mujibu wa kamati ile ni kukata jina la Lowassa tu?
  16. Makala Jr

    Ukimya wa kamati ya maadili CCM kuhusu vipigo na rushwa ni dhahiri Lowassa alionewa

    ikhlas; Kifupi ni kwamba Kamati Kuu ya CCM inadaiwa kusimamia maadili mema ndani ya chama tena kwa kufanya kazi kwa ukaribu na kamati ya usalama. Lakini kamati husika imeonekana kukosa kazi nyingine baada tu ya kukata jina la Mhe.Lowassa katika mchakato wa kugombea urais kupitia CCM...
  17. Makala Jr

    Ukimya wa kamati ya maadili CCM kuhusu vipigo na rushwa ni dhahiri Lowassa alionewa

    Nimefuatilia kwa umakini mkubwa kuhusu kinachoitwa Kamati ya Maadili ya CCM na kugundua kwamba ni genge la viongozi waandamizi wanaofanya pamoja na kazi nyingine, kubwa ni kupandikiza viongozi wapya madarakani ili waende kulinda maslahi yao. Wakati ambapo kina Steven Wassira wakiwapiga ngumi za...
  18. Makala Jr

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    masupio; Mkuu usimshambulie mchangiaji bali jibu Mhe.Magufuli siyo fisadi kwa kushiriki kuuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya?
  19. Makala Jr

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    Chama Cha Mafisadi (CCM)
  20. Makala Jr

    Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

    MaCCM yanachukia sana kuona CHADEMA wanazidi kuwa wamoja licha ya propaganda zote wanazoeneza
Back
Top Bottom