Search results

  1. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    ni kweli imepinduka ikiwa na abiria kama 200 kwa mujibu ya takwimu za haraka.....mda si mrefu tutawapa taarifa kamili nini kimejiri kwani hivi sasa meli ya kilimanjaro kutoka zanzibar iko njiani kuelekea eneo la tukio
  2. M

    Msaada wa haraka ndugu zangu

    kaswende kaka nijuavyo kungekua na usaha unatoka, alkini hata nikipima mkojo hakuna infections yoyote...au nipime kipimo gani maana nilienda kwa dokta siku moja akaniambia nipime mkojo tu na hakuona kitu
  3. M

    Msaada wa haraka ndugu zangu

    Kila nikijamiiana baada ya siku mbili au tatu natokewa na vipele/ blisters kuzunguka uume na mda mwingine vinaweka maji baadae hupasuka na vinakauka. Sijui tatizo nin. Kuna wakati niliingiwa na hofu nikapima vdrl nikidhani labda nimepatwa na magonjwa ya zinaa lakini hakukua na tatizo. Na ngozi...
  4. M

    ERB acheni njaa

    Kweli trainee hawajaliwi hata kidogo maana hata hiyo ya kujikimu yenyewe haitoshi...fikiria home bunju umepata pa kufanyia trainee mbagala? Hata usafiri tu haitoshi. Mungu awepe ujasiri wa kuirekebisha japo kidogo
  5. M

    Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

    Nadhani bado tuna nafasi ya kuitaka serikali iwajibike pamoja na viongozi wake hasa waziri wa afya...kuwakamata akina bi-simba ni janja ya kutaka kuwanyamazisha hivyo naomba tuwe kitu kimoja mara watokapo mchakato uendelee....NATAMANI TUNGEFIKIA KAMA MISRI MAANA HAIWEZEKANI MKUU WA NCHI HAONI...
  6. M

    Part time hospital doctor

    Wanajamii nina rafiki yangu ni amo yaani assistant medical officer anatafuta tempo baada ya kazi...ikipatikana hata kuanzia saa nane hadi sa 12 jioni ni poa...anaattend wagonjwa wote na anafanya operation zote...kwa kifupi ni mzoefu sana...yuko serikalini kwa sasa.....nashukuru kwa msaada wowote
  7. M

    Ndugu yangu umasikini anauaga!

    tehete tehete vya bure vitamu japo vinaishia na NINGEJUA!!!!!!!!NISINGEEE!!!!!! Kama kweli unampenda rafiki yako mwambie aache na kama anataman amwambie amtumie kwa western au akafungue account mpya........BORA AKATAFUTA HELA AKAENDA KUCHUKUA BIKIRA KWA MSWATI HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
  8. M

    Electrical engineer trainee

    asanten wadau
Back
Top Bottom