Search results

  1. kukumwenyehipsi

    Vodacom na DStv kuna matatizo gani?

    Kutoka Ijumaa watu wanafanya malipo ya ving'amuzi kwa njia ya M-Pesa lakini hakuna mrejesho wa ujumbe wa kuwa malipo yamefanyika au kutofanyika. Matokeo yake tunakatiwa matangazo na DStv. Ukipiga Customer Care majibu yanatolewa mepesi tu kuwa. Subiri ndani ya masaa 48 na DSTV majibu ya baadhi ya...
  2. kukumwenyehipsi

    Barabara ya Ntyuka Dodoma inatia aibu

    Hii barabara ni Km 5 tu kutoka Dodoma Mjini na inaenda katika hospitali kubwa kama DCMC na MVUMI. Imejaa vumbi na mashimo hata barabara za vijijini zina afadhali. Viongozi wa mtaa, kata mmeshindwa hata kufukia mashimo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kukumwenyehipsi

    mawaziri watatu ndiyo wanapokea simu

    Kuna Mawaziri Watatu Ndiyo wanapokea simu na nikiwapatia Malalamiko ya Wananchi wanayafanyia Kazi 1.Medadi Kalemani ( Nishati) 2.Kangi Lugola ( Mambo ya Ndani) 3.William Lukuvi( Ardhi) Na Kidogo wa Maliasili ( Khamisi Kigwangala) Nayeye kaanza kubadilika anapokea simu...
  4. kukumwenyehipsi

    Barabara ya Ntyuka Dodoma

    Hii ni barabara kubwa kutokea eneo la Kilimani hadi hospitali kubwa ya macho, Mvumi Dodoma lakini imejaa vumbi na mashimo . viongozi hamuoni? au mnasubiri mpaka mkulu apite. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kukumwenyehipsi

    Ntyuka na mvumi hakuna umeme toka jana

    tanesco tanesco tanesco kuna tatizo gani siku ya pili watu hawana umeme? na ni makao makuu ya nchi.
Back
Top Bottom