Search results

  1. Kahtan Ahmed

    Pesa ya mkulima wa ufuta kimya

    Leo tarehe 26 June 2023 tayar baadhi ya mishahara ya watumishi imeshaanza kumiminika. Ila mkulima wa ufuta aliepeleka mazao ghalani tangia mwezi uliopita kwa mtwara na Lindi hawajaingiziwa pesa zao. Imempasa mkulima kuuza ufuta wake Kwa cash kwa walanguzi. Mkulima wa ufuta inabidi akope ili...
  2. Kahtan Ahmed

    Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

    Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania. Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki? Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali Je usalama wa...
  3. Kahtan Ahmed

    Vyombo vya habari Vinaogopa au Vinalishwa

    Najiuliza kwanini vyombo vya habari vya Tanzania vinashindwa kuripoti na kufichua uovu wa Serikali ya Tanzania Kuna Matatizo mengi kama Umeme, Maji, Usalama wa Raia, Huduma mbovu ya Fya, Mfumo mbovu wa elimu, Ufisadi kwanini hawayasemi na kutakemea inamaana hayapo? Ni dhahiri kua wanaogopa...
  4. Kahtan Ahmed

    Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

    Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku. Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na...
  5. Kahtan Ahmed

    Rais Samia anaidekeza safu yake ya uongozi

    Hivi ni kweli mpaka leo umekosekana ufumbuzi wa suala la umeme, nchi nzima na kiza kimetanda, au mama hajui au anaongopewa? Mpaka imejidhihirisha uwanjani mechi za kimataifa haoni? Hizi kelele mitandaoni hazioni? Mama usitegemee kua kuna siku utasikia taarifa mbaya ya safu yako kwenye vyombo...
  6. Kahtan Ahmed

    Wilaya ya Masasi inadumaa kimaendeleo sababu ya Umeme

    Mimi ni muwekezaji wa viwanja vodogo na vya kati. Nilipofika wilaya ya Masasi nilishangaa kuona hakuna uwekezaji wa viwanda vidogo vidogo. Nikaona hio ni fursa nikavamia yaani huu mwaka wa pili kila siku najipa moyo hali itabadilika ila kiufupi umeme unasumbua sana, hakuna siku umeme ukakosa...
  7. Kahtan Ahmed

    Rais Samia ana nia njema ila Wanawake wanamwangusha!

    Mimi naamini mama Samia anadhamira njema ya dhati kuwainua mama zetu kiuchumi na maendeleo yao kiujumla. Cha ajabu asilimia kubwa za fedha zote ambazo mama Samia amekua akizitoa kusaidia makundi mbali mbali ya wanawake zinaliwa kwa fujo na wanawake wenyewe wachache wanaojifanya ni viongozi na...
  8. Kahtan Ahmed

    Azam Tv ni wababaishaji

    Sifahamu ule weledi na umakini wa saliokua nao mwanzo Azam Tv umepotelea wapi, sijui kama ni kulewa kwa mafanikio walioyapata baada ya miaka 10 ya hudumu Kiukweli kwa sasa ukilipia king'amuzi asilimia kubwa ni lazima uwapigie Azam na uwaelekeze kua nimelipia niwashieni basi Na pia ukiwapigia...
  9. Kahtan Ahmed

    Ni kweli kuwa January Makamba hagusiki?

    Ni dhahiri na wazi kuwa Waziri January Makamba imemshinda wizara yake kutokana na ukosefu na usumbufu wa huduma ya umeme nchi nzima. Ninachojiuliza kuwa ameshindikana vipi kuwajibishwa kwa jambo kubwa kama hili na badala yake ameachwa kana kwamba wizara yake inafanya vizuri na hakuna dosari...
  10. Kahtan Ahmed

    Madereva wenye leseni class kuanzia D miaka 20 mpaka 25 wa kiume

    Kuna fursa za kazi ughaibuni nchini Qatar kwa wenye umri huo ukifanikiwa kwenye interview hakuna gharama yoyote utalipia ni free kila kitu isipokua passport yako ya kusafiria utafute mwenyewe Sifa za muombaji Lesseni kuanzia class D Cheti cha form four Miaka 20 mpaka 30 Ukikidhi hivyo vigezo...
  11. Kahtan Ahmed

    Vijana angalieni fursa hii

    Leo ningependa kuwapa zawadi vijana wenzangu watizame hii fursa watakuja kunishukuru badaye. Tatizo la vijana tulio wengi ni kuharakia maisha tunapenda kupata leo leo, jambo ambalo linapelekea kua na maisha magumu sana kila siku na tunaishia kufa maskini. Ni wachache sana wanaofanikiwa kwa...
  12. Kahtan Ahmed

    Mpaka mkuu wa mkoa ameishindwa La Cruize

    Habari wana JF Naweza kusema mamlaka zote za mkoa wa Dar es Salaam mpaka mkuu wa mkoa mwenyewe zimeshindwa kuzuia Bar ya La Cruize iliopo maeneo Mikwambe Toangoma iliopo kwenye makazi ya watu na kufanya kelele za ajabu sana. Ni miaka sasa wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuanzia kwa...
  13. Kahtan Ahmed

    House4Sale Nyumba Inauzwa kwa dharura Toangoma Maliasili DSM bei rahisi

    Habari, [emoji298]Nyumba ina vyumba vitatu viwili masters [emoji298] Bei ni Mil 58 [emoji298] Nyumba ya pili toka barabara kuu ya Twangoma [emoji298] Hii Post imetolewa na mmiliki hakuna mtu kati [emoji298] Fence na jiko kama inavyoonekana [emoji298] nauza kwa dharura bei ni nzuri sanna...
  14. Kahtan Ahmed

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni

    [emoji779][emoji779] URGENT SALE[emoji779][emoji779] [emoji298]Kiwanja Kina Hati Kinauzwa [emoji298]Maeneo ya Kigamboni Puna Block L [emoji298]Nauza bei ya Discount 6,000,000 [emoji298]Ukubwa wa kiwanja ni SQM 520 [emoji298]Huduma ya maji na umeme ipo [emoji298]Tika feri ni Kilometer 30...
  15. Kahtan Ahmed

    Zanzibar tunahitaji Muungano wa Serikali moja tu

    Habari wadau wa JamiiForums, Binafsi napenda kuchukua fursa hii kutoa rai juu ya muungano wa Zanzibar kama ifuatavyo. Zanzibar haistahili kuwepo na serikali inayojiendeshe yenyewe ya ndani sababu ni moja ya vikwazo vya maendeleo Zanzibar kuwafanya wananchi kutawaliwa na serikali mbili kitu...
  16. Kahtan Ahmed

    Plot4Sale Nauza Kiwanja kigamboni maeneo ya Puna mil 6

    Asalaam alaikum Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo . Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna . Kutoka barabara kuu ni meter 50 . Kiwanja kimepimwa na tayari kina hati . Umeme umefika kwenye eneo . Ukubwa wa kiwanja ni sqm 520 . Kiwanja kina mitaa miwili ...
  17. Kahtan Ahmed

    House4Sale Nyumba Inauzwa Kigamboni Mikwambe Mil 60

    Asalaam alaikum, Napenda kuwatangazia kua nina nyumba nauza kigamboni mikwambe yenye sifa zifuatazo . Nyumba ipo kigamboni Mikwambe . Nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami ya kigamboni . Nyumba ina vyumba vitatu wiwili masters . Ina Dining, sitting room, jiko na public toilet, parking ...
  18. Kahtan Ahmed

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kina hati kipo Kimbiji Puna bei mil 6

    Habari ndugu, Nawatangazia wadau wote kua ninauza kiwanja changu kilipochopo maeneo ya Kigamboni Kimbiji puna Ni meter 150 toka barabara kuu facilities kama maji na umeme tayari vimefika Kiwanja kina ukubwa wa sqm 520 Kiwanja kina hati toka ardhi Itapendeza kama biashara hii utawashirikisha...
  19. Kahtan Ahmed

    House4Sale Nyumba mpya inauzwa Kigamboni-Mikwambe

    Habari wanajamii [emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami [emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters [emoji213]Public Toilet moja [emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko [emoji213]Parking gari tatu ndogo zinakaa [emoji213]Nyumba ina fence [emoji213]Umeme na maji tayari Bei ni Tsh...
  20. Kahtan Ahmed

    Jeshi la Polisi ukaguzi wenu ni ovyo stand ya mabasi Mbeya

    Yani mmesahau kuwa abiria huwa wanaondoka na timetable, mmechelewesha abiria kituoni sababu ya ukaguzi? Mbona mnapenda kufanya yenu tu ndio yaelekee ila hamjali mambo ya wengine, mlishindwaje kukagua gari usiku muache asubuhi na mapema gari ziondoke kwa ratiba. Kweli ni haki kucheleweshewa...
Back
Top Bottom