Search results

  1. Resi

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    My good friend, bunge lolote la vyama vingi lazima liwe politicised; sasa ukianza kuwapa majukumu ya kuidhinisha hizi post yataanza malumbano yasiyoisha, and worst of all wata-ipoliticise process yote, matokeo ni madudu tu. Sistem iliyoko ni zuri tu kinachotakiwa ni kwamba zile checks and...
  2. Resi

    Nahitaji mkopo wa biashara, ninayo dhamana ya kuweka rehani

    WanaJamii, habari za jioni. ninahitaji mkopo wa kiasi cha 10m - 15m hivi. Ninayo plot katika manispaa, chenye hati ya manispaa Morogoro. Naomba msaada wa kujua namna ninavyoweza kupata mkopo wa kiasi kilichotajwa. Mabenki wamenizingua tu. Nahitaji kujua kama kuna taasisi (siyo benki) au watu...
  3. Resi

    Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    "Tanzania ya Magufuli itakuwa ni Tanzania ya viwanda". !!?? Hivi viwanda vitaendeshwa na nishati gani?!!? Umeme hakuna. Na mkurugenzi wa Tanesco ni story-teller mwingine, alituambia mabomba ya gesi yaliyozindliwa TWO WEEKS AGO ni ufumbuzi. Wapi (!!) Mpaka leo mgawo upo palepale, tena ndio mkali...
  4. Resi

    Kwa Morombo, Arusha: Unfinished house for sale

    Unfinished house for sale; located in Arusha Kwa Morombo.Three kms from Morombo centre. Vyumba 4including Master-bedroom, kitchen, dining room, store, large hallway, 3-car parking. TAS15,000,000/=NEGOTIABLE. Call: 0754 37 5474
  5. Resi

    The USA, Land of the free?

    Ohio Muslim woman sues over jail church attendance. A Muslim woman who says she was forced to attend Christian church services during a 60-day jail stint on an assault charge has sued the county.Sakeena Majeed (pictured below), said in a federal lawsuit filed Thursday that a correction officer...
  6. Resi

    Msaada wa kucrack word document Ikiwa na password naomba msaada

    Hata Microsoft wenyewe hawawezi kukusadia kwa hilo. Ref. below:
  7. Resi

    Actress Barbara Bowman bravely reveals harrowing years of rape at hands of TV legend Bill Cosby

    It would have been hard to prove that "rape". She kept going back for more!! She was an adult of consenting age - above 18; if anything, SHE might have had to answer a charge of prostitution, HERSELF!
  8. Resi

    Niijuavyo Freemasonry

    Hi Guyz!! Hoja motomoto zarushwa huku na kule. Naomba tu muwe na utulivu katika kupeana hizi hoja. Niliposoma post nika-google swali la anima sacrifice by Freemasons. Mojawapo ya majibu ni hii debate hapa kwenye hii link: Do Freemasons preform Ritual Sacrafice ? | Masonic Forum of Light...
  9. Resi

    Why is the IQ of Ashkenazi Jews so High?

    Ndugu zangu mnaoshabikia hii concept ya IQ, naomba kutoa hoja yangu. Hii subject ni controversial kwa kiasi kikubwa sana. Kwa kiasi kkubwa pia haina relevance yeyote. Mfano: Mchukue kijana wa ki-Bushman wa huko Botswana/RSA/Namibia, ukamweke katikati ya jangwa la Mgadigadi la huko Botswana...
  10. Resi

    Arusha I salute you!

    Sikatai na sikubali pia; nataka kuchukua position ya katikati ya ukuta!! Watu wote - si vijana peke yao - hujituma sana, ni kweli; lakini shughuli nyinghi ni za ki-DALALI TU, si uzalishaji halisi. Mfano, bei ya nyama ya ng'ombe hapo A-Town ni juu zaidi ya ile ya Dar, na quality yake ni ya chini...
  11. Resi

    EAC ... I like the way Monseur Njonjo is thinking

    Let me say at the outset. The concept of the East African Community/Union appeals to me enormouly. But the way that we are plunging headlong into its implementation is alarming. We should go into this slowly ... polepole. Please note the highlighted print in red .. my doing, not Monseur...
  12. Resi

    Bongo movies...

    Na wameanza kuiga pidgin ya Nija: "am pregnant for you....!!"
  13. Resi

    Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

    Wazazi wa "mashombe" asilimia kubwa wana-kauwezo hivyo na makinda yao yanaenda shule za "uhakika", hence kimombo kinapanda, hence kuchaguliwa kwa urahisi BBA.... henve .... diy.....
  14. Resi

    katuni gani inakuuua mbavu?

    Chakubanga, Polo, Bushiri na vidosho wao wa miaka ya zamani, ndani ya 'Uhuru na Mzalendo'. Pure top class comedy!!
  15. Resi

    katuni gani inakuuua mbavu?

    Sylvester & Tweety - tops too.
  16. Resi

    katuni gani inakuuua mbavu?

    Hi y'all, Kwangu mimi hakuna kama 'Yosemite Sam' na 'Roadrunner'. Hizo ni tops!!
  17. Resi

    Material Wife

    If I remember correctly, this chick starred in "zawadi ya birthday" with Richie, JB and she did a passable job. She has talent.
  18. Resi

    Black Consciousness BY Steve Biko

    What a sad loss to all Humanity! His death was also a big loss to the African quest for its own identity in the modern world. This was a clear-thinking, humane, strong, soulful, human being who saw a horrible wrong being inflicted on his people and decided to make a stand. He knew he would be...
  19. Resi

    Huko Rwanda nako poa!

    Wazee acheni tu; ni mji msafi sana, mimi ninapita hapo mara mbili-tatu kila mwaka nikiwa safarini kwenda/kurudi kibaruani. Dar haifikii hata 60% ya juhudi wanazofanya hawa jamaa kuweka jiji lao katika hali ya usafi na nidhamu ya usafi na usalama. Ni mwiko kukojoa ovyo, kutupa taka ovyo, na...
  20. Resi

    Mkurabita

    Habari Members, mimi nina swali/hoja. Kama kuna mtu anayejua kama hawa jamaa wa MKURABITA wanafanya kazi namna gani, naomba mchango wake. Najua: lengo la MKURABITA ni kuipa thamani ardhi ambayo haijasajiliwa kwa kuipa hati rasmi itakayomwezesha owner kuombea credit katika financial institution...
Back
Top Bottom