Search results

  1. N

    Punguzo la kamisheni kwa mawakala wa M-Pesa

    Wakuu habari za majukumu? Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nine experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita. Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya mwisho wa mwezi, unapooneshwa salio unaoneshwa na kamisheni ambayo unakuwa umepata mpaka muda huo...
  2. N

    Punguzo la kamisheni kwa mawakala wa MPESA

    Wakuu habari za majukumu? Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nina experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita. Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya mwisho wa mwezi,unapooneshwa salio unaoneshwa na kamisheni ambayo unakuwa umepata mpaka muda huo...
  3. N

    Upatikanaji wa mifuko ya kubebea bidhaa kwa bei ya jumla.

    Wakuu, hongereni na majukumu ya ujenzi wa familiya zenu na nchi kwa ujumla. Mimi ni mjasiriamali mdogo, ninabiashara ndogo eneo la Mbagala. Niliamua kuweka na mifjko hii ya kubebea bidhaa, na ninawauzia watu wenye biashara ndogo ndogo wanaowauzia wateja wao vitu basi wanawauzia na mifuko...
  4. N

    Msaada: Mawasiliano ya Alaptel Kisoka Company LTD

    Wanajukwaa, Tafadhali nisaidieni mwenye mawasiliano na ALAPTEL KISOKA COMPANY LTD au mwenye kufahamu hata mahali ofisi zao zilipo anisaidie.
  5. N

    Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  6. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Wanabodi habari ya majukumu? Nakuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa utaratibu wa Jambo hili. Mimi ni mwàjira katika sekta binafsi. Kabla ya serikali kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii nilikuwa mwanachama wa PPF. Baada ya kuunganishwa kwa mifuko tukaelezwa sisi wafanyakazi wa...
  7. N

    Natafuta mahali pa kupata vocha za jumla

    Wakuu, heshima kwenu, tafadhali naomba nisaidiwe kujua maeneo ambayo ninawwza kupata vocha za jumla za mitandao ya Tigo na za airtel. Nilipata za voda zinazouzwa 500 nilipata kwa 450 na zile 1,000 nilipata kwa 950. Changamoto inabaki kwenye vocha za Tigo na Airtel ninazipata kwa 480 na 960.Kwa...
  8. N

    Ninahitaji kufanya kilimo cha Papai katika eneo la Mkuranga

    Wanabodi habari ya majukumu!. Ninakuja kwenu na wazo langu na maombi kadhaa kwenu juu ya wazo hili. Ninahitaji kufanya kilimo cha Papai katika eneo la Mkuranga.Ninapanga kuanza kilimo hiki kwa kuanza na heka moja kwanza. Katika kutaka kujifunza nimegundua mambo kadhaa kuhusu kilimo hiki,ikiwa...
  9. N

    Msaada: Mawasiliano ya kapunga rice project limited

    Wanajukwaa,Tafadhali mwenye mawasiliano ya Kapunga rice project limited anisaidie,Hawa wanahusika na uzalishaji na kupaki mchele wako kijiji cha Kapunga wilaya ya Mbalali jijini Mbeya. Nimejitahidi kusearch mawasiliano yao kwenye mtandao nimebahatika kupata namba fulani lakini naona haipatikani...
  10. N

    MSAADA:MAWASILIANO YA KAPUNGA RICE PROJECT LIMITED

    Wanajukwaa,Tafadhali mwenye mawasiliano ya Kapunga rice project limited anisaidie,Hawa wanausika na izalishaji na kupaki mchele wako kijiji cha Kapunga wilaya ya Mbalali jijini Mbeya. Nimejitahidi kusearch mawasiliano yako kwenye mtandao nimebahatika kupata namba fulani lakini naona haipatikani...
  11. N

    Bruno wa Chita, Morogoro

    Wakuu kheri ya X-mass na mwaka mpya!. Tukiwa katika ukingoni kabisa mwa mwaka huu 2018 na tukiwa tumebakiza siku moja tu kuanza mwaka mpya wa 2019,sote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu. Nakuja kwenu nikiwa na ombi moja najua JF ni kubwa.Kuna mzungu mmoja anaitwa Bruno,huyu anamashamba...
  12. N

    Nahitaji mawasiliano ya Bruno wa Morogoro. Ana mashamba makubwa ya mpunga

    Wakuu kheri ya X-mass na mwaka mpya!. Tukiwa katika ukingoni kabisa mwa mwaka huu 2018 na tukiwa tumebakiza siku moja tu kuanza mwaka mpya wa 2019,sote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu. Nakuja kwenu nikiwa na ombi moja najua JF ni kubwa.Kuna mzungu mmoja anaitwa Bruno,huyu anamashamba...
  13. N

    Ununuzi wa Tv Zanzibar

    Heshima kwenu wakuu,Tafadhali naomba kusaidiwa jambo.Ninahitaji kununua TV flat screen yenye bajet ya 1,100,000. Sasa kuna mdau mmoja aliwahi kuniambia kuwa Zanzibar TV ni bei nafuu zaidi ya Dar. Mwenyeuzoefu naomba kusaidiwa je ikiwa nikienda kununua Zanzibar hakuna vikwazo vyovyote kuvuka...
  14. N

    Nauza vioo (monitor) vya accer

    Habari za majukumu wadau, Ninavyo vioo viwili vya Accer naviuza. Kimoja kina hitilafu ndogo (kina mstari ndani) lakini kinafanya kazi kama kawaida. Kisicho na hitilafu kabisa nakiuza 120,000 hiki kingine nakiuza 80.
  15. N

    Namna nzuri ya kusafirisha mizigo mzigo kutoka Dar kwenda Dodoma

    Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)? Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari namna nitakavyoweza kusafirisha mizigo(vitu vya ndani).vitu nilivyonavyo Kwa haraka haraka ni hivi...
  16. N

    NANUNUA DISH LA TV

    Wakuu,Habari za majukumu?Nahitaji dish haya tuliyokuwa tunatumia kuangalia TV kabla ya kuanza kutumia ving'amuzi.Niko dar Sent using Jamii Forums mobile app
  17. N

    Msaada bei ya kuagiza gari hili

    Habari ya asubuhi wakuu? Nilikuwa napitia mtandao wa Befoward na kuna bei za magari mbalimbali. Kuna gari Toyota Voxy data zake ziko hivi Year 2004/3 Mileage 79305 km Vehicle price $455 Save $204 (30 percent) Tafadhali mwenye ujuzi anisaidie nikitaka kuagiza gari hili nitalipia shilingi ngapi...
  18. N

    King`amuzi cha ting nauza.

    Habari wakuu?ninauza bidhaa tajwa hapo.Iko katika hali bora kabisa.Nauza shilingi 50,000.Bidhaa hii dukani inauzwa 75,000 ni kile cha antena.Sababu ya kuuza ni kuwa kwa sasa ving`amuzi lazima ulipie.hata local chanels.Sasa familiya inapenda zaidi azam kwa ajili ya entertainment ninashindwa...
  19. N

    Kinga`amuzi cha ting nauza

    Habari zenu wakuu?Ninauza bidhaa tajwa hapo juu.Iko katika khali nzuri sana,Ninauza shilingi 50,000 ni cha antena.Hiki dukani kinauzwa 75000.Nimefikia uamuzi wa kuuza kwa kuwa ving`amuzi vyote sasa hata local chanel unabidi ulipie na familiya yangu inapenda cha azam kwa sababu ya entertainment...
  20. N

    Ztto na milioni 18

    Wakuu!leo katika gazeti la mwananchi imeandikwa habari ya zitto kutangaza mali zake zote.Habari hii inasomeka kuwa Zito amesema anamiliki jumla ya 18 millioni,nyumba 2 zenye thamani ya shilingi millioni 223,Rand Rover yenye thamani ya 74 milioni,kiwanja na mashamba katika maeneo ya Kigamboni,dar...
Back
Top Bottom