Search results

  1. Quetzal

    Je, naweza kujitoa WhatsApp group bila wana group kujua?

    Naomba kujua kama inawezekana kujitoa WhatsApp group bila members kujua.
  2. Quetzal

    Kuwashwa baada ya kuoga

    Habari wakuu Nikama miezi miwili hivi nawashwa sana nikimaliza kuoga. Naweza kaa nusu saa nzima najikuna hii inaweza kuwa inasababishwa na nini? Natiba yake ni nini?
  3. Quetzal

    Nahitaji mjuzi wa mambo ya Mitandao ya kijamii

    Habari, Nahitaji mtu anaejua Kutumia Social media vizuri mwenye uelewa mzuri...wa namna ya Kutumia mitandao ya jamii. Hii sio Ajira ya kudumu like nahitaji kuelekezwa kwa Muda mufupi kwa ajili ya matumizi yangu binafsi. Please njoo DM. I know information isn't free. Napatikana Dodoma Mjini...
  4. Quetzal

    Headphones nzuri kwa ajili ya Sports

    Nimenunua headphones kwa ajili ya sports Mostly Jogging But hazikai kwa sikio zinateleza kwa jasho. Headphones nzuri kwa sports Ni zipi na Bei gani? Moderator naomba unibadilishie heading plse... Headphones nzuri kwa ajili ya sports. Hizi nimenunua 25K
  5. Quetzal

    Mbuzi ndio kifaa ninachotumia sana jikoni kwangu kwa sasa

    Ukiachana na ile chopping board iliyopata mrejesho hasi. Pia Kuna kifaa hua natumia Sana..kwa jiko langu...nacho Ni MBUZI.. sijui mbuzi kwa English inaitwaje. Je, Wewe kitaa gani unatumia zaidi jikoni kwako?
  6. Quetzal

    Dhana kuwa Mwanamke anaweza badilisha Tabia mwanaume, ni ya kweli?

    Naamini Hata wanawake wanapenda wanaume wenye twabia njema... Kuna wanaume wanatabia zoote chafu zinazopatika kwenye jamiii iliyooza.. Siwezi zitaja Tabia zote haya. Kila mtu anajua ndani ya Moyo wake Tabia njema na mbovu... Kuna wanaume Wana pesa lakini wanatabia mbaya kiasi Kwamba wanawake...
  7. Quetzal

    Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

    Habari menu, Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole. Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu yaani almost kila kitu. Chopping board yangu ni kuuu kuu Sana na more than ten years Anyone else...
  8. Quetzal

    Mke mwema ni kilaza na asiye na mafanikio ya kielimu au kipesa?

    Nimekuwa natafakari Ili mwanamke apendwe au aonekane ni mke mwema.. Anatakiwa awe kilaza?...yaani Division four na zero zimuhusu?... Elimu ilishushwa kwa ajili ya jinsia Fulani? Mwanamke hutakiwi endesha Gari zuri...Eti Utakosa mume?... Mwanamke hutakiwi kuwa na pesa na Mali Eti Utakosa mume...
  9. Quetzal

    Wizi wa dawa unaofanywa na wafamasia kwa Wagonjwa

    Kumekuwa na TABIA mbaya Sana ya waphamasia kuibia dawa wagonjwa. Unaweza kuwa umeandikiwa Dawa ya siku 7...wanakup ya siku tatu kwa sababu wanajua hujui...Tena wanakufungashia vizuri kwenye kimfuko unaondoka zako..hi imetokea Nakiete Dodoma....Sijui kwanini wanakuwa hawana uaminifu. Tena...
  10. Quetzal

    Ushawahi kulazimisha penzi?

    Katika maisha yangu nilikuwa na furaha na Amani na nilikuwa single kabisa sio wote walio single wanastress. Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno but hata ukituma msg...
  11. Quetzal

    Miguu yangu kuuma kwenye unyayo

    Habari, Nimekuwa nikisimama kwa Muda mrefu kwenye shughuli zangu. Miguu kwenye unyayo inauma...nlienda hospital wakanipima kisukari (5.7) na Syphilis (non reactive) Doctor Akanipa paracetamol. Ushauri wenu tafadhali
  12. Quetzal

    Dawa za Asili za kuingiza Ukeni zinasababisha Cervical Cancer?

    Kuna hi Hali ya Madoctor na wanasayansi kukataza wanawake kuweka vitu vya kiasili ukeni. Huku kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na Matangazo Mengi sana. Kuna mengine ya kusteam uke tukumia herbs, mengine ya kuweka unga wa mbegu za maembe kubana uke na mfanowe..na wengine wadai wanarudisha...
  13. Quetzal

    Simu yangu inapungua charge badala ya kuongezeka

    Habari, Simu yangu usiku kucha imeingia 46% baada ya kuicharge. Na kila nikicharge inashuka asilimia badala ya kuongezeka. Je, shida itakuwa nini? Msaada wenu tafadhali
  14. Quetzal

    Uhuru katika Mahusiano?

    Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini? Kumpigia mpenzi wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea ni kumnyima Uhuru? Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru? Kwa kweli nishaurini sielewi
  15. Quetzal

    Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

    Je mwanamke anapoolewa.. Anachofuata Ni Mali za mwanaume yaaani Magari, maghorofa na mfanowe? Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima? Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba.. ukawa tajiri hlafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra sana...
  16. Quetzal

    Clinical Officer anashindwa pata nafasi ya kujiendeleza kielimu

    Habari, Nina mdogo wangu Ni clinical officer ( Ana Diploma) Ni in charge huko vijijini.Amekuwa aki.apply kwenda kusoma course mbali mbali za afya na hapati huu mwaka wa tatu. Course alizoomba Health Management System- Mzumbe Health information system- Udom Clinical Nutrition and dietics-Udom...
  17. Quetzal

    Makeup za wadadaza zinawapendeza kweli?

    Mimi naona kuna watu wanapaka makeup mpaka nashangaaa...Yaaani nawaza hichi kitu gani? Au labda ni macho yangu tu...Yaaani unakuta mtu kapaka makeup badala ya kuehance beuty inakuwa tofauti. Kuna wengine wanapendeza kweli....Lakini WENGINE hapana.
  18. Quetzal

    Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

    Nimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko. Sikosi chakula wala pakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa. Naona mambo yangu nashindwa yabeba. Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda. Japo najipa moyo kuwa kwenye...
  19. Quetzal

    Namkubali sana Ladyhaha wa Clouds Media

    Huyu dada..anatangaza vizuri jamani..yaani napenda sana anavyotangaza "African wired" Yaaani i like her confidence na jinsi alivyo a swagger za kipekee kabisa.. Kong'ole kwako ladyhaha
  20. Quetzal

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kutoa madoa kwenye nguo nyeupe?

    Salaam, Shuka langu Jeupe lilipata bloodstain usiku, asubuhi nikaliloweka na sabuni ya Doffi, nikalifua jioni, Lakini madoa hayajatoka. Je nawezaje kutoa hayo madoa..? Asante
Back
Top Bottom