Search results

  1. Northern Eagle

    Nahitaji PDF ya vitabu vya Physics

    Wakuu, ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninaomba kama kuna mwenye PDF ya vitabu vifuatavyo anisaidie: Principles of Physics by Nelkon Abott Physics na Lambert Chemistry Vyote vya O-level Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
  2. Northern Eagle

    Achraf Hakimi: Mmoja kati ya 'full backs' bora kabisa ulimwenguni wanaochipukia

    Borussia Dortmund ni moja ya timu zilizowahi kuwa na full backs bora kabisa. Moja kati ya full backs wa Dortmund ni Lukasz Pisczek ambaye amekuwa klabuni hapo tangu 2010 akiwa katika ubora wa hali ya juu. Beki huyu kutoka Poland alikuwa bora sana katika ukabaji pamoja na kupandisha mashambulizi...
  3. Northern Eagle

    Neno "Mjuba" lina maana gani?

    Wakuu naomba kujua maana ya maneno 'mjuba' pamoja na 'kudesa' maana nimeona yakitumiwa na vijana sana.
  4. Northern Eagle

    Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

    Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HELSB) inatarajia kufungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi waliokosa mikopo pamoja na wale wanaohisi kupata asilimia kidogo kwenye awamu zilizopita. Dirisha hilo linatarajiwa kufunguliwa kuanzia tarehe 13/11/2019 hadi tarehe 23/11/2019.
  5. Northern Eagle

    Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Wakuu, ni wazi kwamba wapo wanafunzi wengi ambao walitarajia kujiunga na masomo ya elimu ya juu mwaka huu ila wameshindwa kutokana na kukosa mkopo kutoka HESLB na pia kutokuwa na uwezo wa kujisomesha. Naamini hapa JF kuna watu wenye uwezo ambao wana uwezo wa kuwasaidia hawa vijana waweze...
  6. Northern Eagle

    Je, naweza kuzuia nywele za kifuani au 'garden love' zisiote?

    Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi nywele zisiote tena naombeni tufahamishane wakuu maana muda mwingine zinakera sana.
  7. Northern Eagle

    Ni 2019,hivi Hamisa bado ana miaka 24?

    2018 ndo imeisha hivyo,tupo 2019 tunaelekea 2020,sasa wewe 'sista duu' endelea kumsubiri mwanaume mrefu ,handsome,mwenye gari ,msomi,mwenye pesa,mweupe,supasataa n.k.Nasema endelea kusubiri. Mademu wa mjini wana vituko sana.Akigundua mwenzake kamzidi hata wiki moja ni kosa ,utasikia Da Nuru,Da...
  8. Northern Eagle

    Hedhi siku ya kumi

    Habari wana JF,Mimi nina girlfriend wangu ameniambia kuwa yupo kwenye period(bleeding ) siku ya kumi sasa mfululizo. Nauliza hivi hili ni tatizo LA kiafya au ni kawaida kwa baadhi ya wasichana maana navyojua Mimi huwa inatokea siku tano, naombeni majibu maana ananiambia other girls wanaendaga...
  9. Northern Eagle

    New to JF

    Habari zenu,wakuu Mimi no member mpya kabisa wa JF naomba kukaribishwa
Back
Top Bottom